Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,662
Sidhani kama chelsea inaweza enda barcelona kusajili player yyt barce player ambao wako sokoni wengi ni 30+ sisi huku kwetu tuna tunakazi ya kupunguza wazee hatuwezi ongezaMANCHESTER United imeripotiwa kupanga kuvamia kwenye kikosi cha Barcelona dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi kuwanasa Ousmane Dembele, Arturo Vidal, Ivan Rakitic na Samuel Umtiti.
Miamba hiyo ya La Liga imepanga kuondoa baadhi ya mastaa baada ya kukumbana na udhalilishaji mkubwa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya walipochapwa 8-2 na Bayern Munich Ijumaa iliyopita. Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, wachezaji hao ni miongoni mwa wataofunguliwa mlango wa kutokea na kwa nyakati tofauti, Man United ilihusishwa na wachezaji wote na kikosi hicho cha kocha Ole Gunnar Solskjaer kinahitaji Barcelona tu washushe bei zao iende kunasa huduma zao fasta.
Kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi, chaguo la kwanza la Man United ni staa wa Borussia Dortmund, Jadon Sancho - lakini kutokana na bei kubwa anayouzwa, miamba hiyo ya Old Trafford inapiga hesabu ya kunasa wabadala wake ambao itawapata kwa bei ndogo.
Dembele anatazamwa moja kwa moja kama mbadala wa Sancho na huduma yake itapatikana kwa gharama ya chini huku Barcelona wakiwa tayari kumuuza kutokana na rekodi yake ya kuwa majeruhi mara kwa mara.
Umtiti naye anaweza kupatikana, huku Rakitic aliambia Man United kwenye dirisha la Januari kwamba hana mpango wa kujiunga na timu hiyo, lakini kwa sasa kila kitu kinaweza kuwa tofauti.
Miamba mingine itakayochuana kusaka huduma za wakali hao ni Arsenal, Chelsea, Liverpool, Tottenham Hotspur na Manchester City ukiweka kando timu za nje ya Ligi Kuu England.
Sidhani km hii taarifa ina ukweliMANCHESTER United imeripotiwa kupanga kuvamia kwenye kikosi cha Barcelona dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi kuwanasa Ousmane Dembele, Arturo Vidal, Ivan Rakitic na Samuel Umtiti.
Miamba hiyo ya La Liga imepanga kuondoa baadhi ya mastaa baada ya kukumbana na udhalilishaji mkubwa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya walipochapwa 8-2 na Bayern Munich Ijumaa iliyopita. Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, wachezaji hao ni miongoni mwa wataofunguliwa mlango wa kutokea na kwa nyakati tofauti, Man United ilihusishwa na wachezaji wote na kikosi hicho cha kocha Ole Gunnar Solskjaer kinahitaji Barcelona tu washushe bei zao iende kunasa huduma zao fasta.
Kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi, chaguo la kwanza la Man United ni staa wa Borussia Dortmund, Jadon Sancho - lakini kutokana na bei kubwa anayouzwa, miamba hiyo ya Old Trafford inapiga hesabu ya kunasa wabadala wake ambao itawapata kwa bei ndogo.
Dembele anatazamwa moja kwa moja kama mbadala wa Sancho na huduma yake itapatikana kwa gharama ya chini huku Barcelona wakiwa tayari kumuuza kutokana na rekodi yake ya kuwa majeruhi mara kwa mara.
Umtiti naye anaweza kupatikana, huku Rakitic aliambia Man United kwenye dirisha la Januari kwamba hana mpango wa kujiunga na timu hiyo, lakini kwa sasa kila kitu kinaweza kuwa tofauti.
Miamba mingine itakayochuana kusaka huduma za wakali hao ni Arsenal, Chelsea, Liverpool, Tottenham Hotspur na Manchester City ukiweka kando timu za nje ya Ligi Kuu England.
