Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Ukweli unaonekana ,Chelsea huyo hapo kaenda akiwa uchi , Kala 7-1 ,Waache wabishe mkuu..wengine wanatafuta pakutolea stress zao[emoji23][emoji23]
Barca huyo timu nzima wazee 8-2
Lkn waliojizatiti Bayern, cityzen, Psg wanatoboa