Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bayern na Barcelona wanavita ya visasi.
Bayern 7 vs Barcelona 0
Bayern 3 vs Barcelona 5
Bayern 8 vs Barcelona 2.

Hawa jamaa hawana huruma aisee japo kipigo kikubwa kilikuwa hakikwepeki kwa Barcelona.

Bayern huwa wanacheza kutafuta magoli tu mengine kwao hayana maana hata kama wamefunga 10 wataendelea kufunga mpaka mechi itakapoisha.
 
Nikiiangalia bayern naona timu yetu bado ina safari ndefu sana...nikiwaona beki wa pembeni wa bayern wanavyopiga krosi halafu nikiangalia krosi zetu za bissaka na william naona bado timu yetu ni ndogo kwa sasa
 
Kwanini David Gill hakutapeliwa?

Kwanini Madrid na Bayern wasitapeliwe?

Watu wanaohusika na recruitment ni viazi pale United.

Tuna pesa na Utajiri sawa na hizo timu mbili hapo juu, ila sisi kwenye usajili kwanini tupigwe tu?
Tukubali hilo kuwa ni viazi mkuu ...
Lakini labda wao hawapigwi kutokana na kuwa Uhitaji wao sio mkubwa sana (sisi kila nafasi inashida)
 
Hatuna mahitaji makubwa sana(Price wise) ukiachana na Sancho,tunachohitaji ni kuimarisha kikosi,it's not like tunataka kutengeneza first eleven mpya..

Mfano Alcantara ameomba kuondoka Bayern na raisi wao kasema wanapokea offer..sasa kwa mchezaji kama huyu si rahisi tu kumpata..ugumu unatokea wapi?,,Liverpool wanataka kumchukua now
 
Hatuna mahitaji makubwa sana ukiachana na Sancho,tunachohitaji ni kuimarisha kikosi,it's not like tunataka kutengeneza first eleven mpya..

United km vile inaongozwa na Msola au Senso, wanazingua. Kocha naye bado si classic sana ingawaje amepewa fursa ya kufanya kazi bila presha.
 
Hatuna mahitaji makubwa sana ukiachana na Sancho,tunachohitaji ni kuimarisha kikosi,it's not like tunataka kutengeneza first eleven mpya..

Mfano Alcantara ameomba kuondoka Bayern na raisi wao kasema wanapokea offer..sasa kwa mchezaji kama huyu si rahisi tu kumpata..ugumu unatokea wapi?,,Liverpool wanataka kumchukua now
Brother..kwa mtazamo wangu naona tunahitaji wachezaji wa kutosha sn..

Imagine bissaka akiumia nani mbadala wake anayeweza kucheza VIZURI!?

Bado tunahitaji STRIKER wa kumpa changamoto Tony martial

Tunahitaji RW

tunahitaji CB mzuri mwenye speed

Tunahitaji CM au CAM ambaye ni world class wakusaidia na kina POGBA..
Fred na Mctominay hawana consistency..wanahitaji muda kujifunza zaidi.

Kimsingi kk naona tunahitaji atleast wachezaji watatu kwa kuanzia

Note;OLE wakt anakuja UTD aliwaambia board anahitaji atleast 8 new signings..mpk sshv amepewa NNE..bado anahitaji NNE zaidi ili atimize lengo lake.
 
Nikiiangalia bayern naona timu yetu bado ina safari ndefu sana...nikiwaona beki wa pembeni wa bayern wanavyopiga krosi halafu nikiangalia krosi zetu za bissaka na william naona bado timu yetu ni ndogo kwa sasa
True..very true..but tupo kwny njia sahihi..i hope tutafika nchi ya ahadi siku si nyingi..
 
Hivi mnauhakika kwamba Man U huwa inapigwa au kutapeliwa kweny usajili , Je kama akina Ed ndio huwa wanapiga 10% haaa simuamini Ed
 
Binafsi, nashawishika kusema dili la Jadon Sancho ni bora tuachane nalo tu, naona kama hatufaai tena. Tunapoteza focus ya kujenga timu muda huu mchache tulio nao.

