Beki ya young ina maana kuliko ya bissaka. Wan hawezi kupandisha timu wala kupiga krosi nzuri. Wan ni mzuri Wa tackles tu!Mashabiki wameaminishwa kwamba Maguire hana shida ila shida ni Lindelof na wamekubali. Wote wanasema atafutwe CB wa kusaidiana na Maguire means Lindelof ni kiazi.
Tangu day one kwenye game ya Arsenal na Man U watu walitakiwa wajue Maguire hamna kitu. Aubameyang alipigiwa pasi, Maguire akamkimbia Auba. Auba akascore, ikasemwa ni offside marudio yakamuonyesha Maguire akikimbia majukumu yake.
Kisha amekuja na mtindo wa kumark team mates. Kona, faulo au krosi inapigwa yeye yuko busy kummark Bailly au Lindelof hii tabia ikasababisha amrukie kichwa Bailly mpaka akampasua, hapo Bailly alikua nje majeruhi kwa ajili ya kichwa hicho hicho, Maguire akamrudisha mwenzake majeruhi.
Mpira utapigwa kulia yeye ataangalia kushoto, online siku hizi kuna usemi unasema "No look defense" yaani ni kama 'No look pass' za Messi au Pogba au Ronaldo.
Uzuri mpira hauchezwi chumbani, unachezwa nje wote tunashuhudia. CB mpya atakuja halafu tutaona kama madai ya kwamba Lindelof ndiye tatizo ni ya kweli.
Mwingine ambaye ni kiazi ni Bisaka.
Mashabiki wanataka acheze kama attacking fullback wana hamu kali juu ya hili mpaka wanamfananisha na Arnold wa Liver lakini Bisaka hajui kupiga krosi wala faulo wala hana skills za kupangua watu. Kwa kifupi Bisaka hana tofauti na Young ambaye aliuzwa kwenda Inter.
Both suck as players. Lakini mashabiki utawasikia "Anapiga tackling hatari one on one humpiti" nikumbushe hizi justifications tulizisikia kwa nani vile? Kwa Ashley Young. The Captain. Na leo yupo Inter anacheza kama winger.
So waliposema aje CB wa kusaidiana na Maguire walimaanisha aje CB ambaye atafunika makosa ya Maguire siyo kusaidiana as they claimed.
Waweza nipinga ukiona nimekosea.
Man utd hata kama rebuild ni process,lakini tunaenda taratibu mno. Imagine mchezaji mmoja kwa dirisha moja! Nilitegemea walau 3 kutokana na hadhi yetu lakini kwa sasa tumejificha kwenye kivuli cha corona na soko kuchafuka. Timu ina mapungufu mengi karibia kila eneo lakini dirisha moja mchwzaji mmoja wa maana.Bado Bado Badooo
✓Right Winger
✓Left Back
✓CB
✓Striker
Yah lazima nikupinge km ifuatavyo,Mashabiki wameaminishwa kwamba Maguire hana shida ila shida ni Lindelof na wamekubali. Wote wanasema atafutwe CB wa kusaidiana na Maguire means Lindelof ni kiazi.
Tangu day one kwenye game ya Arsenal na Man U watu walitakiwa wajue Maguire hamna kitu. Aubameyang alipigiwa pasi, Maguire akamkimbia Auba. Auba akascore, ikasemwa ni offside marudio yakamuonyesha Maguire akikimbia majukumu yake.
Kisha amekuja na mtindo wa kumark team mates. Kona, faulo au krosi inapigwa yeye yuko busy kummark Bailly au Lindelof hii tabia ikasababisha amrukie kichwa Bailly mpaka akampasua, hapo Bailly alikua nje majeruhi kwa ajili ya kichwa hicho hicho, Maguire akamrudisha mwenzake majeruhi.
Mpira utapigwa kulia yeye ataangalia kushoto, online siku hizi kuna usemi unasema "No look defense" yaani ni kama 'No look pass' za Messi au Pogba au Ronaldo.
Uzuri mpira hauchezwi chumbani, unachezwa nje wote tunashuhudia. CB mpya atakuja halafu tutaona kama madai ya kwamba Lindelof ndiye tatizo ni ya kweli.
