Wacha uongo .... ... refa hawezi kukubali magoli ya Swans ..... .... yaani makelele yote ya mashoga ni kuifunga Swans kweli haka katimu naona mwaka huu katakoma maana mikong'oto itakuwa mingi.Swansea 1: Wilfried
Dakika ya 82
[/B][/SIZE][/COLOR]BTW nasikia refa kawabeba leo.
Wacha uongo .... ... refa hawezi kukubali magoli ya Swans ..... ....
Wacha uongo .... ... refa hawezi kukubali magoli ya Swans ..... ....
Belo upo? Ulimola? Ndaga fijo! Weuli? Soro wenyu? Habari? ...... ...... ... ulipotea kidogo mwaka huu lazima uachane na ushoga khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeMbona Gustavo hajacheza leo ?Bado kaumia
Unafikiri marefa wote ni kama yule Arse Wingu aliyempa bahasha leo? Bahasha ilikua nene leo enhn?
Welbz anapiga goli la 4 hapa.
Swansea 1 United 4 (RvP, Welbz, RvP, Welbz)