Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo ni kocha hapa wala sio timu maana hamna tunachocheza kocha karidhika na uchezaji huu. Wapinzani wako bora sana hata mashambulizi yao ila sisi tunacheza slow balaa.
 
Hii timu sijui tunakwama wapi, kianzia kocha hadi wachezaji wote hawapo serious.....mchezaji hata cross hajui kupiga anakosea anacheka tu, kocha ahata aamke kuwaelekeza nae amekaa......nafasi ya 3 ni zawadi tosha ya utawala wa Ole hatuwezi ifikia tena misimu yote inayokuja
Tunaoumia ni sisi mashabikiii
 
★Piah kocha anachofanya ni Upumbavu tena Upumbavu mkubwa kocha kakaa tu haleti hamasa kwa Wachezaji ujue wachezaji ni kama Kondoo ni mpaka uwa Boost maana kuna sehemu wanajisahau unawaweka sawa sasa Huyu Jamaa yeye kakaa tu kazi kulaumu daaah★
 
THIS GUY IS NOTHING WITHOUT PENALTY.
FB_IMG_15970938806910803.jpeg
 
Back
Top Bottom