Laiti kama tukihamisha nguvu kutafuta vipaji vingine nje ya huyu Jadon, naona kabisa tuna nafasi kubwa sana ya kubeba ligi msimu unaoanza mwezi ujao ni vile timu yetu inaongozwa na watu wazembe (Ed pamoja na washikaji zake) wanaopenda kutoa excuse kila muda. Tunakomaa na mtu mmoja tena nafsi ambayo sio mapungufu yetu halisi kwa sasa.
Brother hili tatizo sio la DORTMUND..Ni upuuzi wa Man utd..wapo slow sanaaa..

Unakumbuka deal ya Bruno na maguire!? Wanajivuta sanaa

Team kama Chelsea nawasifia kwny department ya kusajili..Walimalizana na kina Werner+ziyech kabla hata msimu haujaisha..sshv madogo wapo kikosini wanaCoupe na timu..Sisi tutasubiri mpk dakika za mwisho ndo vile mchezaji anakuja anaanza kustruggle cuz hajapata muda wa kutosha kuzoea timu.
 
Brother..kwa mtazamo wangu naona tunahitaji wachezaji wa kutosha sn..

Imagine bissaka akiumia nani mbadala wake anayeweza kucheza VIZURI!?

Bado tunahitaji STRIKER wa kumpa changamoto Tony martial

Tunahitaji RW

tunahitaji CB mzuri mwenye speed

Tunahitaji CM au CAM ambaye ni world class wakusaidia na kina POGBA..
Fred na Mctominay hawana consistency..wanahitaji muda kujifunza zaidi.

Kimsingi kk naona tunahitaji atleast wachezaji watatu kwa kuanzia

Note;OLE wakt anakuja UTD aliwaambia board anahitaji atleast 8 new signings..mpk sshv amepewa NNE..bado anahitaji NNE zaidi ili atimize lengo lake.
Nimemaanisha ukiachana na Sancho ambaye price ipo juu,kwenye maeneo mengine tunaweza kupata wachezaji bila ya kupigwa hela nyingi maana sio kwamba tunatengeneza kikosi kipya,no ni kuongeza alternatives

Na recommendation zangu nimetoa kwenye comment za juu
 
True mzee..all gud
 
Jamani Bayern pale mbele na katikati wapo moto sana ila wakicheza na timu inayoshambulia sana na wapo makini, nawaona kama Bayern wana defence mbovu ni kwa sababu so far bado defence yao haijapata serious test. Mabeki wao wa kati (David & Jerome) sio wazuri sana wana makosa sana ni vile wamecheza na watu walio-flop kwa sasa.

Nimeona kuna mtu anasema kwa nini tusichokonoe kwa Alphonso Davies, kwenye timu yetu huyu jamaa hawezi kutufaa ni mzuri sana offensively but not defensively unless tuwe tayari na timu inayoweza kukaa na mpira zaidi. Kwa uchezaji wetu hawezi kutufaa maana huwa mara nyingi hatukai na mpira sana, sisi tunahitaji aina ya wachezaji ambao wapo comfortable hata tunapokuwa hatuna mpira kwa muda mrefu.

Luke Shaw hofu yangu kwake ni injury prone tu ila anaweza kui-prove zaidi akijengwa vizuri. Bissaka anahitaji kupewa training chache tu za kushambulia ila namuona amekamilika sana akijua tu kuucheza mpira hasa hasa akivuka mstari wakati ni bonge la fullback, mapungufu yake ana mchango mdogo muda tukiwa na mpira hasa tunapovuka mstari wa wakati timu ikiwa inashambulia kutokea upande wake.

