radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Kinacholeta fitness ni mazoezi na muda, hatukuwa na muda wa kufanya mazoezi ndio maana hatuna fitness. Europa Imechelewa kuisha hivyo wachezaji wakachelewa kupewa likizo na sababu wamechelewa kupewa likizo wakachelewa kurudi kambini na kusababisha kuanza ligi bila fitness
Kama kupiga penat ni rahisi argentina si wangechukua copa america mbele ya chile bruno ktk wachezaj si wakumletea masihara hata kidogo.
Bissaka, DJ, Maguire, Fernandes we huoni? Je hao wote amecheza nao mechi 3?

