Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwahiyo yeye ndiye alikua anamuweka benchi Pullisic?
 
Kwahiyo yeye ndiye alikua anamuweka benchi Pullisic?

1.Pulisic amezaliwa 1998 while Sancho 2000 (Wakati Sancho anaenda Dortmund Pulisic tayari alikuwa senior team)
2.Sancho alihama Man City baada ya kuona hawezi kupata nafasi kwenye senior team,Dortmund walimsajili kwa timu ya vijana
3.Baada ya mechi chache Sancho alikuwa promoted kwenye senior team tangu hapa hajawahi kuwekwa benchi
4.Sancho ndio alimuweka Pulisic benchi msimu wake wa mwisho kabla hajahamia Chelsea
 
Uyo sancho EPL ilimshinda usimfananishe na Pulisic
 
Ni kweli mkuu nilifurahi sana kuja kwa Donny sasa tunadepth nzuri kwenye midfield yenye wachezaji wazuri 6 hapo tunaweza kubadili mfumo uwanjani kadri tunavyotaka lakini pia tunaweza kufanya sub ya Pogba au Bruno bila shaka pale wanapochoka.
faida ya kwanza:
unaweza ukawa na wachezaji wachache wenye ubora lakini ukawa na kikosi kipana (squad depth), ukiachana na ishu ya tactics huu usajili wa donny kwa jicho la kawaida utasaidia kutanuka kwa kikosi chetu (ni mchezaji mwenye uwezo wa kucheza nafasi nyingi).

  • ukicheza na team isiyopenda kufunguka kwa kocha anayejiamini anaweza kuanza na donny + pogba + bruno
  • ukipatwa na tatizo la injury (kati ya bruno au pogba): donny ana uwezo wa kuziba nafasi zao
  • ukicheza diamond (rejea mechi ya everton): donny + matic/fred/scott + bruno + pogba
====================================
 
Kwa usajili huu utatuongezea kitu tunahitaji sasa tusajili na Right wing.

But bado naamini Raul Jimenez akisajiliwa atatuongezea kitu kikubwa sana pale mbele.

But all in all league imekaribia kuanza tutafanya kama wafanyavyo wachuna tembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…