Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★On this day in 1992 Gary Neville made his first appearance for MUFC★

manutd |
IMG_20200916_225810_542.jpeg
 
★Manchester United have made contact with Atalanta over the signing of 18-year old winger Amad Traoré.

Ole Gunnar Solskjaer's side see the forward as an alternative to Jadon Sancho.★
IMG_20200917_111557_248.jpeg
 
★Manchester United have made contact with Atalanta over the signing of 18-year old winger Amad Traoré.

Ole Gunnar Solskjaer's side see the forward as an alternative to Jadon Sancho.★View attachment 1572222
Hii timu ni kama haijui kitu inataka.

Hizi tetesi kama ni Media tu ndiyo zinavumisha haina shida ila kama ni timu kweli ndiyo inafanya haya inaonyesha ni jinsi gani hakuna mipango inayoeleweka.

Juzijuzi tu hapa walikuwa wanamtaka Brooks kama mbadala wa Sancho, leo tena wamekuja na mpya.

Kama United wameshindwa kumsajili Sancho ni heri waachane na kutafuta mbadala wake. Mwisho wa siku watafanya panic transfer itakayogharimu timu.
 
Kwa tetesi za Gareth Bale ni bora iendelee kuwa porojo tu. Huyu mpuuzi aje kufanya nini Manchester United? Labda tumsajili aje kupanga koni mazoezini. Tunahitaji kusafisha nyumba kwa sasa Phil Jones, Chris Smalling, Andreas Pereira, Marcos Rojo na Jesse Lingard hawa wanapaswa watafutiwe timu za kucheza.
Wameshakubaliana na Totenham anarejea nyumbani Mungu ashukuriwe sana kwa kutuepusha na huu upuuzi wa Bale.

Nasikia na Reguilon nae anaenda Totenham napo Mungu ashukuriwe pia kwa kutuepusha na kugeuzwa kuwa academy ya Real Madrid.
 
★Yani naona kama vile tuna tapa tapa kama hatuwezi cheza bila sanchoka maana kama tumecheza miaka yote hiyo ije iwe leo itugharimu watulize akili tutachukua dirisha lijalo mtu mwingine★
Hii timu ni kama haijui kitu inataka.

Hizi tetesi kama ni Media tu ndiyo zinavumisha haina shida ila kama ni timu kweli ndiyo inafanya haya inaonyesha ni jinsi gani hakuna mipango inayoeleweka.

Juzijuzi tu hapa walikuwa wanamtaka Brooks kama mbadala wa Sancho, leo tena wamekuja na mpya.

Kama United wameshindwa kumsajili Sancho ni heri waachane na kutafuta mbadala wake. Mwisho wa siku watafanya panic transfer itakayogharimu timu.
 
Naunga mkono hoja yako.
Kwasasa ni bora twende na Green wood tu.
Nina imani dogo akipewa mechi za kutosha, mwakani hamna atakae kua na hamu na huyo jamaa (Sancho).

★Yani naona kama vile tuna tapa tapa kama hatuwezi cheza bila sanchoka maana kama tumecheza miaka yote hiyo ije iwe leo itugharimu watulize akili tutachukua dirisha lijalo mtu mwingine★
 
★Yani naona kama vile tuna tapa tapa kama hatuwezi cheza bila sanchoka maana kama tumecheza miaka yote hiyo ije iwe leo itugharimu watulize akili tutachukua dirisha lijalo mtu mwingine★
Kinachonikera katika hii timu, wanaogopa ku-spend £108M kwa mchezaji mmoja. Wakati huohuo bado hawataki kutumia hiyohiyo £108M kupata angalau wachezaji wawili kuimarisha kikosi na kumpa options nyingi kocha.

Wamefikia hatua wanasingizia Corona. Je, Aston Villa wao hawakupata janga hili? Tena timu ambayo unaizidi kimapato inakuzidi kwenye transfer window japokuwa wao wana-spend pesa nyingi kwa wachezaji wengi pia ila United nao walipaswa kuonyesha ukubwa wa timu.

Wamekalia kusema 'Trust the process' hakuna kitu ni ujinga tu unaofanyika, hakuna process zozote zinazofanyika United. Wamekalia kuimarisha eneo la kiungo kwa kuongeza another AM badala ya kutafuta DM. Sio transfer mbaya ila hii inadhihirisha ni jinsi gani United ina board mbovu kuwahi kutokea.

#GlazersOut #EdWoodwardOut
 
★Ujue mabadiliko yanaanza kidogo kidogo sana na mtu ukimwonyesha kumwamini hapo anakuwa na uhuru wakujitawara pitch kuonyesha juhudi na mauwezo yake hata sanchoka alipewa muda na kuaminiwa lakini hili watu hawalioni ndio zinaanza tetesi mala Balle babu yule sijui wanini japo nimeona habari leo asubuhi Spurs wamemrudisha★
Naunga mkono hoja yako.
Kwasasa ni bora twende na Green wood tu.
Nina imani dogo akipewa mechi za kutosha, mwakani hamna atakae kua na hamu na huyo jamaa (Sancho).
 
★Manchester United presha tupu najitahidi kuizoea na Upuuzi wanao ufanya lakini nashindwa kabisa

Back
Top Bottom