Jana juan mata alikuwa anakimbia kushinda huyo dalot wako, pamoja na kwamba wake umesogea.
Kundi la Kifo, Test Nzuri kwa Timu yetu.tupo Group H: Paris St-Germain, Man Utd, RB Leipzig, Istanbul Basaksehir
nina imani na Ole kwenye Mechi kubwa . anajua kutafuta ushindi. hili kundi tunapitaKundi la Kifo, Test Nzuri kwa Timu yetu.
Chelsea Kapewa kundi la Europa League 😂
OGS kafundisha mechi 4 tu Champions league kafungwa 3 kashinda mojanina imani na Ole kwenye Mechi kubwa . anajua kutafuta ushindi. hili kundi tunapita
Watu mna dataOGS kafundisha mechi 4 tu Champions league kafungwa 3 kashinda moja
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Kocha kimeoUnaona sasa?
Bissaka si amekuja juzi tu? Leo tunasajili mbadala kisa ameshindwa kufit eneo hilo. Bruno nae akiwa flop? Tutamsajili mbadala? Pogba je?
Hapo kosa la nani mchezaji kuja akiwa mzuri na kuflop baada ya msimu mmoja?
Belo umeua hahahaha akirudi tena hapa nitagOGS kafundisha mechi 4 tu Champions league kafungwa 3 kashinda moja
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
katunyima imani kwenye mechi ndogo tumpe imani kwenye mechi kubwa huu ni ujinga, kocha hamna pale tutafte kocha mwenye ufundi na mbinu za kutosha, mfano kikosi kilichocheza jana kimeonyesha angalau wana fight ushindi kuliko hyo first eleven yenyewenina imani na Ole kwenye Mechi kubwa . anajua kutafuta ushindi. hili kundi tunapita
hii timu ilioshindwa kusajili wachezaji kwa takribani miezi mitatu inapata wapi nguvu ya kusajili wachezaji wanne kwa siku tanoMechi hizo OLe akipanga hiki kikosi asubuh tuu tunaongoza hilo group.
De gea
AWB. Maguire. Upemecano. Telles.
Bruno Matic Vdb
Sancho. Cavan Martial
Subs: Henderson, Baily, Shaw, Pogba, Fred, Rashford, Greenwood
hii timu ilioshindwa kusajili wachezaji kwa takribani miezi mitatu inapata wapi nguvu ya kusajili wachezaji wanne kwa siku tano
Lol aliisema Baada ya kumsajili fellaini kwa Bei ghali kuliko Release clause.
Jamaa sometime ana kauli tata, ona na hiiLol aliisema Baada ya kumsajili fellaini kwa Bei ghali kuliko Release clause.
Huu usemi ndio exactly una define anachofanya Ed pale Utd.Jamaa sometime ana kauli tata, ona na hii
View attachment 1587440
Kazi yake pale ManU ni kuwaingizia mpunga glazzer's Family.Huu usemi ndio exactly una define anachofanya Ed pale Utd.