Sawa mjukuu wa GlazerSidhani km hii taarifa ina ukweli
Mi Bayern inacheza kwa spidi na fiziki ya kutosha..Lyon kazi wanayoMpira una maajabu na lolote lawezekana ila tukubakiane hii Kanuni haiwezi apply game ya leo Lyon v Bayern. Lyon hawezi pata matokeo aslani
Likely to happen.....Tukimchukua Grealish tunapigwa tena, Aston Villa wata-take advantage ya kubaki Premier League kupiga pesa. Kuliko kumchukua Grealish kwa £80 ni bora tufufue dili la Brooks (Bournemouth) Umri mdogo (23) na pesa ndogo, hazidi £25 ukizingatia wameshuka daraja, ni bora kubet hapo kuliko kwa Grealish. Msimu wake wa kwanza akitokea Sheffield United ali-perform vizuri. Msimu huu majeruhi yaliathiri kiwango chake na hakucheza karibia msimu mzima ila bado aliporudi baada ya break ya Covid-19 ali-manage kupata goli moja. Ni Premier League proven. Kumpata huyu bado dili la Sancho linapaswa kushughulikiwa, tupate na CB na Striker, msimu tutauanza vizuri sana.
Basi.
Magwaya hamna beki mule bora Phil jonesUTOPOLO FC ..buruno tulipigwa, Magwaya tulipigwa, Bissaka tulipigwa hii timu yetu ni utopolo uliotukuka..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Magwaya ni Zouma mweupe[emoji23][emoji23]Magwaya hamna beki mule bora Phil jones
Understand Lille have agreed to sell Gabriel Magalhães to Arsenal for a fee of €30million.CB: Magalhães (£18)
DM: Neves (£45) // Ndidi (£40)
RW: Sancho (£108)
ST: Mitrović (£18)
Magalhães, huyu ni kama Wan-Bissaka wa katikati. Akija United ataimarisha ukuta wetu vizuri sana.
Neves // Ndidi. Hawa ni aina ya wachezaji muhimu sana katika eneo la kati, ukizingatia Matić umri umeenda tukimpata mmoja wapo kati ya hao kiungo chetu kitakuwa imara sana.
Sancho. Tumeteseka miaka mingi sana kumpata mtu sahihi wa kucheza kama Right Winger, James kaja ila bado ana mengi ya kujifunza. United wanapaswa kuvunja kibubu. Sancho ni mtu sahihi tunapaswa kuitumia hii nafasi kujiimarisha.
Mitrović. Sio mchezaji ambaye yupo sokoni ila ni cheap option ya nafasi ya striker. Huyu jamaa sipatii picha akizungukwa na Rashford, Sancho, Pogba, Bruno. He's far better than Martial. Ni moja ya mmaliziaji mzuri sana.
Hawa wachezaji wote umri wao unaendana na sera za timu. Kwa umri wao wanakupa muda mzuri kuunda kikosi huku bado wakiwa katika umri mzuri kucheza soka.
NOTE: HIZI TRANSFER ZOTE HAZITAFANYIKA MSIMU HUU ILA HIVI NDIYO JINSI UNITED WANAPASWA KUINGIA SOKONI.
Nicheki bro. Nipo tayariBasi.
Kuna anko wangu alikuwa anatafuta mtu w a kusimamia duka lake la jumla.
Usimfananishe Zouma na takataka za mtaani kama Magwaya, Zouma anapata namba sehemu na timu yeyote ile. Hakuna timu ya kumuweka benchi Kurt Zouma apo Epl.Magwaya ni Zouma mweupe[emoji23][emoji23]
Mgwaya ana uhakika wa namba akija arsenal pale. Bisha[emoji12][emoji12]Magwaya hamna beki mule bora Phil jones
Arsenal hatuhitaji beki wazitoMgwaya ana uhakika wa namba akija arsenal pale. Bisha[emoji12][emoji12]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Labda Arsenal TulaMgwaya ana uhakika wa namba akija arsenal pale. Bisha[emoji12][emoji12]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app