Yaani Rashford aliniboa sana jana..Atleast basi ufanye vitu basic kama hujapick form yako..yeye ndo kwanza anaharibu mambo,kila saa anapoteza mpira.Timu nzima iko exhausted sana hivyo expect kabisa hali kama hii tuliyonayo.
Kucheza back to back mfululizo kunachosa sana wachezaji halafu kibaya zaidi wachezaji wengi wamerudi kutoka lockdown wakiwa off form sana.
Fred na Scot wamerejea lakini wakiwa hawako form kama tulivyowazoea pamoja na Rashford hayuko sawa sawa sana.
Defence yetu namuona Lindelog tu ndiyo ana afadhali japo wengi tunamlalamikia humu bila kujua kuwa tatizo liko wapi.
Kuhusu AWB toka amerudi kutoka Lockdown naona Solkjaer hali ya kwenda kushambulia imecompromise sana uwezo wake defensively anapanda mbele sana au au analazimika kuingia ndani pale Lindelof au Maguire wanapopanda kufanya build up hivyo eneo lake kuonekana free space.
Brandon William's kwa mechi hizi mbili pamoja na makosa mengine amejitahidi sana kuziba pengo la Luke Shaw mechi zote tatu tulizocheza kuanzia Southampton Midfield na Front three zetu zilikuwa zinapoteza sana mipira kwahiyo defence ilikuwa kwenye wakati wa tahadhari muda wote kufukia makosa ya mara kwa mara ya kina Pogba na Rashford.
Imagine mechi ya jana Rashford hakuvuka mstari kuja kusaidia defence na kila mpira alipata aliupoteza kizembe na hakufanya juhudi za kutafuta hali kama hii lazima ingetusumbua sana.
Mechi mbili zilizopita Pogba amehamishiwa kucheza kulia with a limited role hii hali imepunguza sana effectiveness yake kwenye kuanzisha attack.Jana.
AWB
Pogba
William, walikuwa tatizo.
Magwaya ni tatizo la kudumu, Pogba anaforce kumjoin kwenye hii kategory.
Unamaanisha Pogba na Matic ni wrong partnership?Mechi mbili zilizopita Pogba amehamishiwa kucheza kulia with a limited role hii hali imepunguza sana effectiveness yake kwenye kuanzisha attack.
Kama tunavyojua Pogba is so careless when it comes to defending kumchezesha deep kama anavyofanya Ole anakuwa easy prey kwa washambuliaji wanaovizia. Hayo yalitokea kwenye game na Soton, game ya jana na game ya chelsea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@DullyJr kuja pande hizi, Kuna mtu kwanza kuleta ujinga huku, hebu muweke mahali pake akashitaki kwa Mods
Nikajua mkono uliouona ndio ule wa 5g[emoji23][emoji23]Tumeuona
Mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno Umetutoa mbali,
Ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
(Chini, chini, chini)
Chini hata juu
Watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele (Natutakusifu)
Twasifu jina lako,View attachment 1514764
Hahahahahah kamwe haiwezi tokea!!!Watu wabaya sana, walikuwa wanasema umebadilisha "uraia" sasa umekuwa mshabiki wa Liverpool
Kwa namna yoyote ile top 4 ni lazima
Sijasema hivyoUnamaanisha Pogba na Matic ni wrong partnership?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikajua mkono uliouona ndio ule wa 5g[emoji23][emoji23]
View attachment 1514976
Defence hiyo imeruhusu magoli 36, mpaka sasa.Defence yetuView attachment 1514981
na ukitoa uzembe wa Kipa beki yetu imejitahidi sana msimu huu, kipindi wote 4 wapo fit, Shaw, Maguire, victor na Bissaka tulifululiza clean sheet za kutosha.Defence hiyo imeruhusu magoli 36, mpaka sasa.
Sawa na magoli waliyoruhusu Shefield united.
Liverpool GA ni 32,
Man city GA ni 35,
Wengine wote wameruhusu goli nyingi kuliko sisi.
Kuna timu ipo top six imeruhusu magoli zaidi ya nusu karne(50+).
Msimu(GA ilikuwa 50+)
uliopita ndio ungesema hivyo ila msimu huu hapana.
2012/2013, Babu SAF. Alibeba EPL timu ikiwa imeruhusu magoli 46.
kuna maajabu yatatokea hapo........
Tulikupiga pale Carabao..acha kujisahaulishaLiver akiwa kwake, shaka ondoa. Ni msimu wa tatu sasa hamna anayelamba joka pale. Ushindi ni draw. Karibu.
Wanao wakina nani?? Wewe una watoto apa??Nafasi yetu ktk champions league
1.Tukushinda tunafuzu
2.Tukitoa draw tunafuzu
3.Tukifungwa;Hapa inategemea
-->kama tukifungwa alaf chelsea akashinda basi sisi tuapoteza nafasi ya champions league
-->Tukifungwa alaf chelsea akafungwa basi sisi TUNAPITA
SO; me nataka Chelsea AFUNGWE na Wolves alaf sisi tutoe DRAW na Leicester ili sisi na Leicester tungie top 4 alaf Chelsea akacheze Europa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au wanangu mnasemaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani na wewe kipigo kimekuwehusha kweli. Sisi tunaongelea Premier League wewe waja hapa na Micky mouse cups kina Carabao, na tena hapo ni 2018. [emoji16]Tulikupiga pale Carabao..acha kujisahaulisha
Nafasi yetu ktk champions league
1.Tukushinda tunafuzu
2.Tukitoa draw tunafuzu
3.Tukifungwa;Hapa inategemea
-->kama tukifungwa alaf chelsea akashinda basi sisi tuapoteza nafasi ya champions league
-->Tukifungwa alaf chelsea akafungwa basi sisi TUNAPITA
SO; me nataka Chelsea AFUNGWE na Wolves alaf sisi tutoe DRAW na Leicester ili sisi na Leicester tungie top 4 alaf Chelsea akacheze Europa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au wanangu mnasemaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]