MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,454
[emoji23] [emoji23] View attachment 1590637
Vigezo vya kocha mzuri ni vipi?We jamaa arteta kumfunga sosha 2 au kufungwa 6 haina maana kocha wako ni mzur unataka kusema pep ni kocha mbovu kwa kuwa kafungwa na arteta? [emoji23][emoji23][emoji23]
Vigezo vya kocha mzuri ni vipi?
Ukiangalia transfer za man united zinavyofanyika kwa sasa wazi wazi unaona tatizo siyo makocha bali ni Woodward.The best 007,
Hujiulizi ni kwa nini chini ya Ed ndani ya miaka 7 tu, tumekuwa na makocha 5? Ni kweli Ole ni kocha mbovu lakini nani amemuaajiri kocha mbovu? Nimesema hapo juu ukifanya observation ndogo tu, Manchester United tumekuwa na football executives wanne tu ndani ya miaka 28 iliyopita toka Premier League ibadilike na sisi ndio tuliofanya vizuri ktk mfumo mpya tumebeba mara 13. Lakini ktk hao football executives wanne kuanzia Martin Edwards (1980-1997), Peter Kenyon (1997-2003), na David Gill (2003-2013) hawa wote wamefanya kazi na kocha mmoja tu kipindi chote hicho na kila mmoja amebeba EPL zaidi ya mbili. Kwa nini Ed Woodward amefanya kazi na makocha 5 na hajashinda kombe la EPL ndani ya zaidi ya miaka 7? Kama factor ya kuwa na timu bora ni pesa basi Ed ndiye aliyepaswa kuwa na timu bora zaidi chini yake maana hata ukifanya inflation adjustment yeye ndiye aliyetumia pesa kuliko chief executives wote waliomtangulia.
Bado tu unaamini tatizo la Manchester United ni kocha? Are serious bro? Okay, tufanye kweli tatizo letu ni kocha. Je ni nani anayewaajiri hawa makocha wabovu? Kumbuka wachezaji ni end products ya talents baada ya ku-assemble best talents from coaching staffs to recruitment teams na mwenye jukumu la kufanya hili ni football executive. Hata aje malaika kuwa kocha wa timu ukiwa na football executive mwenye uwezo mdogo ni sawa na kuigeuza Tanzania iwe sawa na Marekani kiuchumi.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeuwa
Bitoz kwa Chelsea no Safari hii tuna Mendy sio Kepa ndio maana unaona Chelsea tunaanza kupata cleensheet Hilo kumbuka alafu kibaya zaidi majeruhi wote wa Chelsea wamerudi include Kinghimself Pulisic na ZiyechMsimu huu ligi haitabiriki
Bado akina ArsayNO na Chelshit kupitia hizi nyakati
Mechi moja tu kwani hajawahi kupata clean sheet?Bitoz kwa Chelsea no Safari hii tuna Mendy sio Kepa ndio maana unaona Chelsea tunaanza kupata cleensheet Hilo kumbuka alafu kibaya zaidi majeruhi wote wa Chelsea wamerudi include Kinghimself Pulisic na Ziyech
Ok sawa naomba unisaidie kitu kidogo tu, nikweli wamekuja makocha 4(co 5) ndani ya kipindi kifupi, tukimtoa Moyes je Mou ni kocha mbovu? Van gaal je? Vp utd hsisajiri wachezaji wazuri? Mbn walikuwa wanafanya vzr huko walipo? Matic mbovu, Mata mbovu, Fernandes mbovu, Pobga mbovu duuhhh kweli kazi.The best 007,
Hujiulizi ni kwa nini chini ya Ed ndani ya miaka 7 tu, tumekuwa na makocha 5? Ni kweli Ole ni kocha mbovu lakini nani amemuaajiri kocha mbovu? Nimesema hapo juu ukifanya observation ndogo tu, Manchester United tumekuwa na football executives wanne tu ndani ya miaka 28 iliyopita toka Premier League ibadilike na sisi ndio tuliofanya vizuri ktk mfumo mpya tumebeba mara 13. Lakini ktk hao football executives wanne kuanzia Martin Edwards (1980-1997), Peter Kenyon (1997-2003), na David Gill (2003-2013) hawa wote wamefanya kazi na kocha mmoja tu kipindi chote hicho na kila mmoja amebeba EPL zaidi ya mbili. Kwa nini Ed Woodward amefanya kazi na makocha 5 na hajashinda kombe la EPL ndani ya zaidi ya miaka 7? Kama factor ya kuwa na timu bora ni pesa basi Ed ndiye aliyepaswa kuwa na timu bora zaidi chini yake maana hata ukifanya inflation adjustment yeye ndiye aliyetumia pesa kuliko chief executives wote waliomtangulia.
Bado tu unaamini tatizo la Manchester United ni kocha? Are serious bro? Okay, tufanye kweli tatizo letu ni kocha. Je ni nani anayewaajiri hawa makocha wabovu? Kumbuka wachezaji ni end products ya talents baada ya ku-assemble best talents from coaching staffs to recruitment teams na mwenye jukumu la kufanya hili ni football executive. Hata aje malaika kuwa kocha wa timu ukiwa na football executive mwenye uwezo mdogo ni sawa na kuigeuza Tanzania iwe sawa na Marekani kiuchumi.
nimeona taarifa ya southampton kumuhitaji Brandon Williams kwa huduma ya mkopo na maamuzi ya mwisho yapo kwa mchezaji husika.Itamuwa jambo zuri mkuu