Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jasho linawatoka balaa. Msipokuwa makini hii game mnapoteza. On target shoot ni moja. Hamja create hata nafasi moja. Goal la set piece ni uzembe wa timu pinzani. Unyesheni ubora basi. 😐😐🙄

Brighton wapo vizuri kuliko united ambao kuna kitu wana kikosa sijajua ni nini!
 
Wachambuzi wanasema wanakosa umoja kila mchezaji yupo kivyake na kocha kazubaa kama mwana mkiwa akiwa na njaa
 
Back
Top Bottom