Napenda sana jinsi unavyoweka fact hadharaniKama tulivyoongea hapo juu mkuu, tatizo ni fitness level tu.
Chukulia mfano Pogba tumemaliza Msimu, Ameumwa Corona alivyopona Ligi imeanza, Hata mazoezi hana unategemea nini?
Hebu tuangalie kwa Mifano Finalist wa Ulaya Msimu uliopita.
1. UEFA NI Bayern na Psg.
-Psg kafungwa mechi mbili mfululizo, kikawaida kwenye ligi yao ya wakulima ni Nadra PSG kufungwa nini kimempata?
-ninavyoandika Hapa Bayern kashatandikwa 3 mechi inaendelea kwanini?
2. Europa Sevilla na Inter
-Sevilla kapoteza Mechi 2 zilizopita kapigwa mpaka na Bilbao
-inter kacheza mechi 1 tu Serie A ameshinda ila tayari Ameruhusu Goli 3
Semi finalist kuna
-lyon mechi 4 zilizopita kashinda moja tu
-Rb lepzig mechi 4 kashinda 2 tu
-shaktar mechi 3 zilizopita kashinda 1 tu.
Je mkuu ni coincidence hii? TIMU ZOOOTE zilizofika Nusu ama Fainali ya Mashindano ya Europa ama EUFA zinafanya vibaya?
Jibu ni Rahisi tu, Fitness level ni Ndogo, wengine wamepumzika muda mrefu na Kujiandaa, waliofika mbali Uefa wamepumzika muda mfupi na hawajajiandaa.
Wengi hawajui hiiSio VAR kuna baadhi ya sheria zimefanyiwa marekebisho ikiwemo ya mchezaji kushika ,msimu huu penati zitakuwa nyingi sana kutokana na hayo mabadiliko so kila mtu itafika zamu yake
Timu nyingi sana zimeshapata penati licha ya kucheza game chache
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Maisha yatakuwa magumu sana safari hii.Wengi gawajui hii
Now mpira ukigusa mkono ni tuta hakuna ball to hand wala hand to ball
Ukishika umeshika
Una striker bora duniani kwa sasa IGHALO then unasema huko vizuri kwenye attacking?Msimu huu tunahitaji squad deep.
Mechi ni nyingi muda mchache.
GKs na Midfield hapa tumejitosheleza(quantity)
Backline na attackers hatuko vzr.
Bayern pia kazabwa 4haya Man city Nae huyo, bado tu ni Coincidence Timu zilizoshirki mashindano ya ulaya kufanya vibaya?
Bayern ya Uefa zote au IPI?Bayern pia kazabwa 4
Hiyo hiyo mkuu....Bayern ya Uefa zote au IPI?
Bwana Dully siyo wewe wa kuandika hivi bhana😀😀😀Ile nî takataka, mavi kabisa
Wachezaji wamesajiliwa juzi tu hapa. Tulia hivyo hivyo, kikosi chenu mko tangu msimu uliopita bado nategemea kushinda kwa penati, mnashinda baada ya Refa kupuliza kipenga cha mwisho😂😂Kwa zile hela mlizoweka mzee baba mnagombania drooo daaaa maisha yanaenda kasi sana
Huo ni mtizamo wako mkuu.Silva alipaswa kwenda Marekani sio Chelsea
Huo ni mtizamo wako mkuu.Silva alipaswa kwenda Marekani sio Chelsea
Mkuu hivi vitimu ni nguvu ya soda....utaona baadae vitaanza kupotea keep my wordKwani hivi vitimu vidogo, vyenyewe vilifanya preseason ?!