Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Embu acha kutetea ujinga goli la kwanza umeliona?? Umeona aliyepiga cross na ni nani alikuwa anakaba ivi unajua lindelof hakufanya chochote pale kuzuia cross hata kuweka tu mguu godamit kasimama anamsindikiza tu alafu unatetea ujinga.
Goli la pili ni uzembe unakaba mikono kwenye boksi ipo mbele mda wowote unasababisha penati anyway hili naweza sema ni bahati mbaya
Goli la mwisho zaha upo naye ana dribble anakupita anakuwekea mwili anakuweka kushoto hufanyi tackle yoyote una sindikiza tu mpaka anaingia ndani angle inakuwa kubwa ya kushoot mpaka aje beki mwenzako kukusaidia ina maanisha wewe umeshafeli tayari.

Ukiachana na hayo katuchoma karibu back bass mbovu 2 moja ya zaha basi tu madogo hawakuwa clinical

Nakubaliana na wewe lindelov huwa anaonewa sana na sisi mashabiki ila kwa leo kacheza utopolo mtupu na hafai kucheZea man u
 
Sisis ni weupe mno bado...VDB ameonesha anafaa...Bila matic ile timu haiwezi kutulia.
.
Bila usajili wa watu wanaoeleweka katika maeneo haya CB...RW...CF tusiwe na matarajio makubwa maana tutaumia tu.
Ivi babu, Matic kwani mgonjwa?
Kama yuko fiti, basi Ole kachangia tufungwe.
Swala la usajili haliepukiki.
CB, CF & RW lasivyo tutaendelea kuumia.

Hivi njia gani itumike kumfukuza kazi Ed wood?
Huyu jamaa sina imani nae, haki ya mungu.
 
Klop alipewa misimu minne kuijenga Liverpool.. tumpe muda ole.. Roma haikujengwa siku moja... Hata fagason enz anachukua team kidogo ashuke daraja ila akapewa muda... Tumwache ole ajenge team... Kwanza hapew wachezaj anao wataka board inabana pesa... Sancho was best player
 
Beki waliopo ni bora mara mia Smalling sema na Rojo
Match fitness ndiyo imetucost nilisema last week sioni United wakifanya mazoezi zaidi ya kusikia habari za hovyohovyo.

Matokeo ya lassez faire attitude ya Mwalimu na timu yake ndiyo haya.

Timu nzima ni kama hawajafanya training yoyote toka wamechomolewa Europa League.
 
Katika hio misimu minne alifika fainali za europa, uefa, carabao
 
Hili ndo tatizo linatukumba United.

Kocha hakuna, uwezo hafifu.

Story za rebuilding hakuna, tunajidanganya. Hata ulete World Class wote, bado Ole Gunner ni mchovu sana.

Arteta amekuta wachezaji walewale ila amefanya kitu ndani ya muda mfupi.

Bodi haina haja ya kusajili chochote, atafutwe kocha mwingine.

Bodi ya Man Utd isitoe mpunga wowote kusajili. Tutachezea hela.
 
Tuwe wakweli,timu haina maendeleo ya namna ilivyokuwa msimu uliopita na huu
Tatizo linaanzia benchi la ufundi.
Imagine kocha unashindwa hata kuhamasisha kasi ya uchezaji!
Leo tumecheza bila striker
SAME BULLSHIT,DIFFERENT DAY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…