Kuna jamaa alikuwa akinitukana sana nilipomwambia mourinho anatakiwa kuwa kocha wa hii timu kitu kakosa ni kuungwa mkono wa kutaka wachezaj wake sahihi ila kwa yote kikubwa uhai nilishambuliwa sana
Mkuu tayar kafanya mambo mourinho kikubwa uhai timu isipoangalia wapambanaji mambo kama haya yatatokea sana timu yetu inaharibika sana tena sana bado psg na rb leipzig