Timu inacheza kama ndio kwanza wamekutanishwa kwa mara ya kwanza ilhali wako pamoja chini ya OGS tangu 2018. Hakuna pattern ya kueleweka halafu tunajificha kwenye kivuli cha preseason kuwa fupi!Mashabiki tunapenda kuona mambo mazuri tu.
Wachezaji wetu hizo wiki tatu za mapumziko na yaliyopita hapo katikati wengi hawako vizuri mentally.
Lakini kutofanya pre season ndiyo inatutesa zaidi.
Nyie si ni mapenati fc.Leicester city kapata penalti tatu , ila ingekuwa Man u yaani ingekuwa story nyingine
Nyie si ni mapenati fc.
Mpira umeisha Refa anawarudisha mkapige penati
Wachezaji wamesajiliwa juzi tu hapa. Tulia hivyo hivyo, kikosi chenu mko tangu msimu uliopita bado nategemea kushinda kwa penati, mnashinda baada ya Refa kupuliza kipenga cha mwisho
Una striker bora duniani kwa sasa IGHALO then unasema huko vizuri kwenye attacking?
Nyie si ni mapenati fc.
Mpira umeisha Refa anawarudisha mkapige penati
Huo ni mtizamo wako mkuu.
Wewe umezungumzia usajili, kikosi ni kile kile ila umediss usajili ..sasa wewe kikosi chako kiko tangu 2018 huko lakin bado kinasua sua. Arteta kaka juzi tu kawa improved ..kuangalia mtiririko sa ushindi wenu mkubwa unaamuliwa na mapenati..Huwezi kupata penat kama hushambulii umewahi kuona penat inatolewa mtu akikwatulia au kushika katikati ya uwanja?kikosi chenu mbona mnacho toka mwaka jana si mlishika nafasi ya nne nyie wachezaj wa conte na sari ambao walichukua epl na europa wapo katoka hazard na willian tu shida ipo wapi? Huyo willian na pedro hawakuwa wakianza mara kwa mara
Willian Muda wake ulikwisha. Tatizo la Chelsea ni beki siyo mawingaUnamuacha willian umachukua silvachelsea bana ila sema hapa mkuu imekaaje hii
Mbon@ unalialia?Mkuu mbona arsenal kachukua sinia la ngao ya jamii kwa penat au umesahau? Mmemtoa chelsea kwa penat ndani dakika 90 auba kapiga moja au?huwa huko kwenu hamuoni penat zenu
Kuna website za Vichochoroni wanaandika tu wanavyojiskia,Hivi Man U tunamuitaji kweli Kante?!? Ole Gunnar Solskjaer wants N'Golo Kante to add some extra muscle to his midfield, according to reports lakini za uko duniani.
Hizi habari usikute United pia ndiyo wanaziskia kama sisi tu.Hivi Man U tunamuitaji kweli Kante?!? Ole Gunnar Solskjaer wants N'Golo Kante to add some extra muscle to his midfield, according to reports lakini za uko duniani.
Tatizo game kuisha then unarudishwa uwanjani kupiga penatt
Wewe umezungumzia usajili, kikosi ni kile kile ila umediss usajili ..sasa wewe kikosi chako kiko tangu 2018 huko lakin bado kinasua sua. Arteta kaka juzi tu kawa improved ..kuangalia mtiririko sa ushindi wenu mkubwa unaamuliwa na mapenati..
Mbon@ unalialia?