Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sawa sawa ,,lakini aina ya uchezaji wa Manchester hutumia zaidi mawinga na full beki kupanda na kutoa cross,,sasa bila striker aina ya IBRA,,au Cavan utashindaje?
Timu inayotumia mipira ya kupenyeza kama Barcelona ndy timu ambayo inakuwa na viungo wengi ili kumiliki Mpira,lakini kwa mfumo wa man u tangu enzi za fegy,,mfumo ni mawinga na kuweka mpira golini,,,
Man u hatuna mambo mengi,,pasi zilikuwa ni tatu tu goli,,
Ferdinand anampa carik carik anapiga ndefu inakutana na Ronald anaweka ndani teves au barbatov anamaliza..
Almost timu nyingi siku hizi zinatumia full backs kuanzisha mashambulizi. Unadhani Bisaka kiwango alichoonyesha kinamfanya afuzu kua attacking full back?
 
Hapa kwenye kuwaamini viungo tupo wote. Timu ikiwa ni kiungo kizuri unaona katikati pamebalansi na hakuna kupitwa hovyo huku muda wote timu inaumiliki mpira.

Barcelona ya kina Xavi, Iniesta & Co.
Hao akina eniesta na xavi ,,mesi wote wanacheza kama viungo,,pasi fupi fupi,
Lakini man u,,ni lazima kuwe na viungo bora mfano zamani carik anacheza na Fletcher,, wote wazuri sana tu,,huwezi ukajaza viungo halafu striker hana target,,hana skills za kufunga,,ni bure mkuu,,timu lazima iwe na finisher mzr level ya akina cavani....
Hivi mkuu uliwahi kuangalia Manchester united siku timu ikijaza viungo vingi tunavyohangaika kufunga?
 
Ila Fletcher na Carrick walikuwa kawaida sema walikuwa wafia timu na aggressive. Hawa wa sasa wana skills ila mdebwedo

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Almost timu nyingi siku hizi zinatumia full backs kuanzisha mashambulizi. Unadhani Bisaka kiwango alichoonyesha kinamfanya afuzu kua attacking full back?
WBS sasa ameshuka kiwango,,ndy maana nikasema tunahitaji 2 na 3 viwango vya evra,,,na hata akiwa na Kiwango bora hyo cross atafunga nani?hatuna good finishers kwa mipira ya kuunganisha?
Angalia magoli ya mwisho ya kuunganisha toka IBRA aondoke hayajafungwa tena hapo man u..magoli yote ni ya kumgonga mtu mpira unazagaa wanamalizia,,
Tunahitaji finisher wa kuua timu pinzani,,kama alivyokuja van persi na kutupa kombe.
Bila striker man u msimu huu bado tutasubiri sn..
 
Ila Fletcher na Carrick walikuwa kawaida sema walikuwa wafia timu na aggressive. Hawa wa sasa wana skills ila mdebwedo

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Hivi mkuu carik au schoals,,,,ni wa kawaida?au sababu walikuwa hawana mambo mengi?
Hebu niambie ni lini Manchester hii kwa viungo tuliona alipiga long pas upande mmoja kwenda mwingine na pasi ikafika sehemu husika ,,?
Carik pasi moja kwa gigs,,au Ronaldo ,tena pasi yenye macho,,inapigwa pembeni,,
Au mtu kama paulo schoals walikuwa wa kawaida?
Timu lazima iwe na wachezaji wa viwango..
Nadhani kutokana na aina ya uchezaji wao ndy walionekana wa kawaida..
Tunahitaji timu ya kupambana mkuu.
 
