Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

huu mjadala wa bruno fernandez na upotezaji wa mipira umetamalaki kwenye forum na kurasa za manchester united.
acha niendelee kukaa kimya kwa lengo la kujifunza zaidi mawazo ya wengineo.
kuna mdau fulani nakumbuka humu ndani aliwahi kusema
man utd walishindwa kumsajili bruno dirisha kubwa kwa sababu ya takwimu zake za passing accuracy, wengi wetu hatukumuelewa

kuna makala fulani nimeisoma kupitia mtandao wa the athletic wiki iliopita nitajaribu kuishusha, inazungumzia ishu ya bruno fernandez.
athletic makala zao mpaka ulipie au utumie crack method
===========================
Bruno Fernandez bado ni mgeni kwenye EPL sidhani kama amefikisha hata mechi 20 so it's too early to conclude that,First season Pogba amepoteza sana mpira

EPL inahitaji speed,power & flexibility viungo wengi toka ligi nyingine waliadapt kucheza EPL kwenye msimu wao wa pili (Kovacic,Fabinho,Pogba,Xhaka,)
Kina Keita,Toreira,Minamino,Ndombele,Lo Cesco bado hawaja-adapt

Fernandez primary objective is to create chance,assist & score goals he was efficient for more than 90% in all category.

Hivi karibuni ameanza ku-stuggle sababu kubwa ni uchovu amecheza dakika nyingi bila kupumzika tangu amesajiliwa sababu nyingine tayari opponent wameshajua strenghth zake so wanamkaba sana bila Bruno huenda United ingemaliza ligi na point 50

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Ana kiuaje mkuu!? Kipi bora;Kusugua benchi man Utd au kwenda hata Everton/Napoli lkn akawa anacheza daily!?
Wakati misimu kama miwili chini ya Jose Lingard alikuwa tegemeo la timu, kwa Ole alihamishiwa benchi mazima. Unakumbuka hata ile dancing style yake baada ya kufunga?
 
hawa wajumbe harakati zao ni nyingi kama comrade kipepe, lakini matunda ya harakati zao ni madogo
mashabiki wengi wa manchester united huyo jamaa wa nyuma hawamfahamu, dhambi zote zinamuangukia huyo wa mbeleni
teh teh teh
===========================
wanaofuatilia mpira, memphis depay yupoje?

View attachment 1536286
Memphis Depay kazaliwa upya sasa hivi ni mchezaji hatari siyo machachari tena.
 
unadhani jamaa anaweza kufuta makosa yake ya mwanzoni, kama klabu itaamua kumrejesha (binafsi sijawahi kumuona akicheza kwa miaka mingi sana)
Inategemea na atmosphere atakayoikuta klabuni.

Naona mentality ya team sasa hivi ya kupambana ni kubwa hivyo anaweza kuadapt mazingira hayo.

Binafsi nimeshuhudia mechi kadhaa kabla hajaumia mwanzoni mwa msimu na hii ya juzi na Juventus.

Art yake ya uchezaji ni ile ile sema ameimarika kwenye eneo la kutengeneza nafasi na kuamua matokeo ya timu ukizingatia pia team work ya Lyon ni kubwa sana.
 
Inategemea na atmosphere atakayoikuta klabuni.

Naona mentality ya team sasa hivi ya kupambana ni kubwa hivyo anaweza kuadapt mazingira hayo.

Binafsi nimeshuhudia mechi kadhaa kabla hajaumia mwanzoni mwa msimu na hii ya juzi na Juventus.

Art yake ya uchezaji ni ile ile sema ameimarika kwenye eneo la kutengeneza nafasi na kuamua matokeo ya timu ukizingatia pia team work ya Lyon ni kubwa sana.
  1. market value yake........
  2. kiubora yeye na sancho (kwa mtazamo wako)
  3. kiubora yeye na coman
  4. kiubora yeye na dembele
 
  1. market value yake........
  2. kiubora yeye na sancho (kwa mtazamo wako)
  3. kiubora yeye na coman
  4. kiubora yeye na dembele
Marketi value yake haiwezi kuwa kubwa kama Sancho.

Ubora wake hauwezi kumfikia Sancho ila unaweza kuwa na msaada kwa team hasa ukizingatia ni versatile anayeweza kucheza nafasi zote za mbele.

Ubora wake uko juu kwa sasa kuliko Osman Dembele lakini pia Dembele ni injury prone sana.

Coman in terms of goals anazidiwa mbali sana na Memphis na injury pia zinamsumbua sana Coman.

Kama tunamkosa Sancho, Depay anaweza akawa option japo naona anacheza zaidi kushoto kuliko upande wa kulia.
 
Wakati misimu kama miwili chini ya Jose Lingard alikuwa tegemeo la timu, kwa Ole alihamishiwa benchi mazima. Unakumbuka hata ile dancing style yake baada ya kufunga?
..lingard ana GOLI MOJA TU kwenye premier league msimu huu..hana assist wala nini..Ole alimtumia nusu ya msimu wote mpk dirisha la january tulipompata bruno ndo akawa hachezi sana..kwa mtu mwenye kiwango angekuwa amefunga basi hata goli mbili na assists nne.

Lingard ameflop hilo halina ubishi mkuu..maana hata yy mwnyw alikubali kwamba msimu huu amechemsha.
 
Samuel Chukueze.
huyu dogo nilimuona mechi ya barcelona (nafikiri ilikuwa ni round ya kwanza) aliupiga mwingi sana
===========================
hili pambano dhidi ya dortmund sidhani kama ed woodward anaweza kushinda, ikiwa alishindwa kuwashawishi leicester city wapunguze bei ya maguire kwa takribani miezi miwili ya mazungumzo inaniwia vigumu kuamini ya kwamba atamzidi kete michael zorc.

tuna udhaifu mkubwa sana kwenye dili za mauzo na manunuzi, imagine team kama liverpool wamefanikiwa kumuondoa lovren kwa muda mfupi sana lakini ukija kwetu mpaka muda huu tumeshindwa kupata timu sahihi ya kumnunua mlinzi bora wa serie A mr smalling.

pia inaonekana hatukujiandaa kuishi bila ya sancho msimu huu ndio maana tumekosa potential targets nyenginezo zitakazoziba gape la sancho.

hii movie inaweza kufika september
 
Back
Top Bottom