Mwingine ambaye ni kiazi ni Bisaka.
Mashabiki wanataka acheze kama attacking fullback wana hamu kali juu ya hili mpaka wanamfananisha na Arnold wa Liver lakini Bisaka hajui kupiga krosi wala faulo wala hana skills za kupangua watu. Kwa kifupi Bisaka hana tofauti na Young ambaye aliuzwa kwenda Inter.
Both suck as players. Lakini mashabiki utawasikia "Anapiga tackling hatari one on one humpiti" nikumbushe hizi justifications tulizisikia kwa nani vile? Kwa Ashley Young. The Captain. Na leo yupo Inter anacheza kama winger.
So waliposema aje CB wa kusaidiana na Maguire walimaanisha aje CB ambaye atafunika makosa ya Maguire siyo kusaidiana as they claimed.
Waweza nipinga ukiona nimekosea.
Nitakujibu kwenye 1 na 2 kwakua la 3 sikuliongelea.Yah lazima nikupinge km ifuatavyo,
1. Ni kweli Maguire anatakiwa atafutiwe mtu wa kumsaidia, hii inatokana na ukweli kwamba statistics zinambeba, kabla ya kuwasili Maguire ukuta ulikuwa uchochoro kupitiliza lkn nowadays unaweza kujionea statistics na sio kuckiliza maneno ya wapinzani kuhusu Maguire mana wapinzani wamewamezesha sumu watu juu ya uwezo wa Maguire kiasi kwamba anaonekana ni mchezaji mbovu na hawezi japo kuitwa average player kitu ambacho si kweli, Maguire ni beki mzr huwezi hata kuwafananisha na beki wengi tu wa tm kubwa pale England mfano David Luiz au Zouma japo ni kweli anahitaji kuongeza kiwango.
2. Bissaka sio beki mbovu pia km unavyoamini isipokuwa ni beki inayocheza kizamani, kuhusu tackling kwn unabisha kwmb hafanyi tackling? Ni beki gn utamfananisha naye pale England kwa tackling? Na hyo ndiyo kazi asilia ya beki hizi nyingine za kushambulia na kupiga krosi additional japo anapaswa ku work on it ili awe beki ya kisasa.
3. Man u tunahitaji beki ya kati ya kusaidiana na Maguire, namba 3 bora, na namba 9 ya haja, huku pembeni hasa namba 11 cna shaka napo japo kuna chizi lkn cku nyingine huwa anaamka vzr, lkn pia pale man u wapo wengi wanaoweza kucheza kule kushoto, pia japo napenda usajili wa Sancho utokee lkn sidhani kama ni muhimu sana cz tuna mchezaji chipukizi tunayepaswa kumuamini na kumpa nafasi.
Mkuu kuhusu kupandisha kiwango hicho ni kitu cha kawaida kwa mchezaji, utakuta mchezaji anasajiliwa kutoka tm flani ambapo alikuwa ndiyo nyota lkn akienda tm nyingine anashuka kiwango hivyo anahimizwa apandishe kiwango mfano Eden Hazard anavyocheza pale Madrid, je unaamini Hazard hana lolote kisa ameanza vby? Kanunuliwa sh ngp? Au hatupaswi kusema apandishe kiwango? Au anacheza vilevile km alivyokuwa Chelsea? Kuhusu Bissaka pengine utakuwa mbishi kwamba hachezi kizamani, kipindi hicho ilikuwa kuna namba 11 na namba 7 lkn leo namba 11 na 7 wanahesabika km viungo wanaotokea pembeni na mda mwingi utawakuta kati, cku hz hakuna namba 7 km Beckham au 11 km Giggs na km zpo ni chache mno kutegemea na mfumo wa tm husika but cku hz hzo namba zinaingia ndani zen majukumu yao ya kupiga krosi yanafanywa na namba 2 na 3.Nitakujibu kwenye 1 na 2 kwakua la 3 sikuliongelea.
1 na 2 unajaribu kunipinga halafu mwisho unanasia palepale kwamba wanahitaji kubadilika hawana viwango.