Hao akina eniesta na xavi ,,mesi wote wanacheza kama viungo,,pasi fupi fupi,
Lakini man u,,ni lazima kuwe na viungo bora mfano zamani carik anacheza na Fletcher,, wote wazuri sana tu,,huwezi ukajaza viungo halafu striker hana target,,hana skills za kufunga,,ni bure mkuu,,timu lazima iwe na finisher mzr level ya akina cavani....
Hivi mkuu uliwahi kuangalia Manchester united siku timu ikijaza viungo vingi tunavyohangaika kufunga?
Yeah nimewahi kuona. Ila mara nyingi CMF au AMF hua skilled katika kufunga kuliko DMF so kwa mpira wa tiki taka yeyote atakufunga kama siyo CF goi goi Braithwaite basi De Jong atamaliza
 
WBS sasa ameshuka kiwango,,ndy maana nikasema tunahitaji 2 na 3 viwango vya evra,,,na hata akiwa na Kiwango bora hyo cross atafunga nani?hatuna good finishers kwa mipira ya kuunganisha?
Angalia magoli ya mwisho ya kuunganisha toka IBRA aondoke hayajafungwa tena hapo man u..magoli yote ni ya kumgonga mtu mpira unazagaa wanamalizia,,
Tunahitaji finisher wa kuua timu pinzani,,kama alivyokuja van persi na kutupa kombe.
Bila striker man u msimu huu bado tutasubiri sn..
Uvumilivu anaooneshwa Maguire na Bisaka angeonyeshwa Lukaku
 
Yeah nimewahi kuona. Ila mara nyingi CMF au AMF hua skilled katika kufunga kuliko DMF so kwa mpira wa tiki taka yeyote atakufunga kama siyo CF goi goi Braithwaite basi De Jong atamaliza
Hivyo mkuu aina ya uchezaji wetu martial hatoshi kuwa ndy main striker,,anatakiwa acheze wide ndy anakuwa mkali sn,,,
 
Sawa sawa ,,lakini aina ya uchezaji wa Manchester hutumia zaidi mawinga na full beki kupanda na kutoa cross,,sasa bila striker aina ya IBRA,,au Cavan utashindaje?
Timu inayotumia mipira ya kupenyeza kama Barcelona ndy timu ambayo inakuwa na viungo wengi ili kumiliki Mpira,lakini kwa mfumo wa man u tangu enzi za fegy,,mfumo ni mawinga na kuweka mpira golini,,,
Man u hatuna mambo mengi,,pasi zilikuwa ni tatu tu goli,,
Ferdinand anampa carik carik anapiga ndefu inakutana na Ronald anaweka ndani teves au barbatov anamaliza..
Mkuu man ilishabadilika kiuchezaji, huo mpira ulikuwa enzi zile za Fergie tunaliita soka la kushambulia ambalo saivi ndo linachezwa pale Bayern, yn no shobo ni mbele kwa mbele, lkn cku hz man u inajaribu kucheza mpira wa kumiliki zaidi katikati na ndiyo maana utaona tm imepooza mno cz tumezoea soka la kushambulia tu pasi nyingi hatuna mpango nazo, na ndiyo maana hata hzo krosi unazosema cku hz huzioni co kwamba haiwezekani but utampigia krosi forward mwenyewe nani wa kufunga kwa krosi? Hakuna so inabd tutrgemee viungo wamiliki zaidi katikati ili kupunguza madhara yanayoweza kutokea pindi mpira unaponaswa na wapinzani.

Van gaal aliwahi kusema njia nzr ya kujilinda ni kumiliki mpira, lkn ili umiliki mpira unahitaji viungo wabunifu wenye uwezo wa kukaa na mpira lkn pia viungo wabunifu dizain ya Bruno huwa wanafunga pia so tukiwa na kina Bruno km watatu tu ukiongeza na waliokuwepo mbn safi tu.
 
Hivi mkuu carik au schoals,,,,ni wa kawaida?au sababu walikuwa hawana mambo mengi?
Hebu niambie ni lini Manchester hii kwa viungo tuliona alipiga long pas upande mmoja kwenda mwingine na pasi ikafika sehemu husika ,,?
Carik pasi moja kwa gigs,,au Ronaldo ,tena pasi yenye macho,,inapigwa pembeni,,
Au mtu kama paulo schoals walikuwa wa kawaida?
Timu lazima iwe na wachezaji wa viwango..
Nadhani kutokana na aina ya uchezaji wao ndy walionekana wa kawaida..
Tunahitaji timu ya kupambana mkuu.
Hajamgusa Scholes mkuu, yeye amesema Carrick na Fletcher walikuwa wa kawaida ila ni wafia tm, mm ngj niongeze kdg ni kwamba walikuwa wa kawaida ila walikuwa wanajitoa sn lkn pia approach ya kocha ilikuwa sahihi kwa muda sahihi na bahati pia ya tm usisahau.

