OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Huyu mwamba aliyeteleza aliamua kuhakikisha kabisa.
Una Kipepe unasema una straika nzuri ??😎😎😎Man U jana imepiga mashuti 5 tu. Mawili on target. Kocha mkabaji Mourinho kamiliki mpira kwa zaidi ya 60%.
Ole bado anafanyia majaribio formation ya 4 2 3 1. Watu waliuliza De Beek atacheza wapi? Hili swali binfasi niliona la kawaida ila sasa naona Ole anavyostruggle.
Hii timu mara ya mwisho kupigwa 6 ilikua na Man City. Nadhani 2011 au 2012 leo yamejirudia na kila shabiki ana stori yake ya kutia huruma.
Arsenal wenzangu kuna mwenzetu alisema ni vyema tukakutana na Man U tukiwa na Partey na Aouar mi nikajibu hawa wanafungwa bila hao wawili. Simply kwakua angalau tuna mid na defense inayojielewa kuliko wao.
Striker yetu pia ni nzuri kuwazidi. Hii timu ni useless.
Alikuwa anacheza mdundiko 😂😂😂😂
Mumepigwa sita ..acha mboyoyo kila mtu anajua😎😎😎Timu itabadilika mazee msikate tamaa kwa kipigo cha jana uzuri kila mchezaji ashatoa ya moyoni na majuto kuhusu jana
Duuuuh!!! HahahahahaaaaaNi mwendo wa dose kaanza palace kafuata spurs bado zamu ya westham arsenal chelsea.
Mansix mmetia aibu na kipigo cha mbwa mwituView attachment 1590374
Wachezaji waliopo wanaweza kuchukua kombe wakipata kocha mzuri.Ni sawa na mnunuzi wa Mchele akanunue chenga halafu aje alaumiwe mpishi kwa kupika bokoboko.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kungekuwa na DoF, succession plan isingeleta shida.Ok sawa naomba unisaidie kitu kidogo tu, nikweli wamekuja makocha 4(co 5) ndani ya kipindi kifupi, tukimtoa Moyes je Mou ni kocha mbovu? Van gaal je? Vp utd hsisajiri wachezaji wazuri? Mbn walikuwa wanafanya vzr huko walipo? Matic mbovu, Mata mbovu, Fernandes mbovu, Pobga mbovu duuhhh kweli kazi.
Unasema Peter Kenyon na David Gill walikaa na kocha mmoja tu je ulitaka wabadili kocha wambadili nani? Yn wamfukuze Ferguson? Mbn comparison yako haipo fair mkuu.
Mm ukitoa imani yng hafifu kwa Ole nafahamu ukweli kwamba utd ilikuwa lazima iyumbe kutokana na aliyeondoka alikuwa mtu mzito sana so kiuhalisia lazima tm iyumbe, yn aondoke mtu aliyekaa miaka 26 klabuni zen tm iendelee kuwa hivyo hivyo mbn isingeleta maana ya uwalimu bora wa Ferguson.
Lazima tuyumbe na itachukua muda mrefu kabla ya tm kukaa sawa.
Yaani Solkjaer kazunguka duniani kote second option yake kwa Sancho awe Adam Traore ??hii hali iliwakuta arsenal msimu ule waliofungwa magoli 8 na man utd.
==========
hatujui kinachoendelea huko ndani ila kwa jicho la kawaida unagundua ya kwamba ed woodward bado amekuwa akihangaika kuhakikisha ya kwamba anatimiza takwa la mwalimu kwa kumletea mchezaji husika na ndivyo ninavyojiaminisha(ed woodward hawezi kuitakia mabaya man utd)
changamoto inakuja pale ambapo muuzaji lengwa anaposhindwa kukubaliana na ombi la mnunuaji (bei ya kuuza mchezaji), hapo ndio tunajikuta tunapoteza muda mwingi sana kufanya mazungumzo yatakayowezesha pande zote zinafanya biashara itakayowafaidisha pande zote (tunasahau kwenye negotiation mwenye nguvu anakuwa ni muuzaji labda itokezee awe na shida kubwa sana yenye kuambatana ubinadamu wa kibiashara)
ukiagalia situation ya usajili wa sancho tokea mapema ilishaonyesha ni upi muelekeo wa dortmund (mpaka leo hii msimamo wao umebaki vile vile kwa kutokuwa tayari kumuuza mchezaji chini ya kiwango walichokiweka), unajiuliza ni kipi kinachotufanya kupoteza muda mwingi haliyakuwa hatuna uwezo wa kufikia thamani iliowekwa na pia hatuna uwezo wa kuwashawishi dortmund kumuuza mchezaji kwa thamani tunayoihitaji (ina maana tokea mapema tulipaswa kuangalia alternative nyenginezo)
kama mwalimu hakuwa na second option basi hilo ni tatizo lake na kwa solskjaer nina wasiwasi huenda hakuwa na target nyengine kwa winga wa kulia baada ya sancho ndio maana tumekuwa wapapatikaji ( leo bale, kesho doglas costa, keshokutwa dembele, na hao wote huko kwao hawatakiwi basi ingelikuwa ni rahisi kukamilisha sajili zao).
ila kama mwalimu aliidhinisha second option kwa kila target lengwa lakini bado bodi ikashindwa kufanya kazi yake kwa usahihi kwa takribani miezi mitatu ndio tutakuwa tunarudi palepale kwenye kesi yetu ya kila siku (tuna wasimamamizi wabovu).
Namba ya MaguireWachezaji waliopo wanaweza kuchukua kombe wakipata kocha mzuri.
Niambie namba ambayo haina mchezaji wa maana pale United.
Kocha ni mzembe na hajui anachofanya.
Wayne aache ujinga.
Kwasababu Kocha ameshindwa kumfundisha akawa beki mzuri.
Maguire is uncoacheable.Kwasababu Kocha ameshindwa kumfundisha akawa beki mzuri.
Uzembe wa kocha.
Huna haja ya kumleta mchezaji mpya hiyo namba.
Angelikuwa na sifa za mourinho basi ndani ya siku chache zijazo tungelifahamu ukweli uliopo, kama ulivyosema tunapaswa tusubiri muda utupe ukweli uliopo.Yaani Solkjaer kazunguka duniani kote second option yake kwa Sancho awe Adam Traore ??
Haiwezekani hapa ni kwamba Woodward kashindwa kufanya usajili kaamua kununua mtu yoyote aliyeko sokoni bila hata consultation na Mwalimu.
Kimsingi Ole mpaka sasa Van Gaal alionewa, Mouringo alionewa pia na sasa ni zamu ya Ole kuonewa na Woodward.
Muda utasema.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na wewe kabisa.Wachezaji waliopo wanaweza kuchukua kombe wakipata kocha mzuri.
Niambie namba ambayo haina mchezaji wa maana pale United.
Kocha ni mzembe na hajui anachofanya.
Hahaha you made my day.
kule insta maguire anayaoga matusi ya kutosha kwa fans wa united......hadi page ya united anatukanwaPatrice Evra amesema.
Ushauri wangu kwa mashabiki wa Man u. Nunua playstation mnunue Jadon Sancho au hata Messi hii timu kwa sasa hakuna anayefaa kuichezea.