Ila wazee mmeniangusha. Hata hivyo niwatakie kila la kheri na battle la top four si ngoja tuhangaike na hawa wazee wa tatu tatu.Mimi nimeongea kwa vigezo na nikakutajia, United hawajapaki basi, tumegawana vipindi na Chelsea, wao wamecheza kipindi cha kwanza, sisi tumecheza kipindi cha 2
Kikosi chetu cha kwanza ni bora sana, kikicheza chote kwa kuanza na kumaliza hata mechi ya leo tungeshinda bila kutumia nguvu nyingi
OGS kajaribu ku manage injury na fatigue ya wachezaji kutokana na mbio za top 4, na haya ndio matokeo yaliyopatikana
Bado CV ya Arsenal na Spurs ya Mourinho hamuachani
Huyo jamaa nilimuignore sioni tena comedy zakeKuna bweha flani alikuwa anasumbua sana majukwaa ya watu sahivi naona ameufyata
Mzee wa takataka upo wapi mzee baba.
Huyo jamaa nilimuignore sioni tena comedy zake
Kalala na viatu huyo mzee baba,Chelsea leo kawaletea show ya "Jikaze My tunamaliza sasa hivi tu", paka bao 3 zote zikaishaHuyo jamaa nilimuignore sioni tena comedy zake
Kwavile anapenda kuandika matusi utakuta ataandika matusi ika safari hii ni ya kumtukana De Gea na Ole.Huu ni muda wa kumtoa kwenye list ya ignorants, tuone anachoandika.
Dah hahaha no commentKalala na viatu huyo mzee baba,Chelsea leo kawaletea show ya "Jikaze My tunamaliza sasa hivi tu", paka bao 3 zote zikaisha
Sasa hivi mmekuwa wa moto mpaka nakosa cha kuja kukoment kwenye jukwaa lenu.
Ila najua ni upepo tu wa kumalizia ligi, msimu ujao utakapoanza Pogba atamroga Fernandes na hali itarudi kama mwanzo.
Kwavile anapenda kuandika matusi utakuta ataandika matusi ika safari hii ni ya kumtukana De Gea na Ole.
Mkuu tumekupiga mara 3 msimu huu, mbona hakukuwa na hizo pollution??We did this to save the World from noise pollution. Tatizo baadhi yenu humu midomo mirefuView attachment 1511291
Tumezidiwa ki mbinu lakini na timu yetu ilikuwa na fatigueKubali kuzidiwa uwezo, na huo ndio uungwana kwenye soka
Hii kubwa sana mkuu, wapunguzie machungu80 million for an own goal
Imagine Nyumbu without VAR and this happened today
Mkuu tumekupiga mara 3 msimu huu, mbona hakukuwa na hizo pollution??
Hadi sasa kwa msimu huu Man United 3-1 Chelsea.