Hapo kwa Scholes usiguse kabisa mkuu yule alikuwa ni World Class Mzee.
 
Uvumilivu anaooneshwa Maguire na Bisaka angeonyeshwa Lukaku
Mkuu Lukaku amekaa misimu zaidi ya mi3 pale utd na nyie wapinzani mkawa mnamuita mwenye kilo 100, Bissaka na Maguire nadhani ndo kwnz wamemaliza wao wa kwanza so bado tunawapa muda cz hawajavurunda.
 
Mkuu man ilishabadilika kiuchezaji, huo mpira ulikuwa enzi zile za Fergie tunaliita soka la kushambulia ambalo saivi ndo linachezwa pale Bayern, yn no shobo ni mbele kwa mbele, lkn cku hz man u inajaribu kucheza mpira wa kumiliki zaidi katikati na ndiyo maana utaona tm imepooza mno cz tumezoea soka la kushambulia tu pasi nyingi hatuna mpango nazo, na ndiyo maana hata hzo krosi unazosema cku hz huzioni co kwamba haiwezekani but utampigia krosi forward mwenyewe nani wa kufunga kwa krosi? Hakuna so inabd tutrgemee viungo wamiliki zaidi katikati ili kupunguza madhara yanayoweza kutokea pindi mpira unaponaswa na wapinzani.

Van gaal aliwahi kusema njia nzr ya kujilinda ni kumiliki mpira, lkn ili umiliki mpira unahitaji viungo wabunifu wenye uwezo wa kukaa na mpira lkn pia viungo wabunifu dizain ya Bruno huwa wanafunga pia so tukiwa na kina Bruno km watatu tu ukiongeza na waliokuwepo mbn safi tu.
Hivi mkuu unaamini kama zama zile za mipira ya cross zimepita?
Kama ni kweli mbona tunapambana kumpata Sancho?
Maana inaonekana kama hakuna mtoa cross mzr pale man u,,ndy maana club
Inamtaka Sancho ,,baada ya wbs kushindwa kumpa kocha kile alichotegemea,,
Na pia lazima ujuwe kwamba mpira ni magoli,,na ushindi,,mambo ya entertainment hayawezi kuleta furaha kwa mashabiki au hayawezi kuleta vikombe kwnye club,,
Ni lazima tuwe na aina yetu ile ya uchezaji,, attacking football,,
Kama man u inataka kuwa mshindani basi ni lazima tusajili wachezaji 5 wa viwango vya juu,,
Winger no 7
Striker no 9
Midfielder 6
Center back 4
Full backs 2/3
Hapo tumeshinda...
 
Mkuu Lukaku amekaa misimu zaidi ya mi3 pale utd na nyie wapinzani mkawa mnamuita mwenye kilo 100, Bissaka na Maguire nadhani ndo kwnz wamemaliza wao wa kwanza so bado tunawapa muda cz hawajavurunda.
1.Lukaku amecheza United only 2 season

2.Lukaku ni pure no 9 unlike Martial & Rashford.SAF alikuwa na forward 4 wenye different attribute now tuna forward 3 wenye similar attribute (Greenwood,Martial,Rashford) ndio maana tumekuwa very predictable kwenye kushambulia

Angalia hiyo review kuhusu Lukaku

Yah ni kweli two seasons lkn alivyonichosha utadhani alikaa misimu 10
 
Mkuu Lukaku amekaa misimu zaidi ya mi3 pale utd na nyie wapinzani mkawa mnamuita mwenye kilo 100, Bissaka na Maguire nadhani ndo kwnz wamemaliza wao wa kwanza so bado tunawapa muda cz hawajavurunda.
Ishu siyo kwenda ishu alienda huku hakuna CF.
 
