Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kwanini wamefuta lile jukwaa........halafu pesa nje nje mule
nina wasiwasi kuna kampuni ya kubeti imewapa ela wafute maana wanaliwa sana huko
 
Chelsea this window;
Ziyech
Havertz
Thiago silva
Timo werner
Ben Chilwell-->hatua za mwisho

Sisi MAN UTD..
Zero transfer mpk leo

Alaf eti msimu ujao tuchallenge kombe!? Hahahaa..kwa style hii hatutachukua hata kombe la mbuzi.

Man utd inaboard ya ajabu sana wabahiri na wazembe..bila hii board kubadilika tutajikuta tunafukuza makocha kila mwaka.
 
Ila bodi wamesajli 2 windows huku chelsea wakiwa wamefungiwa hivo usiwalaumu tumieni kilichopo
 
Sijui hata mwaka gani tutakùa na timu kali kama ile bayern ya kumshindilia mtu bao nane uefa
Tatizo nyie wengine mmeanza kushabikia man u juzi especially baada ya betting kushika kasi lkn man u ishawahi kumpiga mtu bao 8-2 nao ni As Roma, game ya kwnz Roma alishinda kwao 2-1 akaja OT akakutana na hicho kiama, ule ni ushindi ambao ckuwahi kuuona kwny ucl mpk ile juzi Bayern Munich nayo inapata ushindi ule.
 
Mkuu uko deep sana na facts za kutosha
 
Kumbukumbu zangu ziko hivi.

Man u v As Roma 7-2

Bayern Munich vs Barcelona 7-0

Real Madrid v Bayern Munichen 6 - 3

Bayern Munichen vs Barcelona 8-2

Barcelona vs Bayern Munichen 5- 3.

Rivalry ya Bayern na Barcelona siyo ya kawaida hizi timu ili uwaondoe kwenye mashindano lazima ufunge goli nyingi vinginevyo wanakutoa tu.

Ndiyo maana kila mmoja akimuotea mwenzake huwa anapiga kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…