young ricky
Senior Member
- Aug 24, 2018
- 162
- 165
kila siku nazungumzia hili swala kuna watu wananipinga huyu kocha hana ufundi wala mbinu za mpira kufundisha timu kubwa inayohitaji matokeo kama man utdTeam aina speed na wako very poor katika fiscal battle, kisha wanacheza sana back pass na wachezaji awapigi pass za kwenda mbele sijui uyu kocha amejifundishia wapi kozi yake ya ukocha, tutateseka sana na huyu kocha.
Kajifunzia MONDULITeam aina speed na wako very poor katika fiscal battle, kisha wanacheza sana back pass na wachezaji awapigi pass za kwenda mbele sijui uyu kocha amejifundishia wapi kozi yake ya ukocha, tutateseka sana na huyu kocha.
timu linafanya vibaya sana mkuu hadi unashindwa utetee upande upi mara kipa mara beki mara kocha mara washambuliaji hata bodi inakata tamaaa wanamaliza kiungo na mabek de gea anaua bend wanamaliza viungo maguire na lindelof uchochoro daaa
Wanaambukizana kama mazombie, dawa yao tia kibiriti wote anza upya kama yanga
Makocha wao wanajua kuwatumia.Mbona Bayern, Liverpool na Wolves hawaonyeshi uvivu ?
AtalantaGasperin wa wapi?
si umeona kirusi asipocheza
Sio tatizo .ni position tu anayopangwa !!!si u
si umeona kirusi asipocheza
Makocha tutabadili sana, kama wasipobadili mfumo wa uendeshaji timu.Vipi kuhusu Nuno Espirito Santo au Gian Piero Gasperin au Gareth Southgate ?
AiseeAtalanta
Ukiona mwanamke anakata mauno mbele ya wanaume ,,Damian babatovkweli nyie nyumbu, au ulikuwa unamaanisha Damian Marley?
Sana mkuuAdimu sana mkuu?
€100M hata mimi nikiwepo kwenye board ya Man. Utd sitoi. Kwa mkopo hapo sawa tena mshahara uwe 50/50.DEMBELE KUTUA MANCHESTER UNITED
Manchester United wapo katika mazungumzo na miamba ya soka Barcelona juu ya uwezekano wa kufanikisha kumsajili, Ousmane Dembele.
[https://res]
Kwa mujibu wa Daily Record, vigogo hivyo vya soka kutoka Premier League wanamuhitaji Mfaransa huyo kwa mkopo huku Barcelona wanachohitaji wao ni kutaka kumuuza moja kwa moja kwa dau lenye thamani ya euro milioni 100.
Inadaiwa mpaka sasa uongozi wa Old Trafford akiwemo Ed Woodward wameshafanya mazungumzo na upande wa pili wa Barcelona juu ya uwezekano wa kumnasa nyota huyo.
My Take: Huyu naye tutaishia hivyo hivyo tu kuzungumza naye zen tutashindwana kwenye malipo, cz tunamtaka kwa mkopo ila barca wanataka mpunga.
Ila DEMBELE ni mkali kuliko Sancho cjui unalifaham hilo.€100M hata mimi nikiwepo kwenye board ya Man. Utd sitoi. Kwa mkopo hapo sawa tena mshahara uwe 50/50.
Ila ni injury proneIla DEMBELE ni mkali kuliko Sancho cjui unalifaham hilo.
Injury prone kwa €100M??? Kuja kucheza Premier League!!! United wakitoa hiyo pesa sawa tu maana ndiyo wana mamuuzi ila ningekuwa mimi labda kwa mkopo ila pesa sitoi.Ila DEMBELE ni mkali kuliko Sancho cjui unalifaham hilo.