Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Inawezekana kikubwa hela Liverpool is selling club hatuwezi kushindwa kumnunua.

Au tukamchukue Dries Mertens, Julian Draxler au Kai Havertz mbona wapo wengi tu.
Sasa mkuu Sancho tumemshindwa,tutamueza Salah kutoka kwa mahasimu wetu Liverpool?

Mbalada proper wa Sancho sijauona ambao utaenda toe to toe in terms of number..labda wa chini yake
 
siyo Mo salah tu kuna watu wengi tu wanaoweza kucheza right wing mimi binafsi sitaki kuamini ni Sancho pekee anayeweza kutusaidia siyo lazima tupate winger atakayetupa 20 goals plus hata akitupa 15 goals au kuifanya iwe threat kulia na kuwafungua wapinzani wetu its ok.

kwani hatuwezi kumchukua Riyad Mahrez anayechoma mahindi pale Man city ? au Oyazarbal pale Real Sociadad ? kuna Kai Havertz pia kwanini tusiangalie hizo ptions zingine, nafikir Kai Havertz ni ideal zaid kama tumeshindwa price tag ya Sancho.
 
Baada ya tamko kutoka bvb kuhusu Sancho,ni kama Manchester united imekubali kuwa wanaweza kuingia msimu ujao na squad depth iliyopo au tunategemea kupandisha vijana wa academy kuja kuokoa jahazi. Ed keshapata sababu ya kuepukia lawama sasa zigo katupiwa mnyamwezi ogs.

Kama kweli tulikuwa tunahitaji kugombea mataji,kwa msimu tungekuwa tunafanya sajili kuanzia 2-3 kuboresha kikosi na sio kutimiza idadi ya wachezaji kama tufanyavyo sasa. Yaani dili ya Sancho imepotea kila kitu kimezima kama vile ndio namba pekee iliyokuwa na mapungufu uwanjani upande wetu.

Binafsi bado sifurahishwi na uchezaji wa timu karibia kila idara. Leo tatizo beki,kesho kiungo na keshokutwa ushambuliaji. Yaani hatuna consinstency kabisa.
 
mkuu tumecheza 19 games unbeaten unataka consistency gani?
 
Kama tutarudi na hii timu, namuonea sana huruma Ole.
 
mkuu tumecheza 19 games unbeaten unataka consistency gani?
Mkuu PTER Manchester united kama taasisi kubwa kama tunavyojigamba,tusiangalie zaidi hiyo rekodi ambayo hatuna uhakika kama tutaweza kuifikia tena bila ugumu wowote. Uhakika wetu wa kushinda game unakuwa mdogo sana ukilinganisha na contenders wetu kama city na Liverpool.

Angalia kwa sasa kila siku tatizo la timu linahama toka eneo moja kwenda jingine wakati wachezaji wanakuwa wale wale tu
 
★ON THIS DAY: In 2003, KLEBERSON and Cristiano Ronaldo joined Manchester United from Sporting CP for £12m.
IMG_20200812_141739_565.jpeg
 
Mkuu PTER Manchester united kama taasisi kubwa kama tunavyojigamba,tusiangalie zaidi hiyo rekodi ambayo hatuna uhakika kama tutaweza kuifikia tena bila ugumu wowote. Uhakika wetu wa kushinda game unakuwa mdogo sana ukilinganisha na contenders wetu kama city na Liverpool.

Angalia kwa sasa kila siku tatizo la timu linahama toka eneo moja kwenda jingine wakati wachezaji wanakuwa wale wale tu
unachosema ni kweli nachokiona mimi ni wachezaji kuchoka tu baada ya kucheza mechi nyingi mflulizo lakini pia suala la squad depth hili ndiyo muhimu zaidi sitaki kuamini kuwa dirisha hili mahitaji yetu ni Sancho tu wakati hata striking force inahitaji reinforcement, tunahitaji attacking au central midfielder mmoja kwajili ya back up za kina Pogba na Bruno.
 
Tunahitaji wachezaji kwa ajili ya kuchukua kombe la ligi 2021 au 2022. Sasa imagine anchor yetu kwenye kiungo ni matic ambaye anakaribia 32. Kuepuka suala la umri,tulitakiwa kusajili mtu wa nafasi hiyo ili matic awe na mechi zake sio regular starter kwenye timu ya kwanza. Fred anaanguka anguka bila sababu na mc tomminay hana utulivu sana kama matic
 
kiungo mkabaji priority ya pili baada ya winga wa kulia, tuna midfled/attacking midfield 7 na mkabaji mmoja tu.
 
haun haja hata ya kumjua maana jamaa alikuwa Brazilian na alichezaga misimu miwili tu kwa ninavyokumbuka sizani kama alicheza hata mechi 35 ila mechi nilizoonaga alifunga Goli 2 mechi tofauti,jamaa alikuta kikosi kipo nondo na yeye hakuonyeshaga juhudi za kupambania nafasi baada ya msimu wa 2004/2005 kuisha aliuzwa tu timu hata sikumbuki majina ya hivyo vitimu
Huyo kleberson hata simjui
 
Back
Top Bottom