Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Aliwaheshimu Sevilla kupita kiasi angewashambulia tu kama anavyofanya siku zote.Hata mini sikumuelewa kocha wao alitaka nini.
Aliwaheshimu Sevilla kupita kiasi angewashambulia tu kama anavyofanya siku zote.Hata mini sikumuelewa kocha wao alitaka nini.
★
Huyu Ever Banega kazaliwa upya tena anachowafanyia Wolves siyo fair.



★
vs SEVILLA
Bora hawa kuliko Wolves.
BANEGA na SUSO waundiwe kamati ya roho mbaya.
Hatafurukuta maana jana Wolves walimwacha afanye anavyotaka.★Ndio tunakutana nae sasa shughuli ipo ila najua Tutashinda tu Mungu yupo★
Hili janga aisee.★From: BBC SPORT-----Manchester United are reportedly considering Ousmane Dembele as a possible alternative for Jadon Sancho.★View attachment 1534743
Man U tunampiga Sevilla
Inter anapigwa na shaktar
Tunakutana fainali tunamfunga Shaktar,tunabeba ndoo!!
GGMU GGMU GGMU!
Hatafurukuta maana jana Wolves walimwacha afanye anavyotaka.
Hili janga aisee.
Huyu jamaa spana mkononi ataweza vurugu za EPL ?
Sevilla walipewa uhuru usiostahili jana, kama wangeshambuliwa wangefungwa tu.★Matokeo ni mbinu tu nazani Ole anajua paku mpigia huyu opponent ajae #GGMU★
Yawezekana hatuoni options zingine sokoni zenye quality tunayoitaka.★shida tulionyesha uhitaji wa Sancho sana kitu ambacho BvB wamepatia Weakness yetu na wanafanya wanachokitaka maana vyote wanataka wanataka hela pia Sancho wanamtaka abaki★
Na kimsingi hakuna..Number za Sancho ziko poa sanaYawezekana hatuoni options zingine sokoni zenye quality tunayoitaka.
Mo SalahNa kimsingi hakuna..Number za Sancho ziko poa sana
Tunaweza kumsajili in reality?Mo Salah
Inawezekana kikubwa hela Liverpool is selling club hatuwezi kushindwa kumnunua.Tunaweza kumsajili in reality?
Inawezekana kikubwa hela Liverpool is selling club hatuwezi kushindwa kumnunua.
Au tukamchukue Dries Mertens, Julian Draxler au Kai Havertz mbona wapo wengi tu.
Aha kumbe mko na Sevilla hahaha ngoja nifatilie kwanza kikosi Chao nione..Mkuu yaani upo kama mchwa vile![]()



Nimeona kikosi cha Sevilla kwa kweli nasema hivi mapema tu tunatangaza msiba hapa maana sioni pale mtatokea wapi...wapiga ramli utawajua tu sasa mikakati gani hiyo
![]()
![]()
![]()



Hahaha hopeless club★Me kwa Mo Salah siafiki tuchukue Bora Dries Mertens jamaa ana kasi kwa ufupi namkubali★