Hivi mchezaji wa milioni 80 ni wa kumsubiri aje kukuza kiwango? Wewe ndiye ungekua unatoa pesa ya usajii ungekubali?
Bisaka unasema anacheza kizamani. Zamani ipi unaisema wewe? Zanet, Carlos na Alves ndiyo full backs waliocheza zamani na walicheza kama unavyomuona Davies au Arnold au Hakimi.
Kwahiyo siyo kwamba anacheza kizamani ila ni kiazi coz hata hao waliokua hiyo zamani hawakucheza kama yeye.
Kazi ipo.
Kaichambue timu yako iliyomaliza nafasi ya naneNitakujibu kwenye 1 na 2 kwakua la 3 sikuliongelea.
1 na 2 unajaribu kunipinga halafu mwisho unanasia palepale kwamba wanahitaji kubadilika hawana viwango.
Hivi mchezaji wa milioni 80 ni wa kumsubiri aje kukuza kiwango? Wewe ndiye ungekua unatoa pesa ya usajii ungekubali?
Bisaka unasema anacheza kizamani. Zamani ipi unaisema wewe? Zanet, Carlos na Alves ndiyo full backs waliocheza zamani na walicheza kama unavyomuona Davies au Arnold au Hakimi.
Kwahiyo siyo kwamba anacheza kizamani ila ni kiazi coz hata hao waliokua hiyo zamani hawakucheza kama yeye.
Kazi ipo.
Amfananishe Maguire na Luiz af tuone bora nani, Maguire ana makosa ila Luiz amezd cz ni km mchezaji wa mchangani jinsi anavyocheza, lkn wanataka kuaminisha watu kwmb Maguire ni mbovu kuliko Luiz, ukweli ni kwamba mchezaji anayecheza man u huwa ana presha kubwa cz ni tm kubwa kuliko zote England.Kaichambue timu yako iliyomaliza nafasi ya nane
Pepe mliyemnunua £75m ni nini anafanya uwanjani?..anazidiwa hadi na Greenwood..Maguire na ubovu unaouzungumzia amesaidia timu imepata cleen sheets nyingi kuliko kitu yoyote ulaya ni all compe..na tunapomkosoa Maguire hapa usidhani ni kwamba amecheza kama beki zenu kina holding na sokratis,No,tunataka improvement kidogo maana sisi ni United
Heheheheheeee hapo kwa Dani Alves naomba umtoe umuweke Cafu, Alves hajacheza zamani ni modern generation yuleNitakujibu kwenye 1 na 2 kwakua la 3 sikuliongelea.
1 na 2 unajaribu kunipinga halafu mwisho unanasia palepale kwamba wanahitaji kubadilika hawana viwango.
Hivi mchezaji wa milioni 80 ni wa kumsubiri aje kukuza kiwango? Wewe ndiye ungekua unatoa pesa ya usajii ungekubali?
Bisaka unasema anacheza kizamani. Zamani ipi unaisema wewe? Zanet, Carlos na Alves ndiyo full backs waliocheza zamani na walicheza kama unavyomuona Davies au Arnold au Hakimi.
Kwahiyo siyo kwamba anacheza kizamani ila ni kiazi coz hata hao waliokua hiyo zamani hawakucheza kama yeye.
Kazi ipo.

Huwezi amini sijakuelewa.Kaichambue timu yako iliyomaliza nafasi ya nane
Pepe mliyemnunua £75m ni nini anafanya uwanjani?..anazidiwa hadi na Greenwood..Maguire na ubovu unaouzungumzia amesaidia timu imepata cleen sheets nyingi kuliko kitu yoyote ulaya ni all compe..na tunapomkosoa Maguire hapa usidhani ni kwamba amecheza kama beki zenu kina holding na sokratis,No,tunataka improvement kidogo maana sisi ni United
Mh baba Alves ni wa muda hadi kuamua kuacha soka la ushindani mkubwa na umri ushamtupa mkono.Heheheheheeee hapo kwa Dani Alves naomba umtoe umuweke Cafu, Alves hajacheza zamani ni modern generation yule![]()
Mimi sijasema Maguire ni mbovu kuzidi Luiz. Hapa unanilisha maneno.Amfananishe Maguire na Luiz af tuone bora nani, Maguire ana makosa ila Luiz amezd cz ni km mchezaji wa mchangani jinsi anavyocheza, lkn wanataka kuaminisha watu kwmb Maguire ni mbovu kuliko Luiz, ukweli ni kwamba mchezaji anayecheza man u huwa ana presha kubwa cz ni tm kubwa kuliko zote England.
