Beki mpya akisajiliwa atayaexpose kwa uwazi zaidi makosa ya Harry Maguire.
Kuna watu wanadai Lindelof ni mbovu lakini mimi naona Lindelof anaficha makosa mengi sana ya Harry Maguire.
Mapungufu ya Lindelof ni aerial duels ambazo ameimprove sana msimu huu ukilinganisha na last season kingine Lindelof hana pace but anajua positioning vizuri sana.
Ukiangalia mechi tulizofungwa kwa reckless defending utakuta aliyefanya makosa mengi ni Hatry Maguire recently ni mechi ya Sevilla goli la kwanza, game ya chelsea two goals.
Kama kweli Solkjaer anasajili beki wa kumreplace Lindelof muda utasema nani mwenye individual errors kuliko mwenzake.
✓Rojo
✓Smalling
✓Jones
✓Perreira
Muda unaenda,it's about time hawa vijana watafutiwe timu za kwenda watuachie United yetu
Huyo tunamhesabu keshastaafu mana kucheza hachezi kazi kula mshahara tu, kuna watu wana bahati duniani hapa.Ongeza Lingard mkuu
Unataka kusema kwamba Passing accuracy ya Lindelof ni faulty ???Mkuu PTER linderlof co beki wa kumtumainia, alikuwa mbovu kabla hata hajafika Maguire, tatizo lake kubwa ni marking na ndiyo maana hata cku ile na sevilla baada ya kuchoma Bruno alimfata kumpa ukweli wake yn huwa anakabia macho pia ana tabia ya kumsindikiza beki, Maguire ni dizain ya beki smart asiyehitaji vurugu nyingi, yeye kazi yake ni kumaliza pale na kupanga mashambulizi ( modern football) but akicheza na linderlof huwa hajiamini na ndiyo maana unakuta naye anavurunda mana atataka kupanda lkn aliyemuacha nyuma ni kiande so anajikuta ana hofu nyingi, yn Maguire ni heri acheze na bailly ndo utakuta ana relax tatizo kubwa ni ole anaonekana hamuamini bailly na ndiyo maana akipangwa naye pia anapoteza kujiamini mwishowe anachoma but angeiminiwa wala kulikuwa hakuna haja ya kununua beki na ukitaka kuamini nisemacho ngj bailly apelekwe hata kwa mkopo tm nyingine af uone.
Pia linderlof tatizo lake kubwa ambalo mara nyingi lina ikosti tm ni ubovu wa pasi, yn jamaa ni mbovu wa kupiga pasi sijawahi ona, ofcz pale utd kuna watu wanakula pesa za bure na mmoja wapo ni huyu nyumbu anayeitwa linderlof yn ndo nyumbu mwenyewe ss, na ukisikia man u inaitwa nyumbu basi nyumbu ndo huyu mpuuzi anayejiita linderlof.
VDB ni mchezaji mzuri sana wasi wasi wangu ni wapi atatumika kwa kiwango chake siyo level ya back up playerHuyo Van de beek ni Sanchez mwenye nywele nyeupe tu!![]()
Mkuu atapambania namba..hii united inabidi iwe na wachezaji wakali mwanzo mwisho..hata Fernandes na Pogba wakianza kuzingua wanawekwa benchi watu wanachukua nafasi..VDB ni mchezaji mzuri sana wasi wasi wangu ni wapi atatumika kwa kiwango chake siyo level ya back up player
Good in attacking, good marking and good defending what a boy !!!!!
Ni kweli ila kwa sasa itabidi apambane sana kuingia kikosi cha kwanza kama ataweza kuzoea mazingira haraka kwa work rate yake tutakuwa na kikosi kizuri sana kwenye midfield.Mkuu atapambania namba..hii united inabidi iwe na wachezaji wakali mwanzo mwisho..hata Fernandes na Pogba wakianza kuzingua wanawekwa benchi watu wanachukua nafasi..
True huyu VDB na work rate yake ni nzuri..Ni kweli ila kwa sasa itabidi apambane sana kuingia kikosi cha kwanza kama ataweza kuzoea mazingira haraka kwa work rate yake tutakuwa na kikosi kizuri sana kwenye midfield.
Siku tukichezesha Tominay, Donny, Bruno, hapo midfield patakuwa pamoto sana.
Huyu mshambuliaji labda Mimi namuona vibaya ila huwa Naamini si mzuri kivilee! Siyo top clinical finisher! Ana uzito Fulani hivi na control yake bado ni shida, so namuona kama ni mshambuliaji ambae hajakamilika na hawezi kubadilika!1.Lukaku amecheza United only 2 season
2.Lukaku ni pure no 9 unlike Martial & Rashford.SAF alikuwa na forward 4 wenye different attribute now tuna forward 3 wenye similar attribute (Greenwood,Martial,Rashford) ndio maana tumekuwa very predictable kwenye kushambulia
Angalia hiyo review kuhusu Lukaku
Kama Van Beek keshasaini hakuna haja sana hapo kwenye DM. Ila winga Wa kulia,beki mzuri Wa kati na Wa kushoto ikiwezekana na kulia + namba 9 anaejielewa ni muhimu!Je hatutasajili DMF au wings jamani
Akishasema huyu Fabrizio Romano huwa Naamini hyo Habari ni kweli 90%Man u co ya kuamini mpk mtu atue
Huyu kiungo mzuri sana na ni versatile anacheza kiungo mlinzi, kiungo mshambuliaji na ana kaba vizuri pia. Ana work rate kubwa pia si kama Pogba,ila sina maana ya kumsema vibaya pogba japo huyu mchezaji Naamini anaweza kuwa msaada kuliko pogba! Labda tu kocha ashindwe kumtumia.Wakuu habari..its been a while..pweh!!
Naona VAN DE BEEK anafanya medical mida hii(kulingana na Fabrizio Romano)
Binafsi simjui vizuri huyu mchezji lkn nimengalia Clips Youtube naona ni attack minded midfield..na anacheza sn upande wa kulia..maybe atakuwa deployed kama RW km tukimkosa sancho..Maybe!!!
Hivi yule coulibaly Wa Napoli bado ni gharama sana au umri,au hatufai!?Mkuu harry ni bonge la beki..tatizo kazungukwa na watu ambao sio sahihi.. Lazima kupatikane back 4 mfia timu kama level ya vidic..
Man u wakati yupo Ferdinand 5 na vidic 4 beki ilitulia,,
Pacha ya harry na lindleof haijatulia,,
Lindleof bado haeleweki,,,ngoja asajiliwe no 4 mfia timu ,,,acheze pacha na harry..utaona uzuri wa harry...
Naamini angekuja ila influence ya Pep ilimpeleka Munchen hasa ukizingatia Pep alikuwa kocha wao kule barca na ni mhisipania na dogo alikuwa bado Mdogo sana,hivyo kwa vyovyote hata ningekuwa Mimi ningeenda kule mana ni klabu kubwa pia lakini angepata faraja pia kuongozwa na mspain mwenzakehuyu dogo haipendi united maana alishatuchomolea kipindi kile