SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Klopp amefika fainali zaidi ya mbili katika hicho kipindi wakati Ole ameshindwa kusecure nusu fainali zaidi ya mbili ndani ya msimu mmoja....Mkuu me nadhan ole apewe muda.. hiv unajua klop katumia miaka zaid ya mi nne kuijenga hii team.....? Watu wanamlaumu ole bure tu
Wakati huo Klopp akiwa anaijenga timu uliona achievements zake? ... kwa kikosi kilekilw alichokikuta, uliona alipokuwa anafika?Mkuu me nadhan ole apewe muda.. hiv unajua klop katumia miaka zaid ya mi nne kuijenga hii team.....? Watu wanamlaumu ole bure tu
Ole apewe muda unbeaten run 19 matches watu wamesahau
Je ni first target zake!? Ktk misimu sita hivi walimu wote waliokuja ukiondoa Ole wamelia kilio kimoja kwamba hawakuwahi kutimiziwa demands zao za machaguo ya kwanza. Hata huyu ole nae siku akifurushwa tunaweza kuja sikia nilimtaka fulani, Fulani, na Fulani sikupewa. ED Woodward hakwepi lawama ila na kocha nae uwezo ni Mdogo.
Ivi babu, Matic kwani mgonjwa?
Kama yuko fiti, basi Ole kachangia tufungwe.
Swala la usajili haliepukiki.
CB, CF & RW lasivyo tutaendelea kuumia.
Hivi njia gani itumike kumfukuza kazi Ed wood?
Huyu jamaa sina imani nae, haki ya mungu.
Acha tu mdau imefikia hatua mie fan wa hii timu naangalia mpira huku chozi lanidondokaNajaribu kufikiria kama OGS asingekuwa mmoja wa kina Neville, Giggs, Ferdinand, Keane na wenzao, sasa hivi angekuwa anashambuliwa sana.
Timu mliyonayo siyo ya kufungwa kwa manyanyaso vile na Crystal Palace, hata kama ni swala la kwamba hamjasajili, timu iliyowafunga imemsajili nani?
Klopp alionyesha nuru kwa muda wote huo sasa huyu kaonyesha nuru ipi??Mkuu me nadhan ole apewe muda.. hiv unajua klop katumia miaka zaid ya mi nne kuijenga hii team.....? Watu wanamlaumu ole bure tu
Unbeatable 19 matches. Ndo ana rebuild teamKlopp alionyesha nuru kwa muda wote huo sasa huyu kaonyesha nuru ipi??
Mwl!Kuna watu humu wanasema ni sababu man utd haijasajili ... ni sababu haina wachezaji world class kwenye baadhi ya maeneo ... lakini twende mbele turudi nyuma ... unahitaji kikosi kizima cha world class ndo uweze kupata points kwa Crystal Palace?
Ya kwamba kikosi hiki cha wakina Pogba, Fernandez, VDB na wengineo, ni dhaifu kiasi cha kutokuweza kupata points dhidi ya mid-table teams? Haingii akilini. Ingekuwa ni UEFA sawa.
Kuna shida mahali.
Sina maana hiyo. Nimesema Woodward hakwepi lawama mana makocha wote waliopita baada ya fergie ukiondoa ole wote walilalamika kutosajiliwa machaguo yao ya kwanza. Nikasema ukiondoa hiyo Ole nae uwezo Mdogo piaKwa hiyo unachomaanisha ni kwamba Ole hakuwahitaji Bruno, Bissaka na Maguire wala sio chaguo lake?
Ushindi siyo ishu. Ishu pattern ya ushindi imeonekana?Watu wanamsifia arteta kisa kashinda games 2 .. kwan ole hajawah shida games 5 mfululizo...?
Asante , Leo mtatoka kweli ?
Wewe lazima utakuwa arse-anal*
Tatizo sio edi wala magwaya tatizo ni refa hajatupa penati*
Wewe lazima utakuwa arse-anal