Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Smalling aliondoka sababu ya kelele zetu fans ila yupo level sawa na hawa mabeki tulionao sasa. Kumbu time zile tulilaumu kila mchezaji. Naelekea kuamini sambamba na mapungufu ya players tumechemka sana kupata makocha wazuri.

Liver to be sincere, haina wachezaji wakali, uki-rank mmoja mmoja, wana average players save Van na Mane ambaye work rate yake ni kubwa sana. Klop ana impact sana, ametengeneza team, sisi coaches walifeli hapa
 
Evans ni beki mbovu no doubt. Kuhitajiwa na gurdiola sio kuniaminisha ubora wake
 
How far can we go next season kama haya yatatokea..winning the league??
 
Hapo nimeongelea kuhusu uhalisia ninaouona mimi kwenye nafasi ambazo mate alizataja

Nilikuwa sijasema kitu kuhusu uhalisia wa ninachoona katika kusajili, nilibase kwenye zile nafasi nyingine ambazo tunatamani kuziziba (almost 6 to 7 players, very difficult in post Corona window)

Kwenye usajili sidhani kama Ole atasajili zaidi ya wachezaji 3 na sidhani kama itakuwa chini ya wachezaji 2

Akisajili 3, ni Sancho, probably another creative mid au namba 10 (Grealish) na probably striker. Akisajili 2, itakuwa ni RW na creative mid/namba 10.

Akisajili 3 bila kujali usajili wa timu nyingine, tutajihakikishia top 4 (top 4 uhakika) na kombe dogo kama EFL au FA, lakini EPL sidhani.

Akisajili 2 mbio zetu za top 4 zitakuwa na misukosuko kama msimu huu uliokwisha

Akisajili 4 (tupate mtu kama Ndidi kati) tuna uwezo wa ku challenge ubingwa wa ligi kuu, lakini itakuwa kama style ya Liverpool, risk makombe mengine ili ushinde ligi kuu, hatutakiwa na ubavu wa kupambania makombe yote

Ili tujifananishe na Man City, kwa upande wa kikosi tusitegemee madirisha 3 ya usajili wa Ole yatatosha, hata Pep alihitaji madirisha zaidi ya 5 kuwa hivi alivyo.

How far can we go next season kama haya yatatokea..winning the league??
 
Klop katumia misimu mitano kutengeneza hiyo Liverpool aliyonayo.mpaka sasa kikosi cha Liverpool karibia wote kasajili Klop with exception ya Milner, Henderson,Lallana na Origi.

Solkjaer ndiyo kwanza ana msimu mmoja tu wa kusema kuwa amefanya usajili sasa kwanini tuseme tumefeli kwenye benchi la ufundi?

Tuwe wavumilivu with time timu itakuwa vizuri tu mpaka tukamilishe kuondoa deadwoods zote na turuddishe Man united DNA.
 
Ndindi hapana aiseee
 
Lalana yupo Brighton mkuu
 
★Manchester United are set to offer goalkeeper Dean Henderson a new deal worth £60,000-a-week.

The new contract would see Henderson's wages increase fivefold. #GGMU★
 
★Mbona hawa jamaa wanatutishia sana ujue wamesha muona Man u ni mnyonge wao yani ni kama "Demu anataka kukuacha lakini akiwaza Unampaga mtonyo wakutosha anajirudi tena" huyu Demu ndio Man U sasa.

Borussia Dortmund will offer winger Jadon Sancho a new deal and a significant pay rise if Manchester United do not meet their £100m valuation by tomorrow.★
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…