Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
[emoji16] [emoji16] [emoji16] umeamisha goliEnd of the day wamewapa nini???[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnajifariji tu.[emoji23]
Acha zako wewe, trio kali imewafikisha wapi?[emoji23][emoji23]Duh..utoto raha sana,unauliza lolote.
Mnajifariji tu hamna kitu hapo uzuri wake wewe mwenyewe wajua[emoji23][emoji23][emoji23]Best Front 3 itakuwa Nketiah, Nielson na Laca
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Mkuu kwa heshima ebu itaje hiyo trio ya Leicester in terms of number(goals)Mnajifariji tu hamna kitu hapo uzuri wake wewe mwenyewe wajua[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hizo mbarara zenu si bora ya trio ya Leicester
Mnajifariji tu hamna kitu hapo uzuri wake wewe mwenyewe wajua[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hizo mbarara zenu si bora ya trio ya Leicester
Kwani hayo mapenat hayakuingia kambani na kuwa magoli?hizo penalt ndo ziliamua matokeo?
ni mawivu tuu[emoji23][emoji23][emoji23] kwan penalt tulijipa?Kwani hayo mapenat hayakuingia kambani na kuwa magoli?
Mbeleko[emoji23][emoji23]ni mawivu tuu[emoji23][emoji23][emoji23] kwan penalt tulijipa?
usihangaike nao mkuu, yan et the best wakat timu yao pre corona ilikua nafasi sijui ya 6 huko[emoji16][emoji16][emoji16]Acha zako wewe, trio kali imewafikisha wapi?[emoji23][emoji23]
Mbeleko mnayopewa ya mipenati ya burebure[emoji23][emoji23]
Rashid Makame peke yake ana migoli 6 ya penati kati ya 8 alizozawadiwa
Nyie si ni wazee wa VARni mawivu tuu[emoji23][emoji23][emoji23] kwan penalt tulijipa?
Kama Real MadridMbeleko[emoji23][emoji23]
SanaNo wonder unafurahia soka analocheza Mourinho siku hizi
Kwahiyo wale pundits wote wanaonekana kwenye TVs, ni ex-Players wa Man u.??
Una uelewa mdogo sana.
You sound like the owner of the club! Not surprised you are such a miserable and nin com poop guy with fingers shoved in your smelly and filth cherry.★Our business is our Business en none of your Business mkuu can you just shut the f****up and enjoy the game [emoji41]★
Wewe ndio akili kabisa huna, sikusema pundits wote ni Man U, nilitarajia upinge hoja kwa kuonyesha ni timu gani nyingine inaizidi man u kwa kuwa na ex -players wengi ambao ni pundits! badala yake umekurukupuka na kuaongea ujinga.