Actually hilo la kumtaka Bisaka awe attacking fullback ni kilio cha online supporters na wachache humu. So mi nimeokota ambalo lilishaanzishwa siyo kwamba nimetunga.Mkuu kuhusu kupandisha kiwango hicho ni kitu cha kawaida kwa mchezaji, utakuta mchezaji anasajiliwa kutoka tm flani ambapo alikuwa ndiyo nyota lkn akienda tm nyingine anashuka kiwango hivyo anahimizwa apandishe kiwango mfano Eden Hazard anavyocheza pale Madrid, je unaamini Hazard hana lolote kisa ameanza vby? Kanunuliwa sh ngp? Au hatupaswi kusema apandishe kiwango? Au anacheza vilevile km alivyokuwa Chelsea? Kuhusu Bissaka pengine utakuwa mbishi kwamba hachezi kizamani, kipindi hicho ilikuwa kuna namba 11 na namba 7 lkn leo namba 11 na 7 wanahesabika km viungo wanaotokea pembeni na mda mwingi utawakuta kati, cku hz hakuna namba 7 km Beckham au 11 km Giggs na km zpo ni chache mno kutegemea na mfumo wa tm husika but cku hz hzo namba zinaingia ndani zen majukumu yao ya kupiga krosi yanafanywa na namba 2 na 3.
Unawaongelea Cafu na Carlos, hao ni exceptional players wa zama zao na ndiyo maana walikuwa wanaonekana ni wa ajabu kwamba wao ndiyo wanaopiga krosi wkt hayo ni majukumu ya namba 7 na 11.
Hatuwezi kupinga uwezo wa Bissaka na hatuwezi kukataa kwamba ametusaidia sn eti kisa tu hapigi krosi hiyo si sawa, pia tusiwe watu wa kupenda kufananisha fananisha tutakosa uniqueness ya tm, unakuta mtu analazimisha Bissaka acheze km Arnold kitu ambacho hakiwezekani, anatakiwa aongeze kiwango lkn acheze kwa style yake na ndipo utaona upekee wake, ukimlazimisha acheze km flani lazima akosee cz yeye ana upekee wake.
Bissaka anatakiwa afanye sn mazoezi ili awe anashambulia zaidi hilo linawezekana cz jamaa ni beki mzr na hata supporters hawajawahi kusema ni beki mbovu duniani kote na ndiyo kwanza nimeanza kukuckia wewe ukisema AWB ni kiazi ss cjui ulitumia takwimu zp.Actually hilo la kumtaka Bisaka awe attacking fullback ni kilio cha online supporters na wachache humu. So mi nimeokota ambalo lilishaanzishwa siyo kwamba nimetunga.
Also ni kweli kuongeza kiwango siyo ajabu ila hoja yangu imetokana na maneno ya Scholes kusema makosa ni ya Lindelof na siyo Maguire.
Angesema kua Maguire aongeze kiwango pengine ningekuja hapa kucheka tu kisha ningepita mbali ila alivyodai jamaa ni classic na liability ni Lindelof ndiyo nikaandika hivyo.
Ubora wa beki(defence line) unapimwaje?Huwezi amini sijakuelewa.
Pepe kanunuliwa amekuja amechangia magoli 18 ya kuscore na kuassisst.
Nimekua namcrush Pepe mara nyingi na hata juzi nimemcrush ingawa hakucheza.
So ukimtaja kwa kudhani namuona lulu ni umeingia chaka.
Maguire amesaidia timu kupata clean sheet!!! Haya sasa ni maajabu.
