Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,475
Nakwambia kwa style hii ya uchezaji huko uefa tunaenda kuwa kitoweo cha wanaume..tutapigwa nane.!!



Inamaana London teams ni bora kuliko utd wakati huu?Huo ni mtazamo wangu mzee...ukikimbilia UEFA wkt timu yako mbovu unategemea nini!??
Team za london against Bayern Munich
Chelsea alikula 7-1
Spurs 7-2
Arsenal akala 10-2
Ss wewe jipeleke wkt hujakamilika uone utakachofanywa.
UsitupangieJipe moyo tu..
Man utd sio ELITE kama ilivyokuwa thats why tunataka rebuild nzuri kwa wachezaji sahihi na Champios league sio lelemama bro!
Tuache kuwa delusional guys..utd na chelsea tumezidiana point ngapi!?Inamaana London teams ni bora kuliko utd wakati huu?
Acha kupaniki wwUsitupangie
Usitufokee
Kumbuka tumeshika nafasi ya 3 na Europa tuko semifinal Endeleeni kupiga Ramli chonganishi
huyo bayern tumekutana nayo tukiwa na kocha mbovu moyes hakutupiga hzo goli unafikiria mpiga hauna mahesabu yako mbona stats za mechi ya jana sio mbaya mkuuAcha kupaniki ww
Me mwnyw ni shabiki wa utd na kwenye ukweli lazima tuongee
Ukweli unamuweka mtu huru.
Kwani wewe haupo top10Tottenham na arsenal timu ziko top 10 hizo usitufananishe nao sisi was top 3
?Na work rate pia hairidhishiMechi ya jana kila shabiki wa soka ali underestimate uwezo copen (copen walirelax sana)hata wachezaji wetu walionekana kupaniki fulani zile dakika za lalasalama maana walijua game itakwisha mapema(I hope wamejifunza kitu)
Ole aendelee kuwafundisha vijana team work hususani rashford bado anakua mbinafsi mazingira ambayo sio lazima kuwa hivyo.
Itakua faraja sana kuingia fainali na inter then kumtoa.
Pia golikipa wao Karl-Johann Johnsson's ' alionesha uwezo Mkubwa pengine asingekua yeye game tungemaliza mapema sanaMechi ya jana kila shabiki wa soka ali underestimate uwezo copen (copen walirelax sana)hata wachezaji wetu walionekana kupaniki fulani zile dakika za lalasalama maana walijua game itakwisha mapema(I hope wamejifunza kitu)
Ole aendelee kuwafundisha vijana team work hususani rashford bado anakua mbinafsi mazingira ambayo sio lazima kuwa hivyo.
Itakua faraja sana kuingia fainali na inter then kumtoa.
Usitupangie
Usitufokee
Kumbuka tumeshika nafasi ya 3 na Europa tuko semifinal Endeleeni kupiga Ramli chonganishi
Tukumbuke pia hawa jamaa walidefend kwa two blocks.( ugonjwa wa Solkjaer) tulitengeneza nafasi nyingi za kufunga lakini hatukuzitumia, striking force yetu haikuwa creative kabisa.Mechi ya jana kila shabiki wa soka ali underestimate uwezo copen (copen walirelax sana)hata wachezaji wetu walionekana kupaniki fulani zile dakika za lalasalama maana walijua game itakwisha mapema(I hope wamejifunza kitu)
Ole aendelee kuwafundisha vijana team work hususani rashford bado anakua mbinafsi mazingira ambayo sio lazima kuwa hivyo.
Itakua faraja sana kuingia fainali na inter then kumtoa.
Golikipa wao alifanya saves nyingi sana pia, tulikuwa hatufanyi quick transition kutoka defence kwenda final third yao.Pia golikipa wao Karl-Johann Johnsson's ' alionesha uwezo Mkubwa pengine asingekua yeye game tungemaliza mapema sana
Zorc: “We are planning with Jadon. Jadon will play for Dortmund next season. That decision, as agreed with CEO Watzke, is final.”Huyu Admin wa hii page nahisi ni Manara wa Ulaya