Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,222
Man U zamani kuna wakati ilikuwa inategema striker mkali wa kati kati mf Rvp lakini pia kuna wakati ilikuwa inategemea fluid front 3 kama vile kipindi cha Tevez, Rooney, ronaldo.Service ipi mkuu wanayopata akina rashforf kwa martial?ndy hiyo ya kukosa nafasi 10 za wazi wakafunga moja?
Man u ni timu ambayo ilikuwa haogopewi tena kwenye kona na hata faulo kwenye timu pinzani,,,
Hakukuwa na striker good header,,na mipira ya kuunganisha...
Cavani hategemei cross mkuu,,,hata one against one anakufunga..
He is a true sniper...
Arsene Wenger anakuambia hataki forward anayefunga goli 5 mechi moja alafu hafungi mechi nne, anataka forward anayefunga goli moja kila mechi ktk hizo mechi 5, cjui umemuelewa hapo.Man U zamani kuna wakati ilikuwa inategema striker mkali wa kati kati mf Rvp lakini pia kuna wakati ilikuwa inategemea fluid front 3 kama vile kipindi cha Tevez, Rooney, ronaldo.
Kipindi Cha fluid Front 3 hatukuwa tukitegemea Natural winger na magoli yanakuja kwenye build up tokea Nyuma. Mfano mzuri angalia hata Highlights za UTD 7 na Roma 1 pengine hiki ndio kipindi cha Man U bora kabisa.
Kipindi cha RVP mawinga walipewa specific inatruction na Fergie, unampasia RVP afunge ama unaondoka Man Utd, Timu nzima ili evolve around RVP, Tulikuwa na Rooney, Nani, valencia, Giggs na wengine wengi ambao hii kazi wanaijua.
Ole alikuwa ni part ya benchi la Ufundi kutengeneza man Utd ya 2008 na ni muumini wa huo mfumo na ndicho anachojaribu kukifanya man Utd sasa hivi, na hata lukaku alitaka Atokee kulia ili awe na striker ambaye anajua kulink na wenzake. Cavani hana utofauti sana na lukaku huwezi kumueka mbele, hana movement na technique za kutosha kulink na rashford na Greenwood.
Cavani ingekuwa ni 2013 hata yeye anaweza kutupa kombe akiwa amezungukwa na Kina Nani na Giggs maana wanajua wanamtafuta vipi striker.
Mkuu jiandae kisaikolojia maana mtaanza kumtukana ole muda si mrefu.
Na unaweza leta Ushahidi maRtial kwenye nafasi 10 anafunga 1? Website karibia zote zinamuweka kama Deadly striker anafikisha Accuracy hadi 40% na ameshaingoza ulaya nzima kama striker mwenye accuracy kubwa kabisa ya kufunga, mara ngapi umemuona anatoa mpira nje ama kipa kudaka?
Unaweza tupa link ya statistics kuwa Martial anaongoza ulayaMan U zamani kuna wakati ilikuwa inategema striker mkali wa kati kati mf Rvp lakini pia kuna wakati ilikuwa inategemea fluid front 3 kama vile kipindi cha Tevez, Rooney, ronaldo.
Kipindi Cha fluid Front 3 hatukuwa tukitegemea Natural winger na magoli yanakuja kwenye build up tokea Nyuma. Mfano mzuri angalia hata Highlights za UTD 7 na Roma 1 pengine hiki ndio kipindi cha Man U bora kabisa.
Kipindi cha RVP mawinga walipewa specific inatruction na Fergie, unampasia RVP afunge ama unaondoka Man Utd, Timu nzima ili evolve around RVP, Tulikuwa na Rooney, Nani, valencia, Giggs na wengine wengi ambao hii kazi wanaijua.
Ole alikuwa ni part ya benchi la Ufundi kutengeneza man Utd ya 2008 na ni muumini wa huo mfumo na ndicho anachojaribu kukifanya man Utd sasa hivi, na hata lukaku alitaka Atokee kulia ili awe na striker ambaye anajua kulink na wenzake. Cavani hana utofauti sana na lukaku huwezi kumueka mbele, hana movement na technique za kutosha kulink na rashford na Greenwood.
Cavani ingekuwa ni 2013 hata yeye anaweza kutupa kombe akiwa amezungukwa na Kina Nani na Giggs maana wanajua wanamtafuta vipi striker.
Mkuu jiandae kisaikolojia maana mtaanza kumtukana ole muda si mrefu.
Na unaweza leta Ushahidi maRtial kwenye nafasi 10 anafunga 1? Website karibia zote zinamuweka kama Deadly striker anafikisha Accuracy hadi 40% na ameshaingoza ulaya nzima kama striker mwenye accuracy kubwa kabisa ya kufunga, mara ngapi umemuona anatoa mpira nje ama kipa kudaka?
Mkuu labda nikueleze kuwa ,,man u walkuwa na nafasi 4 za kujazwa..Sina tatizo na ujio wa Cavani na wala suala la umri wake bado halinipi shida sana kwa kuwa tulihitaji namba 9 asilia.
Kwa upande mwingine ujio wa Cavani (34) aliyekuwa free agent zaidi ya miezi 2 kutokea siku 2 kabla dirisha halijafungwa unatia shaka kama kweli tuna plan nzuri za kumtumia au ni kuwanyamazisha mashabiki nasi tuonekane tuko bize sokoni.
Hadi kufikia jana clubs za ligi kuu zimefanya sajili 110 kwa ujumla wao lakini man utd imehusika na sajili moja tu,VdB.
Kwa sajili za dakika za mwisho kama hizi huonesha kuwa klabu pamoja na benchi la ufundi hakuna plan yoyote ila tunasukumwa na mihemko ya mashabiki tu. Refer usajili wa sanchez,bruno,VdB na sasa Cavani,zote hutokea dakika za mwisho mwisho na baada ya mashabiki kukomand sana halafu mwisho wa siku Ole anatokea kusifia usajili husika as if aliutaka na ndio alioletewa.
