Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mwisho wa msimu Ole alete majibu kama bado anafaa au la.

Lampard na Arteta wanaweza kumuaibisha mapema sana.

Arsenal wanacheza mpira unaonekana kabisa.
 
Brother.

Man Utd ni brand kubwa sana.

Waarabu wakiamua kumwaga mpunga hawajali maswala ya hayo madeni.

Hakuna mtu mwenye hela asipende kupata dodo kama la kumiliki Man Utd.
 
Brother.

Man Utd ni brand kubwa sana.

Waarabu wakiamua kumwaga mpunga hawajali maswala ya hayo madeni.

Hakuna mtu mwenye hela asipende kupata dodo kama la kumiliki Man Utd.
waarabu hawawezi pewa timu epl, Saudi wameshakataliwa Newcastle, sidhani kama ya City na Psg yatajirudia tena, sheria nyingi sana zimetungwa baada ya take over za mabilionea Malaga, city, Psg, chelsea etc
 
chief, naifahamu vizuri sana nguvu ya manchester united kithamani na hoja yangu haikuegemea kabisa upande wa assets...........ndani ya miaka 5 matajiri wa man city wamewekeza mtaji wa takribani trillioni 2 pale etihad lakini kwa ukoo wa glazer hali ni tofauti (kama ulivyoelezea hapo juu)

ndio maana nikasema man city ameshamzidi man utd (kiuwekezaji).
ukoo wa glazer ni parasite
 
my mistake mkuu, ni kweli kwa uwekezaji wa wamiliki wametuacha mbali,
 
Mdadavulie sasa mdau
Mkuu hakuna haja ya kumdadavulia..kama ameangalia gemu zetu msimu huu na anasema ole hana mbinu kabisa hata nikimdadavulia hawezi kuelewa..

Ole anaweza kuwa sio tactical masterclass kihivyo lakini tactics zake zimetupa positive result msimu huu,so kum-underrate hivyo sio poa
 
★On this day in 2013 :

- Rio ferdinand played his 400th appearances for MUFC
- Ryan giggs played his 600th PL appearances
- Paul scholes played his 700th appearances and scored his final goal for UNITED★

#Legends

#GGMU


manutd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…