Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man u ina matatizo makubwa:-

Kuna matatizo ya Tajiri

Kuna matatizo ya management

Kuna matatizo ya kocha

Kuna matatizo ya wachezaji

Kuna matatizo ya mashibiki.

Mtafukuza makocha mpaka lini? Tatueni tatizo la msingi (Uongozi wa club).
Huwezi tatua uongozi wa club kwasababu wao ndo wamiliki.

Na huwezi mpangia mmiliki nini cha kufanya.

Kilichobaki ni kufukuza kocha mpaka apatikane mwenye ujuzi.
 
Bissaka anaujua sana
 
Bahati mbaya timu ni yao....hatuna cha kuwafanya.
Ni kukaa kwa kutulia tu.
Wakiporomoka sokoni ndio wataamka.
 
Mashabiki wenzangu wa man huwaga nawashangaa sana wengi wenu ni outdated sana ngoja leo niwaambie kitu, siku hizi mpira umebadilika sana kuanzia uwanjani mpaka kwenye uwekezaji na lazima ujue kabisa kuna kitu cha kuitwa long plan au future plan hiyo kwenye kampuni ndiyo inaitwa vision kwaio nashangaa wanaobeza kununuliwa kwa hao madogo pasipojua kuwa kuna siku za mbeleni pia..kila management lazima iwe committed na kubalance kwa vitabu huwezi tu kuendesha taasisi kwa kutoatoa tu hela pasipo angalia je kuna balance, wengi mnalalamika tulikuwa tunataka mchezaji fulani, sawa lakini kwa $100 iyo ni hela kubwa sana kwenye uwekezaji lazima watu waumize vichwa kwanza kabla ya kutoa lazima wajue mbinu mbalimbali ili waweze kuishusha au kuipunguza hiyo pesa wanayotaka na hapo ndipo kuna definition nzima ya business ama investment.. Kwangu mimi board ipo sahihi kabisa walichofanya..
Cavani ni proven goalscorer ni world class striker watu wengi hawajapenda kwa sababu yeye sio jadon sancho... Who is Sancho by the way..
Amad traore ni young talent mwenye potential kubwa sana kumbuka hata huyo Sancho hakuwa Sancho miaka mitatu iliyopita bali alikuwa kama traore tu sasa kama mwenzako kaweza kukuza kipaji chake wewe unashindwaje kukuza kipaji cha amad traore..
Telles ni moja ya left back mzuri sana kwa wakati huu atasaidia sana kwenye timu hilo halina shaka
Mimi naona mashabiki tupunguze lawama sasa ni muda wa kutazama kipi watatuletea hawa watu najua management wana kusudio lao kwa hawa players na timu kwa ujumla basi haina budi kuwasapoti
 
hayo yote ni sawa hata mm nimefurah angalau bt tusipobadili kocha ni kazi bure mkuu mana sioni anachoongeza kwa wachezaji mana kila kukicha viwango vina drop tu.
 
Mkuu kuna falsafa flan ya united sijui niliwaza vibaya, itanisahihisha.....

United ilikuwa ikisajili vipaji pekee lkn ilikuwa na tabia ya kuangalia mchezaji mwenye multi flan,at least aweze kupata makampuni makubwa yadhamini via huyo mchezaji
Beckham nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…