Again, huwezi tupa 80M ili tu aje kukuza kiwango.
Binafsi ni muumini sn wa viungo yn mm naamini viungo kuliko fowards huwa naamini km tm ina viungo wabunifu inatosha kuisambaratisha tm pinzani na mkashinda pasipo kuwa na forward lkn mm simkubali Martial wala Rashford cz wana makosa mengi ya kiufundi yanayopelekea kupoteza mipira hovyo, so km kocha anaona aweke viungo wengi naona ni sawa pia akisajili forward ni sawa lkn mm ningependa anitafutie beki 3 na 4 za maana zen asajili viungo tu ata kumi wenye uwezo ni sawa tu.Manchester bado ni timu nzr tatizo lipo kwenye nafasi chache za kuunganisha timu.
Mfano martial bado hatoshi kuwa striker wa kutegemewa man u,,martial ni winger ambaye anakuwa mkali sana akitokea pembeni,,,pia hana zile kash kash za striker mwenye nguvu,,ambaye anakuwa hatari zaidi ktk mipira yote,,.mfano mipira ya vichwa,,na kupiga kwa miguu,,martial ukimuwekea beki mkorofi huwa hana madhara yeyote kwa timu pinzani,,pia ni mvivu sana ktk kujitoa muhanga na kufunga,,mfano yale magoli ya kuvamia au kujirusha,,au hata magoli ya vichwa..martial ni mvivu sn,,huwa anakata tamaa mapema kabla hata hajaurukia mpira na kufunga,,tunahitaji mshambuliaji kama cavani..
Nadhani man u tungemnunuwa edson cavani kutoka PSG halafu martial atokee pembeni kushoto,,na greenwood au martial abadilishane na rashford,,timu ingekuwa hatari sn ktk finishing,,huyu kocha wa man u sijuwi huwa ananunuwa wachezajj kwa kigezo gani.,,naona anahangaika na mawinga na viungo wakati timu ina matatizo maeneo muhimu 4,,
Beki wa kati wa Kiwango cha juu level ya akina vidic.
Striker no 9,level ya cavani,,au Gabriel batstuta..au van nesteroy.
Na kiungo mkabaji level ya akina pogba,
Namba 2 na namba 3 wakali level ya Patrick evra..
Hapo united itakuwa hatari sn ..
Kama akiendelea kuhangaika na akina gleshia wa Aston Vila,, na hata akija Sancho bila striker bado martial hatoshi
Sawa sawa ,,lakini aina ya uchezaji wa Manchester hutumia zaidi mawinga na full beki kupanda na kutoa cross,,sasa bila striker aina ya IBRA,,au Cavan utashindaje?Binafsi ni muumini sn wa viungo yn mm naamini viungo kuliko fowards huwa naamini km tm ina viungo wabunifu inatosha kuisambaratisha tm pinzani na mkashinda pasipo kuwa na forward lkn mm simkubali Martial wala Rashford cz wana makosa mengi ya kiufundi yanayopelekea kupoteza mipira hovyo, so km kocha anaona aweke viungo wengi naona ni sawa pia akisajili forward ni sawa lkn mm ningependa anitafutie beki 3 na 4 za maana zen asajili viungo tu ata kumi wenye uwezo ni sawa tu.
Hapa kwenye kuwaamini viungo tupo wote. Timu ikiwa ni kiungo kizuri unaona katikati pamebalansi na hakuna kupitwa hovyo huku muda wote timu inaumiliki mpira.Binafsi ni muumini sn wa viungo yn mm naamini viungo kuliko fowards huwa naamini km tm ina viungo wabunifu inatosha kuisambaratisha tm pinzani na mkashinda pasipo kuwa na forward lkn mm simkubali Martial wala Rashford cz wana makosa mengi ya kiufundi yanayopelekea kupoteza mipira hovyo, so km kocha anaona aweke viungo wengi naona ni sawa pia akisajili forward ni sawa lkn mm ningependa anitafutie beki 3 na 4 za maana zen asajili viungo tu ata kumi wenye uwezo ni sawa tu.