Binafsi naamini tunahitaji wachezaji watatu tu kwa sasa, Beki wa kati wa maana ambaye anapaswa kuiongoza ile safu yetu ya ulinzi acheze na Harry, kiungo wa chini wakucheza nyuma ya Bruno na Paul ile nafasi ya Nemanja. Mwisho ila sio lazima sana tunahitaji mshambuliaji wa kuja kuongeza nguvu pale mbele. Mimi kwa sasa ningependa hata tupate mkongwe mmoja kwa muda wakati tunaji-fix kupata longterm target kwa sasa tumchukue mtu kama Edin Dzeko. Deal la Sancho linapoteza focus ya kujenga timu, kuna wachezaji wazuri sana kama tukiamua kufuata other options sio lazima tumkomalie yeye tu.
Bayern kwa sasa ukiondoa Odriozola, Sule, na Boateng centre backs wao ni converted midfielders au fullbacks.

Misimu mingi Bayern huwa hawana defence imara sana ila huwa wana midfield na striking force kali sana.

Wanafunga magoli mengi tu na wanakukimbiza sana suala la kuwafunga itategemea umestahimili vipi mbio zao na mashambulizi yao.

Ni kazi ngumu sana kuwazuia wasikufunge magoli mengi, ukiangalia jana waliamua kucheza wide kwa speed kubwa sana ambayo iliwalewesha semedo na Jodi Alba.
 
Jamani Bayern pale mbele na katikati wapo moto sana ila wakicheza na timu inayoshambulia sana na wapo makini, nawaona kama Bayern wana defence mbovu ni kwa sababu so far bado defence yao haijapata serious test. Mabeki wao wa kati (David & Jerome) sio wazuri sana wana makosa sana ni vile wamecheza na watu walio-flop kwa sasa.

Nimeona kuna mtu anasema kwa nini tusichokonoe kwa Alphonso Davies, kwenye timu yetu huyu jamaa hawezi kutufaa ni mzuri sana offensively but not defensively unless tuwe tayari na timu inayoweza kukaa na mpira zaidi. Kwa uchezaji wetu hawezi kutufaa maana huwa mara nyingi hatukai na mpira sana, sisi tunahitaji aina ya wachezaji ambao wapo comfortable hata tunapokuwa hatuna mpira kwa muda mrefu.

Luke Shaw hofu yangu kwake ni injury prone tu ila anaweza kui-prove zaidi akijengwa vizuri. Bissaka anahitaji kupewa training chache tu za kushambulia ila namuona amekamilika sana akijua tu kuucheza mpira hasa hasa akivuka mstari wakati ni bonge la fullback, mapungufu yake ana mchango mdogo muda tukiwa na mpira hasa tunapovuka mstari wa wakati timu ikiwa inashambulia kutokea upande wake.

Binafsi naamini tunahitaji wachezaji watatu tu kwa sasa, Beki wa kati wa maana ambaye anapaswa kuiongoza ile safu yetu ya ulinzi acheze na Harry, kiungo wa chini wakucheza nyuma ya Bruno na Paul ile nafasi ya Nemanja. Mwisho ila sio lazima sana tunahitaji mshambuliaji wa kuja kuongeza nguvu pale mbele. Mimi kwa sasa ningependa hata tupate mkongwe mmoja kwa muda wakati tunaji-fix kupata longterm target kwa sasa tumchukue mtu kama Edin Dzeko. Deal la Sancho linapoteza focus ya kujenga timu, kuna wachezaji wazuri sana kama tukiamua kufuata other options sio lazima tumkomalie yeye tu.
Striking force yetu inahitaji reinforcement kwa kupata striker anayeweza kuwa mbadala pale kina Martial anashindwa kufunga.

Tunahitaji wing ya kulia siyo lazima awe Sancho tunaweza kupata winger mwingine kikubwa awe na mchango katika upatikanaji wa mabao na kuimarisha timu defensively.

Tunahitaji back up midfielder particularly CM au CAM.
 
Kwanini David Gill hakutapeliwa?

Kwanini Madrid na Bayern wasitapeliwe?

Watu wanaohusika na recruitment ni viazi pale United.

Tuna pesa na Utajiri sawa na hizo timu mbili hapo juu, ila sisi kwenye usajili kwanini tupigwe tu?
Au na wenyewe huwa wanachukua 10% za usajili ?
 
Back
Top Bottom