By the way,kuna dogo pale leeds united anaitwa Kalvin Phillips anaweza kutufaa sana kwa matumizi ya baadaye kwenye kiungo cha chini endapo miguu ya matic ikishindwa kutii takwa la akili yake.
Cjajua anaona nn kwa Martial aisee mana makosa anayofanya Martial yako wazi kabisa co wakumtegemea.Unaweza tupa link ya statistics kuwa Martial anaongoza ulaya
Ajabu kabisa....tatizo bongo kila mtu mchambuzi..hata kama mpira haujuwi..Kwamba "striker Design ya Cavani unahitaji watu wa Kumzunguka wanaoweza kumlisha kutokana na uwezo wake, mfano kwetu ni kama Dan James"
Mambo mengine yanaudhi na kukera sana ngj tuache tu tusubiri matokeo.
Na pia ni classic player kwmb kesha prove, ss huyo Martial kaprove kwa nani?Ajabu kabisa....tatizo bongo kila mtu mchambuzi..hata kama mpira haujuwi..
Sasa cavani anategemea cross? Kufunga?
Cavani ana maajabu kibao uwanjani .
Hakika mkuu..Na hapo kwenye one on one ndipo tunapomgundua the real goal gater, kocha wangu (RIP) kipindi tukiwa mazoezi wakati huo alikuwa forward ukiotea zen umebaki na kipa anakuacha akuone upeo wa akili yako km forward, ukifunga anapiga filimbi ya kuotea af anafurahi sana, ukikosa utamsikia "mwendawazimu kumiiii" yn apo utazunguka uwanja round 10.
Ss Cavani ni hatari sana linapokuja suala la one on one, hakuachi waulize Portugal kule world cup, ni noma co km kina Martial wanajifunza kufunga, wapenzi wa utd tutulie tusubiri mana wapo tunaoamini timu iko poa tatizo kocha, wapo wanaoamini hatukuwa na forward ya ku deliver (hii pia mm nimo japo pia siamini uwezo wa kocha) ss kaletwa Cavani na naamini bado tutafanya jambo kabla ya dirisha kufungwa, so tutulie tusilaumu kila kitu vingine tuwe tunakubaliana navyo tu.
Hakika mkuu,,,lazima kuna mchezaji mmoja atanuna,,And I can bet ile jezi atavua, Cavani hawezi kuvaa jezi la ajabu wkt kuna mpuuzi mmoja asiye na maajabu anaivaa, watu wanataka kufanya biashara.
Kweli kabisa mkuu..man u mbele hakutishi tenaCjajua anaona nn kwa Martial aisee mana makosa anayofanya Martial yako wazi kabisa co wakumtegemea.
hivi mpo serious kabisa kusema martial anachezea nafasi? martial ana weakness zake ila accuracy ya kufunga sio.Unapoheshabu magoli ya kufunga ,,,hesabu na nafasi za wazi alizokosa martial...
Missed chances ni nyingi kuliko alizofunga,,utasema ni good finisher? Au una striker ?
Ndy maana morinho alimtoa kati akamuweka pembeni,,,
Hapo no 9 kunahitaji sura ya kazi..
Cavani,,lewandosky,,Kane,,nk
We want cavani on the pitch as a main striker no 9.. For man u..Duh! What the hell you guys want????
Taratibu utd inakwenda kwenye uhalisia, mpk ss tuna classic players zaidi ya 5 wanaostahili kuvaa ile jezi bila kujali mbinu za kimchezo uwanjani.Hakika mkuu..
Tena kwa sisi wafugaji wa Kuku martial ni kama kijogoo kinachojifunza kupanda mtetea,,
Siku Jogoo lenyewe likiwepo hapandi tena,,wala hawiki...
Hakika mkuu...cavani PSG kufunga goli 200 mechi 300..huyu ni MTU na nusu,,,Na pia ni classic player kwmb kesha prove, ss huyo Martial kaprove kwa nani?
Namfahamu vzr sana anapenda kununa yuleee [emoji3][emoji3]AuHakika mkuu,,,lazima kuna mchezaji mmoja atanuna,,
Ngoja tuone,,
Alafu mtu anakuja na takwimu zake eti kutuaminisha kuwa Martial ni bora kuliko Edinson ss cjui Martial yupi anayemuongelea.Hakika mkuu...cavani PSG kufunga goli 200 mechi 300..huyu ni MTU na nusu,,,
Golikipa ni sehemu ya ukuta.Alisson ni beki?
Jamaa anataka ukuta kama ukuta.
Mkuu unazungumzia martial huyu huyu aliyekosa magoli kibao,,hivi mpo serious kabisa kusema martial anachezea nafasi? martial ana weakness zake ila accuracy ya kufunga sio.
Martial ni lethal kushinda striker yoyote Epl toka 2017, mtu pekee ambaye amempita msimu uliopita ni greenwood.
View attachment 1589940
msimu wa juzi hio
hii ni ya 2019
The 20 Most Efficient Players in the Premier League So Far This Season
hii ni ya 2020
Sharp Shooters: The 7 Premier League players with the best goals per shot ratio in 19/20
misimu yote toka Martial anakuja yeye ndio deadliest striker wa Epl, na hata msimu huu japo Greenwood ndio ame top, ila still Martial yupo top 5,
lete ushahidi wa martial kupoteza nafasi ovyo.
Wachambuzi maandazi pekee ndy wanaomtetea martial,,Alafu mtu anakuja na takwimu zake eti kutuaminisha kuwa Martial ni bora kuliko Edinson ss cjui Martial yupi anayemuongelea.