Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Jana sikupenda kocha alivyo mtoa Eric Bailly bora angetoka Maguire sikuona mchqngo wake jana watu hawawezi kuonq makosa ya Maguire sababu yakikuwa yana tatuliwa na bwana Bailly.
Pia Fred walimuonea sikuona sababu ya kumtoa maana hata Matic jana sikuona mchango wake ki viile.
Rashid makame nae alipaswa atoke kuanzia dakika ya 64 lakini kadumu mpaka mwisho sjui alikuwa anafanya nini maana mipira yote jana ilikuwa inaharibikia kwake na Bissaka.
Jana Timu Pinzani walikuwa wamechoka kama mbwa mkimbizi kama yule captain wao alikuwa anajilazimisha tu ko angetoka Rashid makame akaingia hata Dogo James angenikimbizia pale nazani angezarisha hata goli 2★
Rashid Makame a.k.a Rashford
 
Nilikuwa sijui mzee tunaeleweshana tu..

Ok semi final mnacheza lini? Nataka nianze mikakati yangu mapema..

#CFC
400072800178_24296.jpg


Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
After the final wisel

Copenhagen captain (CC)walking along with BF: Thank u very much for everything you have been doing for Manchester United

Ole: Oh...we are trying to get it back, he is helping me (pointing on Bruno)

CC: Yeah, he is amazing (on Bruno)

Itaendelea...
Hii ndio maana ya timu kubwa ina fans wengi.
 
Back
Top Bottom