Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,524
bisaka anakwenda kupiga cross, alafu only two man u player go into the box.
we are not in Great BritainLeo pia sijui hatuna bahati au niaje..
OFFSIDES TATU!!! ambazo kwa kawaida yangekuwa magoli matatu hapo.
Juzi Rashford kadanganya eti Martial akifunga ni sawa yeye kafunga. which is not true.

Ni kweliAfadhali ngoja niangalieNdio,lakini kama unaishi south Africa
Mkuu vumilia, muda wa penalty bado.Leo pia sijui hatuna bahati au niaje..
OFFSIDES TATU!!! ambazo kwa kawaida yangekuwa magoli matatu hapo.
Kuna mdau kaeleza vizuri hapo juu, hii timu inahitaji mchezaji kama mmoja tu kwenye ulinzi, otherwise ni timu iliyo na wachezaji wote muhimu, kilichosalia ni ufundishaji na mbinu za mwalimu.Guys team yetu inahitaji usajli wa maana..team yetu sio nzuri kama ambavyo baadhi yetu tunavyoamini..
Imagine mpk sshv bbado hatuja break defense ya hawa madogo..Meanwhile Intermilan amewasha moto goli mbili ndani ya dkk 25.
Man u sio nzuri kama tunavyoamini.
Nani madogo?Guys team yetu inahitaji usajli wa maana..team yetu sio nzuri kama ambavyo baadhi yetu tunavyoamini..
Imagine mpk sshv bbado hatuja break defense ya hawa madogo..Meanwhile Intermilan amewasha moto goli mbili ndani ya dkk 25.
Man u sio nzuri kama tunavyoamini.
Dah..ni balaaMkuu vumilia, muda wa penalty bado.
Our opponentNani madogo?
Unasemaje??????? Bila kupewa nini Chechee.Bila kupewa penalt leo hatutoboi
Mipango hamna.Bila kupewa penalt leo hatutoboi
★
bisaka anakwenda kupiga cross, alafu only two man u player go into the box.
Bila kusajili vizuri tutakuwa kitoweo cha Bayern.Dk 90 unashindwa kuwafunga hawa wa Denish Fish Farmer Uefa utamfunga nani.