Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1.Sanches HARUDI..mwenyewe anataka kubaki inter..na inter wanamtaka so tunamuuza..

2.ROJO nae Harudi;taarifa za jana zinasema jamaa anapenda kubaki hukohuko Argentina na hata tukimuuza kwa bei ya hasara sio issue..

3.LINGARD anaweza kuondoka..kuna team km ROMA,EVERTON,WEST BROM na WESTHAM zote zinamtaka

4.ERIC BAILLY huyu anabaki kama Back up ya CB tulionao..kwa 7bu akiwa mzima anaupigaga mwingi sn

5.SMALLING huyu anabaki roma kabisa..cuz amefit vzr kwny system yao na juzi amewafungia goli..

6.PHIL JONES..dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu jamaa sina la kumzungumzia..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Namba 6 imewaganda hiyo
 
★Phil Jones atabaki sababu ni Mwana kama tunavyojua Mwana anabebwa [emoji23]#Shoutout kwake★
 
Brother..kiuhalisia CHELSEA na CITY wako serious sn kwenye usajiri kuliko UTD..no wonder mmoja wao akabeba EPL kabla yetu ss..huo ni ukweli mchungu..!
Pamoja na kwamba wako vizuri kwenye recruitments
Lakini pia hizo ni Clubs zinazomilikiwa na matajiri wanaomwaga pesa kwenye vilabu vyao.

Man united inamilikiwa na matajiri wanaochota pesa kwenye club.

Sio rahisi kwenda na kasi zao.
 
Pamoja na kwamba wako vizuri kwenye recruitments
Lakini pia hizo ni Clubs zinazomilikiwa na matajiri wanaomwaga pesa kwenye vilabu vyao.

Man united inamilikiwa na matajiri wanaochota pesa kwenye club.

Sio rahisi kwenda na kasi zao.
Unarudi palepale kwamba MAN UTD hatuko serious kwny Usajili.
 
Namna ya kumuondoa Phil Jones ni kuvunja mkataba tu
 
Hahahahaha Magwaya tulipigwa pale ..na tutaendelea kupigwa tu
Magwaya amesaidia sn..basi tu ni inderrated kulingana na price tag yake..LAKINI JE WAJUA KAMA MAN UTD NDIO TIMU PEKEE ULAYA(top 5 leagues) YENYE CLEAN SHEETS NYINGI KULIKO WENGINE!!??
unadhani hayo matokeo yamekujaje..DEFENSE yetu inaimprove!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…