Striker na winger ni muhimu zaidi mkuu.The best 007,
Hahahahaaa inaonekana huwakubali kabisa Anthony na mshikaji wake Marcus. Kwa sasa namba ya muhimu zaidi kununua mchezaji ni beki wa kati hapa pana tatizo kubwa sana. Tumedondosha sana points muhimu kwa uzembe hapana kiongozi ktk hili eneo, muda inapopigwa kona au set pieces ni rahisi sana sisi kufungwa na cross ikipigwa kwa umakini tunakuwa ktk hatari.
Utoe £80M mchezaji atokee benchi? Hiyo ni kumleta mchezaji atakeleta impact right away.Tia Cavani kati pale, tia VDB huku pembeni pia hata Grealish sajili japo wengi wanamchukulia poa najua kwasabu anacheza na Sammata ndivyo WaTz tulivyo but Grealish huwezi mfananisha na wapuuzi wengi pale utd na kwasabu atakutana na mafundi zaidi yake lazima atachange mpira wake wa anao anao,
kikosi kiwe
1. De gea
2. AWB
3. Shaw (apatikane beki wa kum back up huyu)
4. Upermecano
5. Maguire
6. Matic
7. Sancho
8. Bruno
9. Cavani
10. Pogba
11. VDB
Benchi:
Grealish, Fred, Mctomminay, Martial, Rashford, Greenwood, Bailly, Williams n.k
Hapo kwenye first eleven utaona ni wachezaji wa3 tu ambao hatujawasajili ukiongezea na Grealish utaona kwamba ni wachezaji wa4 tu ambao nitaongezea hapo na unaweza kuona upana wa kikosi hapo.
Waingereza hawajui mpira. Usiwasikilize hao pundits ukaweka maneno yao kichwani.Mkuu Roy Keane aliwahi kusema kwamba tusitarajie makubwa toka kwa Martial, kuna kitu alimaanisha na nahisi mm nilimuelewa sn cz aliongea yale yale niliyokuwa nawaambia watu.
Ni kweli ila Martial hatufai popote hata ukimuweka no11 bado huwa anapata tabu kupenya kuingia ndani, cjajua ni kwnn mashabiki wengi mnamuelewa huyu jamaa, ofcz mm con chochote kutoka kwake I don't know why.Waingereza hawajui mpira. Usiwasikilize hao pundits ukaweka maneno yao kichwani.
Rio. Keane. Scholes. Neville.
Hawa jamaa hawajui kitu.
Japo Martial anatakiwa apate mtu wa kumtoa jasho.
Martial yupo vizuri.Ni kweli ila Martial hatufai popote hata ukimuweka no11 bado huwa anapata tabu kupenya kuingia ndani, cjajua ni kwnn mashabiki wengi mnamuelewa huyu jamaa, ofcz mm con chochote kutoka kwake I don't know why.
Ndio hawa wachezaji tunawakumbatia tukijiongopea wako vzr mwisho wa siku tukikutana na wanaojua hata on target moja hawapigi.Martial yupo vizuri.
Kutomkubali wewe hakumaanishi sio mchezaji mzuri.
Ndo hapo ss, ebhn inasemekana Bayern na Man u wapo mezani kuhusu Alcantara, mwenye info atupe.Ukiangalia ile front 3 yetu halafu ukutane na timu kama Munchen, Juve,R. Madrid,PSG n.k ndio utapojitambua una vijitu siyo watu!
Vipi kuhusu Paul ScholesTunaanza kuongea lugha moja.
Moja kati vitu ninawachukia waingereza ni kujikuza kule wasipostahili.
Wanajiona wana viwango wakati ni wakawaida sana.
Muingereza pekee niliemkubali kizazi hiki ni Wayne Rooney labda kidogo umuweke David Beckham.
Ila wengine sioni uajabu wowote.
Mnamlaumu Martial Je amezungukwa na kina nani? Au ndo hizo pasi uchwara za fred? Au mnataka akokote mpira kutoka goli moja hadi lingine.Ni kweli ila Martial hatufai popote hata ukimuweka no11 bado huwa anapata tabu kupenya kuingia ndani, cjajua ni kwnn mashabiki wengi mnamuelewa huyu jamaa, ofcz mm con chochote kutoka kwake I don't know why.
Hakika mkuu,,,Striker na winger ni muhimu zaidi mkuu.
Ukiwa na striker anakupa magoli 25 ya epl kwa msimu ataleta utofauti mkubwa kwenye msimamo kuliko mabeki.
Naamini kwenye kushambulia zaidi kuliko kuzuia. Tukiondoa draw zisizo na ulazima, tutafika mbali tu.
Mkuu martial yupo vzr sana akiwa left,Ni kweli ila Martial hatufai popote hata ukimuweka no11 bado huwa anapata tabu kupenya kuingia ndani, cjajua ni kwnn mashabiki wengi mnamuelewa huyu jamaa, ofcz mm con chochote kutoka kwake I don't know why.
Liver poor walipeleka ofa yao ikawa ndogo,,Ndo hapo ss, ebhn inasemekana Bayern na Man u wapo mezani kuhusu Alcantara, mwenye info atupe.
Schoels ni fundiVipi kuhusu Paul Scholes
Kweli mkuuMnamlaumu Martial Je amezungukwa na kina nani? Au ndo hizo pasi uchwara za fred? Au mnataka akokote mpira kutoka goli moja hadi lingine.
Mpira ni combination,Kuna mdau aliongelea accuracy ya Martial hapo EPL.
Psg na Juve tuliwafunga na kikosi kibovu kushinda hiki, na Ole siku zote anafanya vizuri akikutana na timu inayofunguka.Ukiangalia ile front 3 yetu halafu ukutane na timu kama Munchen, Juve,R. Madrid,PSG n.k ndio utapojitambua una vijitu siyo watu!
Sawa bwana OGS tumekuelewaNaondoa
1 Smalling
2 Phill jones
3 Rojo
4 Lingardinho
5 Perreira
6 Mata
7 Fred
Naleta
1 Regullon ile LB ya Madrid iliyoko sevila kwa mkopo
2 World-class CB Kama Upermecano
3 Alcantara
4 Sancho
5 Jiminez
Nawapa onyo
1 Rashford
2 Dan James
Ila tu kama ningekuwa Ole + Ed Woodward
Ni kweli ila mm nilianza kugundua kwamba Martial hatoshi tng enzi zile anatokea kushoto, huwa anajitahidi kutoka mtu lkn mara nyingi anashindwa japo zipo chache alizo win so tng hapo nikawa namfuatilia kwa makini na kiukweli jamaa ana nyota ya kupendwa cz hata mm nilitokea kumkubali sn but mwishowe nikagundua ni overrated player.Mkuu martial yupo vzr sana akiwa left,
Na uchezaji wake sio wa kutia cross ndani,bali ni kupenya na kutoa assist,,
Ni mzr sn martial ukilinganisha na forward tulionao kwa sasa,,
Ila hatoshi kuwa main striker,,
Anapaswa arudishe jezi no 9 ,,acheze winger..