Yaani kabisa unasema thanks Corona virus? [emoji24][emoji24]Kwasababu tu ya hao mabeberu? Watu tumepoteza ndugu, jamaa na marafiki kwa hili gonjwa alafu wewe unashukuru uwepo wake.... DahNgoja nikupe fact maana hujielewi..
Rashford aliumua mgongo(double stress fracture) kwny match vs Wolves ambapo haikuwa necessary yeye kucheza and bcoz of that OGS fell under heavy critisim cuz kama kocha ameshindwa kumlinda mchezaji wake cuz jamaa alikuwa anamiss msimu mzima(thanks to corona virus ilisababisha ligi iwe postponed)
Huo ni mfano ninaotumia kuelezea point yangu hapo juu..kwmaba we dont need to exppose our valuable players aganst LASK!!
Ukiendelea kubisha wewe bisha.
am done.!
Kuna mtu aliniambia kuwa utaibuka baada ya siku tatu kama Jesus, then utaanza kuibukia majukwaa mengine kisha ndio urudi kule kwenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Takataka kama takataka..
Bado kuna robo fainali,nusu fainali na fainali..Pogba atachezaToka December Pogba alikuwa hajacheza kacheza mechi hizi tu baada ya lockdown anapumzishwa nini ?
Ni heri Pogba acheze ili aendelee kupata match fitness.
Wewe shabiki wa Asernane: Jifunze ku-contextualize your concepts.Yaani kabisa unasema thanks Corona virus? [emoji24][emoji24]Kwasababu tu ya hao mabeberu? Watu tumepoteza ndugu, jamaa na marafiki kwa hili gonjwa alafu wewe unashukuru uwepo wake.... Dah
Hivi mnafikiriaga kwa kutumia nini? [emoji57]
Ungekuwa karibu hata kofi ningekutandika.
Hatuna kikosi imara cha kucheza michuano yote minne.Sure..msimu ujao Ole inabidi acheze karata zake vizuri,otherwise fatigue itatusumbua sana
halafu ole utafikiri hajawahi kucheza.....kasugua sana benchi pale kipindi icho kikosi kimeshiba leo hii kujifunza hatakiHatuna kikosi imara cha kucheza michuano yote minne.
Ole akileta ujuaji analiwa kichwa mapema sana.
Acha kutetea ujinga wewe pimbi wa nyumbu,Wewe shabiki wa Asernane: Jifunze ku-contextualize your concepts.
Jamaa wamepiga pesa ndefu sana,
Japokuwa mtu anaweza kudhani ni mahaba kwa timu yangu ya Manchester United ila nimefanya analysis yangu binafsi naamini kabisa kama wachezaji wetu watano ( Bruno, Greenwood, Pogba, Martial na Rashford) wakicheza mechi za EPL zisizopungua 30 msimu ujao bila majeraha kwa pamoja tunaweza kubeba kombe.
Hii nilitamka mwanzoni mwa mwaka huu kipindi Leicester walikuwa wametuzidi points za ya kumi. Nilichokiona muda nasema tutamaliza wa 3 ndicho kinachonishawishi hata sasa kutamka kuwa tunaweza kubeba kombe as long as no serious injuries, kwa mara ya kwanza tuna watu wanaweza kukukupa goli 15 kwa msimu zaidi ya mmoja kikosini ktk ligi tu. Haya mambo tulikuwa tunafanya miaka ya nyuma tu kipindi cha Fergie.
Tutamaliza nafasi ya 3 msimu huu. Majeruhi yametuharibia sana, maana wachezaji wetu muhimu wamekuwa nje kwa muda mrefu sana.
Huyu Sancho tunaenda kumkosa..
Ni kwa sababu ni United. United wana kaushamba flani, mpaka wapigiwe kelele na media. Wanatakiwa kufanya business mapema, City wana pesa ila hawapigwi hela ndefu sana kwenye sajiliJamaa wamepiga pesa ndefu sana,
Hivi Man City waliweka mipengele cha kupiga pesa kupitia huyu mchezaji?
Alafu huyu sanchez si akubali kukatwa mshahara mbona vanpersie na rooney walikubali,,,, Yaani jamaa ana tamaa ya pesawasemavyo wenyewe:
Letting Sanchez leave for free and saving 60M on two years salary is just great business
=========================
don woodward amecheza kama pele, au amezingua?
View attachment 1526630
Hatuwezi kuwakomoa maana BVB kazi yao ni kuuza wachezaji,hawana cha kupotezaTuwakomoe tuchukue Sacho na Halland hata km hela ndefu
Hapana , Sanchez hajakubali kupunguza mshahara ila hiyo wages Euro 7m alikuwa akilipwa every year nje ya mshahara. Yaani jamaa alikuwa mchezaji hewa ndani ya club. Kiukweli Mourinho alichokifanya yaani Mungu anamuonaKutengeneza tatizo halafu unalitatua
Inter ndio wamefaidika kwenye hilo deal
1.Sanchez kacheza kwa mkopo Inter for free(hakukuwa na loan fee) na majority ya mshahara wake ulikuwa unalipwa na United
2.Baada ya kutoka majeruhi Sanchez ameanza kurudi kwenye form (4goals &8 assist) in Serie A kwenye mechi 22 alizocheza so kwao wanapata mchezaji atakayewasaidia
3.Sanchez amekubali kupunguza mshahara hadi Euro 7m kwa mwaka
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana , Sanchez hajakubali kupunguza mshahara ila hiyo wages Euro 7m alikuwa akilipwa every year nje ya mshahara. Yaani jamaa alikuwa mchezaji hewa ndani ya club. Kiukweli Mourinho alichokifanya yaani Mungu anamuona
Deal la Sanchez Inter hawakuwa na option ya kumnunua so ilikuwa arudi OT but Inter walimtaka baada ya kuona ameanza kurudi form baada ya kupona (4goals 8 assist )in 22 games kwenye serie Aahsante sana brother kwa uchanganuzi wako,
kama nimekuelewa vyema, madai yako ni kwamba walichotufanyia Inter milan hakina utofauti na mchezo wa kutishana kitoto..
tupeni alex sanchez bure tuwapunguzie gharama za mshahara wake (takribani gharama za jumla ya paundi millioni 50 ukichanganya na kodi) au tuwarudishie wenyewe aendelee kuchota mshahara wa bure mifano ya gareth bale au mesut ozil.
Jambo ambalo sijalielewa mpaka sasa ni hili;
imewezekana vipi kwa alex sanchez kukubali punguzo la mshahara wake kwa takribani asilimia 50 (kwa sasa net salary yake inakadiriwa itakuwa ni paundi millioni 7 kutoka paundi millioni 15) haliyakuwa kama angeliendelea kuitumikia Inter milan kwa mkopo au timu nyengine yeyote angelivuna asilimia 100 ya mshahara wake, (booka value remaining ni takribani paundi millioni 15)
tuseme alex ameongozwa na roho ya ubinadamu au kuna mchezo wa kumlipa nyuma ya pazia asilimia 50 yake ya kumvunjia mkataba?
=========================
tengeneza tatizo, tatua tatizo:
nadhani kosa letu kubwa ilikuwa ni kuruhusu hitaji lake la paundi 500,000 kwa wiki na ndiye aliyeharibu wage structures ya timu
Hii deal ikikamilika City watakunja kiasi cha £15m kutokana na kipengele cha kuvuna 15% ya faida ya mauzo ya Sancho,Ni kwa sababu ni United. United wana kaushamba flani, mpaka wapigiwe kelele na media. Wanatakiwa kufanya business mapema, City wana pesa ila hawapigwi hela ndefu sana kwenye sajili