Manaake ni kwamba tunajivutavuta sanaaaa kwenye deals kiasi kwamba tutajivuta hadi akiwa Mzee na bado tutakuwa tunaendelea kubageni tu na borusiaHahhaaa sanchoView attachment 1568046
Me mwenyewe nashangaa wanasema et mario aliogopa aise kwamba hizi mechi huwa wanaangalia peke yakoHiyo game niliiona hapo super mario alitaka kwenda kumzaba makofi criss, washabiki wakamshika
Tunaongea kila siku hilo suala lkn wapenzi wengi wa man u humu nao wamenasa kwenye mtego wa Sancho pasipo kujua target ya Woodward ni pesa ya mauzo ya jezi no.7 lkn kiuhalisia hatuna shida ya no.7, hizo pesa za kumsajili Sancho wangezitoa kumsajili Haaland ingekuwa na mantiki.
Baada ya hii mechi ndio nimejua kuwa striker wa kishoka anatakiwa sana kuliko uhitaji wa Sancho
Hichi kikosi kilikuwa hatari.haya tena jamani tumerudia zile dozi zetu kama kawa....man utd 4 sunderland 0!!!thanx to Rooney,Ronaldo na Saha leo kaja na two by two...we are on top kwa masaa machache
Mtu hakujui wala humjui lakini yuko tayari ukose connection kisa mpira😂😂😂 braza hivi ni vitu vya kupita tu ..natumaini utakuwa na furaha sasa.Mkuu wachana naye huyo mtoto bora umpe yule jamaa aliyeomba akufate pm huyo wachana naye kwanza anatuharibia uzi humu.
kwa hio mkuu unaona ni sawa club kubwa kama man U miaka 7 toka aondoke Louis Nani na Valencia kutumika kama beki haina winga wa kulia? bado unaona hatuhitaji winga wa kulia?Tunaongea kila siku hilo suala lkn wapenzi wengi wa man u humu nao wamenasa kwenye mtego wa Sancho pasipo kujua target ya Woodward ni pesa ya mauzo ya jezi no.7 lkn kiuhalisia hatuna shida ya no.7, hizo pesa za kumsajili Sancho wangezitoa kumsajili Haaland ingekuwa na mantiki.
Umeeleza vizuri sana mkuu..Big Upkwa hio mkuu unaona ni sawa club kubwa kama man U miaka 7 toka aondoke Louis Nani na Valencia kutumika kama beki haina winga wa kulia? bado unaona hatuhitaji winga wa kulia?
hebu angalia mabingwa wa ligi 5 kubwa.
1. uingereza liverpool, hawategemei striker bali wana inside forward wawili
2. ufaransa psg hawategemei striker wana inside forward wawili wazuri
3. italia juventus hawategemei striker wana inside forward/10 wazuri
4. spain Madrid wanategemea striker benzema
5. ujerumani bayern wana striker ila nguvu yao kubwa ni pembeni/10
ukitoa madrid mabingwa wa ligi 5 wakubwa wote wapo vizuri sana kwenye inside forward, imagine timu kama bayern wangemtegemea lewandoski then wakamchezesha midfield yoyote kama thiago, badala ya perisic/coman/gnabry wangebeba ucl?
hata hao madrid si kwamba wameridhika na Benzema, ndio maana wanatoa mpunga mrefu kusajili kina hazard, bale, ronaldo etc, katika most expensive transfers za madrid ni luka jovic pekee ndio striker wengine wote ni inside forward ama midfielder wenye uwezo wa kufunga.
angalia hata club nyengine kubwa kama Man city na Barcelona utaona same thing, priority kubwa inapewa kwa inside forward na viungo washambuliaji, pep ana mawinga kibao na bado anasajili hao hao, japo Aguero ana tatizo la majeruhi ila hata hahangaiki sana eneo hilo.
tunaishi age ambazo kina Neymar, messi, ronaldo, salah, mane, dybala etc wanasumbua then sisi man U eti hatuna winga kabisa tunaibia ibia tu mara greenwood, mara mata, mara herrera etc makocha wote wa man u aliyepo sasa na waliofukuzwa kila mmoja kwa wakati wake alitaka winga, ila club ikashindwa kuwaleta.
sijaangalia mechi ila highlight alicheza namba ya pogba, rashford akacheza no ya brunoWaliocheki gemu ya jana VDB alikuwaje na alichezeshwa eneo gani?
sijaangalia mechi ila highlight alicheza namba ya pogba, rashford akacheza no ya bruno
Hizo penalty angefunga Bruno Fernandes ingekuwa story kubwa sana.Isingekuwa zile penalty, Liver alikuwa kakaa kabisa
Hivi Man United hawawezi kumnunua Riyadh Mahrez kama mbadala wa Jadon Sancho ?kwa hio mkuu unaona ni sawa club kubwa kama man U miaka 7 toka aondoke Louis Nani na Valencia kutumika kama beki haina winga wa kulia? bado unaona hatuhitaji winga wa kulia?