Kakutana na vilaza,beki yenyewe pazia lazima ajipigie............Hadi Morinyo ana-posses zaidi ya United?
Wanagunnerz tumehamia msibaniTunazika wapi?tukubaliane!
Tunazika wapi?tukubaliane!
Maguire mtoto wa malkia watu hawataki kumsema vibaya...Leo lindelof hayupo chagueni beki wakumsema au bailly kimeo?
Ahaaa ahaaaaWanagunnerz tumehamia msibani
HahahahahahaMazishi yatafanyika hapa hapa nyumbani,hatutasafirisha
Gharama za kusafirisha heri tunywe apple punch mammmae
siku hizi mpoleee....Ole at the wheel
Tunahesabu la 4 hiloMamamae kuna mtu anakula mvua ya magoli leodk ya 8 Goal 2
5 ndogo