Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Right wing wangetafuta option nyingine au kumbadilishia majukumu Diogo Dalot kuwa right kuliko hawa watoto
dalot hazidiwi uwezo na brandon williams ila kumuondoa dalot ilikuwa ni rahisi zaidi kuliko brandon.
takwimu za afya zinambeba brandon williams mbele ya dalot.
southampton walimuhitaji brandon lakini Ole akamshawishi brandon
 
Sasa mchezaji unamsajili halafu umwache kwa mkopo hii ni akili au matope ?

Si heri wangemwacha Tahit Chong ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Huyo traole ni new messi mkuu,,au new roben,,anapiga kushoto ila anatokea kulia,,
Deal done,,tatizo ni passport na vibali vya kazi ndy shida.
Atakuja January.
Sijamfatilia sana video zake,,ila wadau mbali mbali wanasema yupo so talent..
 
Mc Cane is back with a banger...

Karibu mkuu
 
Ole nilikosa naye imani kabisa msimu uliopita,baada ya kukosa kucheza fainali hata moja huku tukiwa tumeingia kwenye nusu fainali tatu..
 
Amad Traore ni mzuri sana, ila kuna mambo 2

1. Ata cope na pressure ya kuchezea United na ligi ya Uingereza?

2. Hataathirika na poor coaching staff iliyopo?

Binafsi nimepanda usajili wake
Kule tunahitaji mchezaji ambaye ameshaprove kucheza siyo anayetokea academy.

Sasa tulimuondoa Chong wa nini kama tunasajili mchezaji mwenye umri mdogo kuliko hata yule tuliyemuondoa ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 


Kwahiyo United ni kama mtu anaye mkopesha rafiki yake laki moja na baada ya lisaa na yeye anaenda kukopa elfu ishirini sio?
Ndiyo kwa kuangalia tu anavyocheza ataweza shughuli ya epl huyo mtoto ?

Tuweni wa kweli hili ndiyo dirisha ambalo tumefanya mzaha kuliko wakati mwingine wowote toka nimeanza kuiangalia united.

Heri wangesema mapema kuwa hawataki kufanya usajili timu inajitosheleza kuliko kutumia muda mwingi kufanya upuuzi.

Huu ni upuuzi siyo usajili

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ole nilikosa naye imani kabisa msimu uliopita,baada ya kukosa kucheza fainali hata moja huku tukiwa tumeingia kwenye nusu fainali tatu..
Laissez faire attitude inmatesa Ole na timu yake.

Sometimes mwalimu na wachezaji wanaamini wakiwa wanacheza goli litaingia tu simply because they are Man United.

Maajabu haya

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ole nilikosa naye imani kabisa msimu uliopita,baada ya kukosa kucheza fainali hata moja huku tukiwa tumeingia kwenye nusu fainali tatu..
  1. msimu tuliomaliza nafasi ya 6 (mourinho out) tulipata alama 66 huku tukishinda mechi 19 na Ole alipewa timu mwezi December
  2. msimu huu tuliomaliza nafasi ya 3 tulipata alama 66 huku tukishinda mechi 18 na Ole alisimamia mechi zote.
mafanikio yetu makubwa si kumaliza nafasi ya 3 kama tunavyojiaminisha bali kurudi kwenye ligi baada ya corona tukiwa bado na muelekeo bora sana wa kiuchezaji, nilitegemea pumzi tuliomalizia ligi ndio iwe msingi wa uimarishaji wa kikosi kimbinu(kuondoa mapungufu yaliojitokeza baadhi ya mechi kama vile southampton, chelsea, sevilla)

cha ajabu tumerudi kama mwanzoni mwa msimu wa 2018/ 2019
 
Chong ni mchezaji kaenda Bremen game mbili amefunga na assist.

Unaposema Chong siyo mchezaji huyo mtoto wa shule ndiyo mchezaji tunayemtegemea tukacheze nae UCL ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
anafunga akiwa wapi?

huyu dogo wa Jana at least anaonyesha mwanga na umri wake mdg ule half yy Ni multifunctional uwanjani tofaut na Chong. Chong uchezaji wake unahitaji alishiwe kila kitu, anatumia mguu wa kushoto lakin hawezi kuutumia anakua mzito sana, pale Hamna future
 
tuchukulie martial hana adhabu ya red card..
kwa nini cavani?
Cavani ni PSG top scorer of all times,,
Cavani ni top scorer world class...
Hajifunzi bali ana experience..
Martial hana sifa za centre forward.. Martial ni attacker,, left wing..
Labda huyo ole azinguwe..lakini kocha kama morinho ,,diego simion haumizi kichwa kumchaguwa cavani over martial..
 
unaonekana ni mfuatiliaji mzuri wa LIGUE 1.
takwimu zake za kiafya zipoje
unadhani kwa nini mashabiki wengi wanamfananisha na falcao ajaye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…