Mh baba Alves ni wa muda hadi kuamua kuacha soka la ushindani mkubwa na umri ushamtupa mkono.

Ila kwa kumtaja Cafu upo sahihi pia.

Na kama unajua hivyo unaona hoja yako ya kusema Bisaka anacheza kizamani haina mashiko?
Mkuu Alves hakuwepo hata Brazil ya 2002 ya Korea na Japan leo unasema wa zamani!! Huyo Vidic tu huwezi sema wa zamani japo anaweza kumzd umri Alves.

Alves ni modern generation huwezi muweka group la kina Cafu, hata Ramos huwez kumuita wa zamani japo alicheza na kina becks, zidane, helguera, salgado, Raul n.k.

Kuhusu kuacha soka la ushindani hata Xavi, Iniesta, Carrick wote hao wameacha ila huwezi kuwaita wa zamani cz ni modern generation.

Kuhusu hoja yng nadhani nisome vizuri unielewe mkuu mm huwa sina kawaida ya kuvutia upande flani linapokuja suala la soka, huwa nakuwa open mpk baadhi ya mashabiki wenzangu nawakera wakidhani nasaliti chama.
 
Mimi sijasema Maguire ni mbovu kuzidi Luiz. Hapa unanilisha maneno.

Rais wa Napoli alisema "Kama Maguire amenunuliwa kwa 80M na kiwango ni kile Koulibaly haondoki bila 200M"
Hayo ni mawazo yake binafsi, kila mtu ana ya kwake mkuu ila unatakiwa utoe facts ushawishi watu co kirahisi rahisi tu.
 
Hivi watu wanatoa wapi ujasiri wa kuwaita Harry Maguire na Aaron Bissaka mabeki mabovu? Kuna watu wananifanya nitilie mashaka uwezo wa kuangalia ubora wa wachezaji. Hawa wachezaji sio wabovu tunapowakosoa haimaanishi ni wabovu ila tunahitaji wafanye zaidi ya hapo maana tumewekeza pesa nyingi kwao na tunaamini wana uwezo wa ku-deliver zaidi ya hapo.

Harry ameongoza ukuta uliofungwa magoli machache zaidi msimu huu nyuma ya Liverpool(33) na Manchester City(35) na sisi tulifungwa goli 36 tu pamoja na clean sheet 12 <ligi nzima mwenye clean sheet nyingi alikuwa nazo 15 tu ambaye Liverpool na Burnley pamoja na Sheffield(13, Dean Henderson)>. Maana yake tumezidiwa goli tatu tu na bingwa. Msimu wa 2018/19 tulifungwa goli 54 na tulipata clean sheet 7 tu kabla ya Harry na Aaron kuja.

Mimi ni moja ya watu ninayetaka tutafute beki wa kati, kwa muda mrefu nimekuwa nikiona kama bado tunakosa mtu anayeongoza ule ukuta wetu. Harry tatizo lake kubwa huoni akiwaongoza wenzake uwanjani kuanzia kama nahodha wa timu wala kama kiongozi wa ulinzi muda mwingi utaona anacheza as if hana majukumu ya kiuongozi huoni akiwapanga wenzake wala huoni akionyesha kukemea mtu akifanya ujinga unaogharimu timu.

Mfano mzuri tafuta ile mechi tuna sare na Southampton au ile Chelsea (tulifungwa) au ile ya Everton(sare) na hata ile ya Sevilla(tulifungwa). Hizi ni mechi ambazo msimu uliopita tulipoteza kwa kukosa kiongozi uwanjani utaona ni kama hamna mtu mwenye authority ndani ya uwanja. In long, kama tunahitaji makombe kuna muda unahitaji kiongozi uwanjani hasa hasa mtu huyo anapendeza awe anacheza hapo hapo eneo la ulinzi hata kama sio captain ila mtu mwenye uchungu pale ujinga unapofanyika hutaona tukifungwa vigoli soft soft vinavyoigharimu timu.
 
Back
Top Bottom