Kama Man Utd ndio ina pundits wengi, unadhani ni kwanini, je ina miliki vituo vyote vya TV?
Unadhani kwanini Spurs haina pundits wengi kama United, kwanini Arsenal haina pundits wengi kama United au kwanini Liverpool na Man City hawana pundits wengi kama United?
Aliyekutangulia, kakutangulia tu, mbona haujiulizi kwanini United ina hela nyingi kuliko timu zenu, au kwanini ina makombe mengi kuliko timu zenu au kwanini ina mashabiki wengi kuliko timu zenu?
The greatest club in the world, the most influencial club in the world... Kama hutaki nenda kajinyoge
Sasa hivi mtakuja kulalamika oooh... Mbona United peke yao ndio wana Doctor
