Kuna jamaa alikuwa akinitukana sana nilipomwambia mourinho anatakiwa kuwa kocha wa hii timu kitu kakosa ni kuungwa mkono wa kutaka wachezaj wake sahihi ila kwa yote kikubwa uhai nilishambuliwa sana
Jumanne ktk comment yangu #136,087 nilimwambia hiki kitu Darmian
Darmian,
Ubingwa kumpa Liverpool bado mapema sana, japo ndio timu pekee katika kubwa walio serious zaidi. Mechi mbili zijazo kwa Liverpool zinaweza kuwapandisha morali au kuwashusha. Mechi ijayo wataenda Villa Park kucheza na Aston Villa hawa ni sawa na farasi mweusi asiye angaliwa na wengi kwa hiyo hawachezi kwa presha ila kiukweli wapo moto sana, wamecheza mechi nne msimu huu wameshinda zote ya mwisho walimfunga Wolves kwake 3 bila.
Baada ya Aston Villa wataenda mji wa Walton pale pale Liverpool kucheza na Everton, kwa form ya sasa ya Everton wakishinda pale Goodison Park basi Liverpool confidence yao inaweza kuwa juu mno ktk mbio za ubingwa ila wakianza kwa kufungwa inaweza kubadili hali yao ya kujiamini pia.