Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndio muache kuzisema timu za London sasa,

Half time
Barca 1 Munchen 4

Na magoli yote wamefunga wachezaji wa bayern
 
Mimi niliwahi kuongea humu kwamba TUKIENDA UEFA na Hiki kikosi chetu dhaifu TUTAPIGWA NANE!!!
Lakini kuna jamaa wakabisha, sasa mnaona BAYERN anachomfanya BARCA HUKO!??

Eti Na sisi next season tujipeleke na kina lingard,perreira na jones muone watakachotufanya..

Utd lazima tusajiri vizuri dirisha hili tuepukane na hizi Aibu..
Hawa wajerumani wana roho ngumu ksng kmmk
 
Kwani Barcelona ndio Manchester United.

Akili za kuvukia Barabara hizo nikajua utakuja kuonesha lini Manchester alifungwa 8.

Tumewahi kuwa uefa chini ya David Moyes na tulicheza na Huyo Bayern Munich ila hakutufunga hizo goal zako 8 na mpira hauko hivyo.
 
Ungetabir kuhusu barca sio man
 
Kwani Barcelona ndio Manchester United.

Akili za kuvukia Barabara hizo nikajua utakuja kuonesha lini Manchester alifungwa 8.

Tumewahi kuwa uefa chini ya David Moyes na tulicheza na Huyo Bayern Munich ila hakutufunga hizo goal zako 8 na mpira hauko hivyo.
Nisaidie kushangaa
 
Ww ndo unaAkili za kuvukia barabara..

Ukienda UEFA wkt haupo vizuri lazima uadhibiwe..that's my point

Kama unabisha kunya boga
 
Dah! Man U kweli miyeyusho mbona kuna wachezaji wazuri wa kufatilia muda huu. Kama Upemecano kwa beki ya kati yuko vizuri.

Dah! Namtamani Alphoso Davies hata kuwachokoza Bayern hatuwezi?

Kukomaa na Sancho ufala huo
UTD bado hatupo serious kwny usajili
 
Kwani Barcelona ndio Manchester United.

Akili za kuvukia Barabara hizo nikajua utakuja kuonesha lini Manchester alifungwa 8.

Tumewahi kuwa uefa chini ya David Moyes na tulicheza na Huyo Bayern Munich ila hakutufunga hizo goal zako 8 na mpira hauko hivyo.
Bayern na Barcelona wanavita ya visasi.
Bayern 7 vs Barcelona 0
Bayern 3 vs Barcelona 5
Bayern 8 vs Barcelona 2.

Hawa jamaa hawana huruma aisee japo kipigo kikubwa kilikuwa hakikwepeki kwa Barcelona.

Bayern huwa wanacheza kutafuta magoli tu mengine kwao hayana maana hata kama wamefunga 10 wataendelea kufunga mpaka mechi itakapoisha.
 
Alphonso Davies..what a LB

Full backs inabidi wawe na attributes kama zake,

Thiago kwanini tusipeleke hata offer yetu?..hii ni type ya kiungo tunayemuhitaji pale OT kuongeza nguvu
Imagine timu yetu ina Luke shaw/William na awb halafu wao wana kimmich na Davies. Mbele wana lewa,muller,sisi tunajiandaa kuanza ligi na rashford pamoja na martial. Namuunga mkono jamaa Ugiligili kwenye hoja yake hapo juu.
 
Back
Top Bottom