Binafsi nimeshuhudia games chache sana ambazo tumeshinda kwa ushawishi wa kucheza mpira mzuri na wa mipango,tofauti na hapo tumekuwa tukipata bahati zaidi kuliko weledi wa kocha.
Na tatizo letu tangu msimu uliopita limekuwa lile lile la kushindwa kutoboa ngome ya timu inayocheza lowblock kwenye ulinzi lakini Ole hajawahi kubadili mbinu.
#OLEOUT