NtYga
JF-Expert Member
- Aug 23, 2018
- 4,984
- 12,832
★Muhenga mwenzangu [emoji123][emoji23] me nisha sahau mengine mambo mengi★
alikua jembe sana, Ronaldinho alimwambia anaenda Man Utd, akaamua na yeye atangulie, baadae Dinho akaenda Barca, akaanza kuzingua zingua united, kifupi hakuonesha potential yake alivyokuwa man Utd.