Bruno bila penati ni Mavi tu.Takataka kama takataka..
Bruno bila penati ni uozo..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Talent nyingi za America ya kusini hazijawahi kuwa na mafanikio United na wengi huchelewa sana kusettle.
Kwani nimesema "zote"?Teves alikuwa na shida gani?
Na magoli ya ubelgiji? Alivyokuwa everton?Lukaku hatufai ndugu. Alivyofika man utd aliona ni sehemu pa kustarehe, wakati kiwango chake ni cha kufanyia kazi kwa bidii, siyo mchezaji wa kipaji yule. Alikuwa ana kampani na pogba, lakini mwenzie ni kipaji. Yeye akaishia kunenepeana na kutokuwa na jipya. Huko italy anajitahidi kufanyia kazi kiwango chake ambapo akiwa man utd hakuwa anafanya hivyo, yeye mwenyewe lukaku analijua. Na asipo work hard hapo italy, atatupiwa virago mapema sana, tena kule ubaguzi ndiyo usiseme.
Brexit players.EPL nzima striker wa level ya United ni Kane pekee? Hatari mzee.
Kwahiyo katika mbio za kiatu cha ufungaji bora Kane ni wa ngapi? Majina ya wanaojirudia kugombea hicho kiatu na yenyewe hauyajui au?
Kwamba hata Aguero pia ni andazi siyo level ya Man United?
Mrudisheni Ibrahimovic au Lukaku.
Ni threat kwa wachezaji ambao sio Waingereza.Media za Uingereza ni threat kwa wachezaji na coaches ambao hawako emotionally stable.
Mfumo wa sasa, Lukaku angeshine kuliko wa Mou.Sisi timu ilikuwa inapack Basi chini ya nduli morinyo ulitaka afungaje.. Kuna mechi alikuwa anachezeshwa Hadi winga ulitaka afungaje
We Kiongozi, unasema Ruud Van alikuwa average player? My bare foot! Hiv kwa miaka ya karibuni tuliwahi kuwa na clinical N.9 zaidi ya Ruud?Brexit players.
Harry Kane ni takataka mbele ya Lukaku. Huyo ni mid table team player sio level ya United.
Chicharito, Nesterlooy walicheza kwa mafanikio United, tena walikuwa average na uchezaji almost sawa na wa Lukaku.
Mfumo wa sasa, Lukaku angeshine kuliko wa Mou.
Nafasi zinazotengenezwa na timu ya sasa halafu hakuna natural no 9 ni jambo lisilokubalika.
Leo mnamtaka Dzeko, hivi mpo serious?
Dzeko anajua kuliko Lukaku??
Mkuu nahisi we hujui mpira au una hasira za karibu au una mihemko au yawezekana mpira umeanza kuangalia juzi juzi tu.Brexit players.
Harry Kane ni takataka mbele ya Lukaku. Huyo ni mid table team player sio level ya United.
Chicharito, Nesterlooy walicheza kwa mafanikio United, tena walikuwa average na uchezaji almost sawa na wa Lukaku.
Mashabiki wa juzi juzi hao waliopewa msukumo na betting so msamehe tu.We Kiongozi, unasema Ruud Van alikuwa average player? My bare foot! Hiv kwa miaka ya karibuni tuliwahi kuwa na clinical N.9 zaidi ya Ruud?
Luis van gaal pia co kocha?Na magoli ya ubelgiji? Alivyokuwa everton?
Leo mnataka natural number 9. Yupi zaidi ya Lukaku?
Kwamba Rashford au Martial ni bora kuliko Lukaku?
Tatizo la United ni kocha, sio wachezaji.
Klopp angekuwa na wachezaji kama hawa tungeongea mengine.
Goli bora la msimu uliopita kwa mwezi September lilifungwa na Rashford.Ndo u Google ss ujionee mwenyewe mana me naona rash alikuwa anakosa penalti, je vp kuhusu Martial umemruka auu.
Goli bora la msimu uliopita kwa mwezi September lilifungwa na Rashford.
Na lilikua la penati. We uliona kakosa ngapi?
Huyo Maguire kuna siku alimmark Baily wakati kona inapigwa huku goli linaingia.Ni threat kwa wachezaji ambao sio Waingereza.
Leo unaambiwa Maguire atafutiwe mchezaji bora kuliko Lindelof.
Ili hali Maguire naye ni takataka kabisa.
Jamaa anajitia haelewi. Heat map ya Bruno Penaltes ishaanza kusoma kwenye eneo la penati.