Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★ESPN | Tottenham Hotspur are interested in signing Jesse Lingard this summer with discussions between intermediaries already underway.
As well as Tottenham, Zenit St Petersburg are also interested in Jesse Lingard.★


#GGMU



manutd |
 
Mbona umewaza Kama mm Mkuu?

Nilisema maneno hayo long before. Bodi inakirusi na kimeitafuna man Utd tangu enzi za man Utd vs One united

Tunahaja ya kukemea wenzangu mjue kwamba wanaomiliji uwanja sio wamarekani? Yaani manager anawakati mgumu sana. Yaan united inamgogoro Wa wakiipuuz sana
 
Mbona wamekuwa wakifanya ndugu!
Tumefungwa kwa sababu ya match fitness wanafanya training lakini ni kama kutimiza wajibu tu.

Laissez faire attitude ya mwalimu inawafanya wachezaji wamuone kama msela mwenzao tu hivyo wanacheza wanavyotaka.

Mwalimu anakuna pumbu kwenye kiti Pogba anafanya utopolo uwanjani,
 
★Hili swala linahitaji maombi kwakweli Duuuh★
 
Unpopular opinion



Man united sisi ni weupe ila vijana wa Lampard ni WEUPE PEE


BTW Joginho aendelee kujifunza kwa Bruno namna ya kupiga pena za kibandankoi


Mbuzi wa Kawe
 
Chief, Chelsea si wa kulinganisha na United asee. Usiwaone hii game wakiwa pungufu, kwa ukamilifu wao wanaupiga mwingi. Kila player uwanjani unamwona ana njaa tofauti na United Pogba, Martial na Rashford huwezi elewa km wanajua timu inahitaju ushindi. Pogba anakimbia utadhani anaruka mavi njian, haliwezi kimbia kabisa. United timu inacheza km in red cards 3
 
Mkuu, hizo njaa zao binafsi sizioni...na kama zipo basi ni suala la muda kabla ya ukweli kuonekana
 
★Mimi huyu wewe huyo wakuniambia ARE YOU SANE???
ama kweli ujue mpaka imebidi nikaangalie google translator kupima kama nilichokielewa ni tofauti kumbe niko sawa umenikosea sana afu nazani umekurupuka bila kujua tulikuwa tunaongelea nini inabidi wewe ndio ukapime Wendawazimu wako hauko timamu ndugu
Maombi? Are you sane?
 
Baada ya kufanya tathmini ya kina nimegundua kwamba man u tatizo co tm bali ni kocha, mana kiukweli kabisa ukiangalia kikosi chetu kina wachezaji wengi tu classic pengine kuliko tm nyingi pale England ukiacha city na Liverpool but kocha hana mbinu ndomana wachezaji wanashindwa kuelewana.

Kocha ndiyo kila kitu kwenye tm, kazi ya kocha inaanzia mazoezini mpk kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, kocha inatakiwa awe ambae amemudu wachezaji yn mchezaji akae benchi lkn akikubali kwamb nastahili kukaa benchi, kocha anatakiwa awe na hamasa kwa wachezaji kiasi kwamba mchezaji anajihisi yupo sehemu salama.

Lakini kocha wetu hana ushawishi kuanzia mazoezini mpk kwenye mechi, kocha wetu mda wote amekaa juu tu hana uhakika na kazi yake anawaachia wachezaji wapambane.

Ifike kipindi mashabiki tugundue kwmb Ole ameshafeli na ndiyo maana kuna makosa mengi tu ya kiuchezaji yanafanyika uwanjani lkn kocha haoni, km Ole ataendelea kuwa kocha tutegemee maumivu hata akiletwa Messi mwishowe ataonekana ni mchezaji wa Barca Tu na co tm nyngne.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…