Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man Utd missed out on ALL of Ole Gunnar Solskjaer’s transfer targets this summer including Sancho, Grealish and Ake

The club realised too late they wouldn't get Sancho and ultimately signed two youngsters who will surely have to wait for first-team action

Having missed out on Erling Haaland in January, Solskjaer was determined to spend big and revamp his lacklustre squad.

But, despite a deadline-day panic spree, the Norwegian missed out on every, single one of his top targets.

Kwa maelezo hayo hapo juu wakuu hata aje kocha gani hii timu haiwezi kusonga mbele kwa sababu hawapati wale watu ambao wana uhakika nao.
Sawa ila kuifunga Palace na kucheza mpira mzuri hakuhitaji mamilioni ya mapound yaliyopitiliza. Una pogba,dvdb,Bruno wote wanaanza kuonekana paka tu kweli!?
 
Pamoja na mapungufu yoooooote ya Ed na Glazers, lazima tukubali kuna tatizo kwenye benchi la ufundi

First 11, subs £€$View attachment 1594822
Tena tatizo kubwa tu kwa hao wachezaji tunapaswa kuwa timu nzuri tu kabisa yani hiyo midfield yote ni utopolo?? no way ndo mana siamini hata aje nani tutabaki kama tulivo Ole asipobadilika kimbinu.
 
Kocha yoyote duniani hawezi kulalamika akiwa na mid ya Fred, Pogba Bruno, VDB, Tominay & Matic

Kocha yoyote duniani hawezi kulalamika kuwa Dean Henderson & De gea kama ma stopper wake

Kocha yoyote hawezi kulalamika endapo atapewa Harry Maguire (Moyez alimtaka akiwa Sheffield, Jose alimtaka akiwa United, Leicester alionekana ni very good CD, kwa Southgate ni first choice pale England, Ole katoa £80m) Bailly, Smalling (tumemuuza), Lindelof (Barca walimnyemelea)

Kocha yoyote hawezi kulalamika akiwa na Martial (pamoja na utozi), Rashy, Greenwood, Ighalo na sasa Cavani

Tena tatizo kubwa tu kwa hao wachezaji tunapaswa kuwa timu nzuri tu kabisa yani hiyo midfield yote ni utopolo?? no way ndo mana siamini hata aje nani tutabaki kama tulivo Ole asipobadilika kimbinu.
 
Pamoja na mapungufu yoooooote ya Ed na Glazers, lazima tukubali kuna tatizo kwenye benchi la ufundi

First 11, subs £€$View attachment 1594822

Pesa pekee haijengi timu imara, ni zaidi ya pesa ili uwe na timu imara. Unahitaji kuwa na watu nyuma ya hiyo pesa wanaojua kuitendea haki. Roman Abramovich alipoinunua tu Chelsea mwaka 2003 kitu cha kwanza kabisa alimchukua chief executive kutoka kwetu Peter Kenyon na ndani ya miaka sita tu walishinda EPL mara mbili mpaka 2009 alipostaafu na mwaka ulifuata walichukua tena maana yake alitayarisha succession plan nzuri pia.

Mfano mdogo kabisa kwa Ole, kuna report imetoka juzi inasema Ole hajapewa chaguo lake namba moja ktk usajili kama makocha waliopita tu. Yeye alimtaka Jadon Sancho ila Ed kamletea Amad Traore, hata Harry Maguire ilikuwa ni pending file mezani kwa Ed mtu aliyemhitaji alikuwa ni Jose ila hakuletewa kwa wakati.

Kama ni benchi la ufundi ni bovu basi kuna mtu nyuma anayewaajiri hawa anafanya trial & error bila kujua anahitaji nini hasa kwa miaka saba sasa. Maana tumebadilisha makocha watano. Wawili kati ya hao watano wameshinda mataji zaidi ya 50 kwa pamoja ktk career zao (LVG & Jose).
 
KUMBE MAN UTD BADO WANAMTAKA POCHETTINO

MAURICIO Pochettino amerudi upya kwenye rada za Manchester United shukrani kwa klabu yake ya zamani, Tottenham Hotspur.

Spurs iliichapa Man United 6-1 Jumapili iliyopita kwenye Ligi Kuu England, huku miamba hiyo ya Old Trafford ikicheza soka la ovyo kabisa jambo linaloibua wasiwasi mkubwa wa kuhusu nafasi ya Kocha Ole Gunnar Solskjaer.

Kikosi cha Man United kimekumbana na kipigo kizito ikiwa nyumbani Old Trafford na kumekuwa na wasiwasi mkubwa huenda vichapo vingine vya aina hivyo vinaweza kuendelea.

Solskjaer, ambaye aliongoza Man United kushika nafasi ya tatu kwenye ligi msimu uliopita na kufika nusu fainali ya Europa League, kwa msimu huu kikosi chake kimesharuhusu mabao 11 katika mechi tatu tu ilizocheza kwenye ligi.

Kinachoripotiwa ni makamu mwenyekiti mtendaji, Ed Woodward anaanza kupiga hesabu za kunusuru hali ya mambo. Woodward hatamfukuza Solskjaer katika kipindi hiki cha mapumziko ya mechi za kimataifa.

Lakini, yeye ni shabiki mkubwa wa Pochettino na mabosi wengine wakubwa kwenye kikosi hicho cha Old Trafford wamekuwa wakiwasiliana na mawakala wa kocha huyo Mhispaniola.

Pochettino, ambaye aliiongoza Spurs kucheza fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2019, kabla ya kufukuzwa Novemba mwaka jana ameweka wazi dhamira yake ya kutaka kurudi kwenye ukocha.

Kocha huyo (48) amekataa ofa za klabu kibao, ikiwamo ya Benfica ya Ureno na aliwahi kuhusishwa na Barcelona. Lakini, ameamua kutulia akisubiri timu yake anayoitaka kuinoa.

Kocha Pochettino ni mkali wa kufanya kazi na wachezaji vijana, hivyo akitua Man United hatakuwa na tatizo kutokana na kikosi hicho kusheheni vijana wengi wenye vipaji vikubwa.
 
Nakumbuka kuna wakati tulisifu wachezaji "aliosajili yeye" , we never complained about him given second, third choices

Kwa akili ya kawaida tu, je safari hii tulihitaji zaidi a winger au commanding and pacey CB?

Imagining Ole with Leeds, Everton, Villa squads

Back
Top Bottom