SOURCE ya taarifa tuoneshe?? Au umetoa Group lenu la Whatsapp?
Na Kama ni kweli Gerard kasema hivyo basi ni very low class kwenye kuchunguza wachezaji wanaoleta madhara. Alafu pia aliyoyafanya _Bruno , Gerrard kashindwa kuyafanya Uingereza, ndio maana ana wivu kwa mbali